A
Anonymous
Guest
Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi.
Hali hiyo inatukuta Wafanyakazi wa Kampuni ya IRIS inayohusika na masuala ya ujenzi wa barabara mbalimbali Zanzibar na Pemba, tumeondolewa kazini zaidi ya miezi sita na wengine mwaka lakini tulipofika ZSSF kufuatilia mafao tukaambiwa michango yetu haijapelekwa.
Sasa tunahoji hii IRIS inatukata pesa halafu hazipelekwi, basi kama wao hawana za kutuchangia, watupe zile zinazokatwa kwenye mishahara yetu.
Inabidi ZSSF wazibane hizi kampuni, ni wasumbufu sana jamaa.