Zoom imeungana na Kupatana

Zoom imeungana na Kupatana

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,192
Reaction score
6,144
Kiukweli binafsi nilikuwa mtumiaji mzuri wa hii application ya zoom hususan katika kuangalia ajira na fursa mbalimbali.Lakini Jana nimeingia nikashangaa inafanana kabisa na Kupatana nikajua labda nimekosea badala kufungua zoom nimefungua kupatana( binafsi huwa siipendi kabisa kutumia kupatana) Lakini nilisikitishwa kuona ipo vilevile.

Zoom wameamua kutufanyia vibaya sana watumiaji wake.Kupatana haina mvuto kabisa wala haijafocus katika ajira,fursa na tenda mbalimbali bali imefocus zaidi kwenye kuuza na kununua bidhaa hata kimuonekano haijakaa vizuri na haina mvuto kabisa.

Nimefikiria nimegundua hizi app za bongo ni geresha tupu yaani zinaendeshwa hovyohovyo tu.

NIMESIKITIKA SANA na sidhani kama nitaitumia tena.
 
NI HOVYO YAANI... Mie nilikuwa naitumia kuangalizia viwanja na nyumba za kupanga mjini ila sasa basi.
 
Back
Top Bottom