Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Habarini Wana jamvi..?
natumai my wazima wa afya.

nimejaribu kufuatilia kwa makini sumu ambayo ana mezeshwa nandy, kwa official new queen wetu wa bongo flavor one and only Zuchu.

nimegundua kuwa anamuwza snaa Zuchu kuliko hata billnass na kwa maana hii Basi amejiingiza mkenge mwenyewe na anaenda kufuria soon mara harmonize Mara alikiba anaomba collabo tu na Wala hazina maajabu.

na kibaya zaidi nandy sio full package Kama zuchu ambaye anaweza kuandika mwenyewe nyimbo zake.

Yaani kwa huu wimbo au utopolo wa kiwango Cha lami/PhD/HD na Sgr Sina lakusema.

N. B:
NUMBER ONE Rayvanny and ft zuchu ni Kali sana kuliko NIBAKISHIE ya nandy ft kibamia
 
ahaaaaaaaaah na kwa maana hii nandy atapotea tu
Wewe wasema ila number zitaongea,husiiongelee mioyo ya watu,kizuri kitaoneka na huu mwezi zitaachiwa nyimbo nyingi sana.

Sababu ni msimu wa sikukuuu,WCB washatangaza matasha yao,Konde nae anatamasha lake,so tegemea nyimbo nyingi kuachiwa,ila mwisho wa siku namba zitaongea na kizuri kitaonekana.
 
ahaaaaaaaaah na kwa maana hii nandy atapotea tu
Siku hizi miki ni bampa tubampa, mtu kutotoa wimbo kisa flani katoa ni kujipoteza tu. Wasanii wengi muda mchache na kila siku nyimbo zinatoka tu. Mnacompare hata visivyostahili kucompare.
Mtakuja sema flani akivaa na flani anavaa.
 
Mtoto wa kiume mbona una wivu kwa watoto wa kike ? Hio Ni Sanaa, kila mtu ana rizk yake , wacha wapambane !!!

Wewe ulitakaje ?
 
Ingekuwa binadam au sisi mashabiki ndio tunatoa riziki na uhakika kuna watu wangekuwa na hali mbaya lakini tofauti na hapo Mungu ndio mtoaji na mpangaji ukiamua kwenda kwa rayvanny, zuchu au nandy ni wewe
 
Wewe wasema ila number zitaongea,husiiongelee mioyo ya watu,kizuri kitaoneka na huu mwezi zitaachiwa nyimbo nyingi sana.

Sababu ni msimu wa sikukuuu,WCB washatangaza matasha yao,Konde nae anatamasha lake,so tegemea nyimbo nyingi kuachiwa,ila mwisho wa siku namba zitaongea na kizuri kitaonekana.
Namba gani ambazo hazijaonekana mpaka now..?
 
Siku hizi miki ni bampa tubampa, mtu kutotoa wimbo kisa flani katoa ni kujipoteza tu. Wasanii wengi muda mchache na kila siku nyimbo zinatoka tu. Mnacompare hata visivyostahili kucompare.
Mtakuja sema flani akivaa na flani anavaa.
why nandy anatoa mpaka zuchu..? ndo hoja ilipo
 
Ingekuwa binadam au sisi mashabiki ndio tunatoa riziki na uhakika kuna watu wangekuwa na hali mbaya lakini tofauti na hapo Mungu ndio mtoaji na mpangaji ukiamua kwenda kwa rayvanny, zuchu au nandy ni wewe
jamii forum tumeamua kwenda na rayvanny pamoja na zuchu sawa kijana
 
Back
Top Bottom