Ztto na milioni 18

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Wakuu!leo katika gazeti la mwananchi imeandikwa habari ya zitto kutangaza mali zake zote.Habari hii inasomeka kuwa Zito amesema anamiliki jumla ya 18 millioni,nyumba 2 zenye thamani ya shilingi millioni 223,Rand Rover yenye thamani ya 74 milioni,kiwanja na mashamba katika maeneo ya Kigamboni,dar es salaam,Mwandiga,mtwara na Kigoma yenye jumla ya hekari 24.
 
Back
Top Bottom