Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Halafu mchana kweupee..mi huwa naumiaga sana mwizi akiuliwa..lakini mda mwingine naona hakuna namna
Halafu anakuonyesha dole LA kati..

Isakeni hiyo pikipiki kwa hiyo plate namba yake..mmiliki akamatwe kwa kutumia Mali yake kufanya uhalifu na unyan'nganyi.inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kukwapuana simu yapo sana Morogoro, Dsm na Arusha.
Nooma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wa kuonea huruma hawa
Sent using Unknown device
 

Ni muhimu sana kumiliki silaha za moto(kihalali lakini), hapo unaitoa tu unampasua mtu kichwa na maisha yanaendelea.
 
Hapo unajiona unaaakili mwenyewe.Hayo mngekuwa mnawafanyia wanaowaibia mabilioni ya kodi zenu mngekuwa mmefanya jambo la maana,sio kumuua kibaka aliyeiba tekno ya laki mbili tena bila silaha.Kwanza ukute hata wewe mwizi tu,eidha unaibia ofisi,unaiba mke wa mtu etc.Kama hujawahi kuiba chochote katika maisha yako hapo unaweza kunyooshea wengine vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majizi utayajua tu.....
Nikahangaike kukimbizana na mtu aliyeiba mali ya umma ila nimuache aliyeniibia Mali yangu ambayo nmeitafuta kwa jasho bila hata kulala..
Kuwa serious jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha mkuu mbona umeichukulia hili personal!! Linagusa maslahi binafsi nini?
Sent using Unknown device
 
Kwa ushahidi kama huu wa plate number hao vibaka wangekuwa mfano. Police wawashughulikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…