ilishanitokea mara 2
mara ya kwanza simu,mara ya pili pochi
Wewe msahaulifu sana kama namba ya pikipiki hukumbuki utakumbuka kweli sababu ya kuibiwa?
😂😂😂😂 na nilivyo mwembamba..
saa moja ,sio saa saba..Saa 7 usiku ilikuwa halali uibiwe, tena mimi ningekubaka pia.
Uwii! kuna tipwatipwa mwny kilo 39!!😞😞😊Tipwatipwa lini likawa jembamba! Maajabu haya utayaona awamu ya 5 tu.
sio rahisi km unavyodhani!😛Hata saa moja nakubaka tu ni tofauti ya masaa 6 tu.
😂😂😂 tena hapo nimenenepa..zinakuwaga 3839 umekuwa fungu la chainizi!
😃😃ingezima angewadaka vizuri,tatizo Dar hata ingezima angepambana nao yeye mwenyewe hata wangemzidi nguvu watu wangekuwa wanashangaa tu.
Kwa sasa hayupo mjini. Subiri akirejea, tangu wampore kahama jiji.
Na wewe unashadadia kbs as if sijawahi kukuambia kabila langu...subiri ukija huku mkoani hutaamini nitakavyokuuza...malipo hapa hapa duniani
niliibiwa 2015 na 2017.
Nitajumbukaje sasa mpk leo!
sasa mwizi kama huyo akuanguka na pikipiki, akashushiwa kipigo heavy kuna mtu wa kumuonea huruma?
Waliniibia sababu ya tamaa zao tu.
First time niliibiwa saa 7 usiku
Sec time niliibiwa saa saba mchana nikiwa natoka sokoni,wakakwapua pochi ambayo haikuwa na kitu cha maana,kulikuwa na elfu 1,lipbam na niliweka njegere .Simu ilikuwa kwny mfuko wa suruali.
Bora hata wangeiba mfuko wenye mazaga zaga ya sokoni.
ingezima angewadaka vizuri,tatizo Dar hata ingezima angepambana nao yeye mwenyewe hata wangemzidi nguvu watu wangekuwa wanashangaa tu.
Alaf mbona wanadondoka hao kwenye pikipiki!!
Hahaa mbona zinafanana na zile za mkuu au mzee wa vijisent alirudisha mpunga wa RADAR
Ndio maana mm tukiwakamata hawa tunawakata mshipa wa kisigino miguu yote miwili halafu nachukua maji unamjaza sikioni huku ukimshindilia makofi masikion maji yale yakizama sikion kwa pressure yanaenda kupasua ngoma ya sikio.... Halafu mnamwachia... Akitoka hapo anakuwa kiziwi na kitembea hawezi
Sent using Jamii Forums mobile app