Zoom-Tanzania ichunguzwe

Zoom-Tanzania ichunguzwe

I pity you! That language!! Leave it to others!!!

Kiswahili kinakufaa zaidi we mhandisi. Kama kweli umemaliza chuo kikuu halafu huo ndo uwezo wako wa "kimalkia" basi acha wakutapeli hadi upate akili.

Narudia tena. Tumia njia rasmi waliyotoa kuripoti. Watakachokujibu leta mrejesho. Sio unabwabwaja kiingereza kibovu kama Bongo Muvi.

malalamiko ya zoom yanaletwa huku bila kusema hatua gani muhusika alichukua kuwataarifu zoom, na reactions zilizochukuliwa na zoom.
matapeli wapo kila kona, hata jf hapa kuna malalamiko ya watu kutapeliwa.
huko facebook, yahoo na gmail kila siku tunapokea ma spams ya matapeli, tunachofanya ni kiwaripoti na kuwablock, sasa iwaje zoom isitumiwe na matapeli? maana zoom haichagui nani anajiunga nao, nani apost nini. cha muhimu ni wewe mwenyewe kuchuja vya maana.
kama tapeli analunyemelea wewe mripoti tu inatosha.
 
Kumbe kusoma hujui,ulipoanza kwa kunikosoa kisa language nikajua upo timamu.Ni wapi nimeandika nimetapeliwa? Wewe utakuwa ni mmoja wa wale matapeli wewe
naona kila mtu una mtuhumu ni tapeli wako. kuwa na lugha ya staha ndugu. humu humu jf watu wanasaidiana kupata ajira, kwa kiburi hicho hakuna atayekusaidia.
 
naona kila mtu una mtuhumu ni tapeli wako. kuwa na lugha ya staha ndugu. humu humu jf watu wanasaidiana kupata ajira, kwa kiburi hicho hakuna atayekusaidia.
Hapana mkuu mimi si kiburi ninapojua nimekosea mara moja naomba samahani na ilikuja hasira gafla kusema hivi na sina maana ya kila mtu namshutumu ni tapeli hapana. Nimtake radhi ndugu yangu ila pale nilipokosea angenirekebisha ingependeza zaidi
 
Zoom by itself is not safe..wahuni wakutupwa hawa, sometimes yanatangaza kazi kampuni flan ila hio kampuni ukienda wanakwambia hawajatangaza hizo kazi
zoom personally sijawahi ona hiyo tabia, ila brighter monday ndio mchezo wao huo.
 
Wewe hukuwa zoomtanzania!!!!
Nina zaidi ya 4 years natumia zoom, na baadhi ya kazi niliitwa interview lakini sikuwahi ombwa pesa.
Zoom wako vizuri sana.
They're the best jobs engine search.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom