Katibu mwandamizi wa Kamati ya wanaume wa mkoani kanda ya Kaskazini natangaza kua leo saa 10 tunakikao juu ya wanaume wenzetu wanaosikiliza nyimbo za Zuchu....
Wewe hata kucrack Da Vinci's code usingeweza kabisa. Watu tunasikiliza mziki mzuri, hatusikilizi msanii Kama na uwezo wa kumsikiliza Jenifer Hudson, Kat Perry, Lady Gaga, Ariana Grande, Taylor Swift etc. Hebu lamba kwanza sukari
Huwa siwezi kupinga kazi ya mtu hususan kama mimi binafsi siwezi ila huwa natoa point nyingi zaidi kwenye originality / Ubunifu kwahio neno kama fulani huwa linaleta ukakasi (does it mean ya fulani ni better)?