Zuchu Vs Ruby nani anaijua zaidi kuimba?

Huyu Zuchu tangu siku ya kwanza anatambulishwa WCB amekuwa ni Artists wa kupambanishwa na Artists wenzake tu Leo utasikia Nandy, Kesho Lady jay dee, Keshokutwa Ruby unajiuliza ni kwanini? Kila siku apambanishwe Yeye tu kwanini msipambanishe Nandy na Mini Mars or Ruby na Maua sama au Gigi Money na Dayna kila siku Zuchu Zuchu Zuchu Zuchu kama Zuchu kuimba hajui kwanini kila muda mnamfungulia nyuzi za kumpambanisha si muwapambanishe hao wanaojua kuliko yeye.

Wanalipwa hao iliwampigie promo kama hivyo nyuzi kila saa.

Wenzako wakokibiashara hapo.

Msanii katoka hata nusu mwaka ajafikisha kwenye mziki anashinda nishwa na malegend,hapo huyo msanii akitokA tu wcb wanasema hajui kuimba, hakiwepo wcb anajua kuimba.
 
unapata wapi ujasiri wa kumlinganisha Ruby na Zuchu?!
kiutani utani hv na kesho utakuja na uzi unauliza kati ya Nyerere na Magufuli nani anafaa kua baba wa taifa na team WCB mtakaa chini kujadili

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Personally I'm a fan of WBC and everything they do, lakini kusema ukweli hata yule dada wa kuitwa comando kwa Ruby atasubiri mpaka jua lipambazuke, na yeye mwenyewe anajua hilo.
 
Duu hadi nimeona aibu kusoma! Hivi wewe umeanza kusikiliza muziki lini? Mwaka jana alipokuja Zuchu?


Zuchu anajua kuimba lakini Kumlinganisha na Rubby ni dhambi kwakuwa Rubby ni level nyingine kabisa ...kwanza Zuchu ana safari bado kufika level ya Rubby!

Rubby ni habari nyingine kwanza naona hata aibu kuwa na mjadala kama huu maana naona ni ujinga mtupu..
samahani mkuu nipo nje ya mada, hv we ni KE au ME?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom