Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
NakuPM nini sasa?Kwakweli nilitaka nijue hii imenikuta mimi tu au la ila majibu umeyaona kinachotokea.
Kwenye ombi langu nilisema sina nia mbaya ya kuwaharibia zoom tanzania ila huu ujinga aisee umenichosha sasa anyway hongera kwa kupata kazi kwa kupitia zoom tanzania uni pm na mimi nipate
Kama huna nia kuwaharibia piga ile namba waliyoweka utoe ripoti rasmi.