Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Mkuu wanatia hasira hao acha kabisa....
Siku moja walimburuza chini mke wangu tena akiwa mja mzito akiwa wanang'ang'aniana mkoba.....
Bahat mbaya hakukariri namba ya pikipiki hao vijana ukiwakamata usipige kelele ni kumalizana nao kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii picha wamepiga kwa kuigiza halafu hawajaipatia hata kidogo! Ni mbumbumbu atakayeamini hili ni tukio la wizi. Kwa kifupi hawajui ku-act kama watu wa Bongo Movies!
Unataka kusema matukio kama Haya hayapo Tanzania?
Hapa Hata kama tukio ni la kuigiza lakn ni miongoni mwa majanga ya mitaani hasa Bodaboda dhidi ya watembea kwa miguu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mwizi kama huyo akuanguka na pikipiki, akashushiwa kipigo heavy kuna mtu wa kumuonea huruma?
 
Kisa simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ