zoom@Tz NIMEWAKUBALI

Mujumba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
853
Reaction score
306
niliona tangazo la kazi zoom@tz, nikatuma maombi, that was in july last year, nikaitwa interview mwezi huo huo tukaambiwa tusubiri majibu! nimesubiri kwa muda wote huo last week jamaa wameniita nikaanze kazi morogoro,GROSS SALARY NI 1.2 M TSH, nyumba, gari vyote nimekabidhiwa leo, cant wait to start kuchangia to jamiiForums! narudisha sifa za pekee kwa zoom@tz kwa kunikutanisha na hili shirika la waamerika! nilichojifunza kuwa maisha yanahitaji uvumilivu sana na yesu ni jibu siku zote!
 

kwenda zako
 

unapost m cv kila mtu anausoma! §4@<j6
 


Tnafurah kusikia kuwa Yesu amekutendeaa,kila jaribu lina mlango wake wa kutokea..hii iwe ushuhda mzuri kwa wale wote wanaotafuta kazi..msikate tamaa,Mungu anatenda kwa wakati wake
 
Hongera sana mkuu Mujumba,tunakutakia kila la heri katika ajira yako mpya.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…