Eng Inc
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 631
- 946
- Thread starter
- #61
Kujaza server na kueleweshana ni kosa kumbe?Unatujazia server tu. Kama umeshaambiwa ukiona dalili fulani kwenye mchakato wa ajira achana nao huo ni utapeli, halafu ukurupuke huko ZOOM ICHUNGUZWE sasa sijui ichunguzwe kwa lipi na ushapewa angalizo na hao hao zoom.
Ngoja nikupe angalizo lingine yasije yakakukuta: Ukiona mtu kashika KY Jelly halafu anakwambia uvue nguo uiname, usikubali...badala yake chapa mbio kali. Huyo atakuwa anataka tu kukuibia chupi yako kwa kuwa ni nzuri
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app