Zombie ananitega . . .

asante, ushauri wako unaonesha uzoefu mkubwa kwa kweli.

 
mmh, natamani nifunge huu uzi sababu yako.
we uzi funga mie niko busy natafuta new wedding design hapa staki kusumbuliwa hapa lat minutes!manake kwa uzoefu mazzombie yakipewa nafasi huwa hayapotezi i see! matokeo yake huwa ni haya
 
sijanasa bado, huu mchakato tu Koku

sikubali kushindwa kirahisi.

Kemea mwanawane. Hawa jamaa wana mbinu. Waeza sema i will never afu unajikuta ume ever.

Make a distance, ama sivyo utakuja tena na habari nyingine.
 
Mpe tu kwani anachukua? si anafanya tu akimaliza anafunika kisha anayeya zake.

 
ha ha ha, leo ngoja niwe mpole kwa muda

ila nahisi nishapata mwarobaini wake
sipokei tu simu zake.

we uzi funga mie niko busy natafuta new wedding design hapa staki kusumbuliwa hapa lat minutes!manake kwa uzoefu mazzombie yakipewa nafasi huwa hayapotezi i see! matokeo yake huwa ni haya
 
ha ha ha, leo ngoja niwe mpole kwa muda

ila nahisi nishapata mwarobaini wake
sipokei tu simu zake.
sasa kwa taarifa yako!hapo ngoja nikushauri kike
yani we zombie ushalizoesha kulipigia simu hata usiku wa manane halafu ghafla usipokee simu yake
ATAJUA TU UMEANZA KUJISTUKIA!next time ah kitu chaliiiiiiii!MIE HUYOOOOOO kwa Nafueeeeee!
 
nshaliona hilo
ndio maana imebidi nijihami hapa kwanza

afu nijipe muda wa kutafakari, nimekosea wapi hadi zombie ananiambia 'i love u' kila siku?

Tena, we ngoja, kuanzia kesho sipokei simu zake wala sijibu sms.

Kemea mwanawane. Hawa jamaa wana mbinu. Waeza sema i will never afu unajikuta ume ever.

Make a distance, ama sivyo utakuja tena na habari nyingine.
 
Mmmmhh, ya kweli haya?
Kongosho this is true. am married to the man ambaye sikuwah hata kumuwaza kama angekuwa best friend kwangu, imagine nilikuwa namuona just like any other friend by then. nilikuwa nasoma udsm kozi tofauti na yeye, na mm nilikuwa nina mtu ambaye nilikuwa nazuga nae as bf, so ingawa alikuwa ananipenda sana but mm sikujua and not one or twice i dared drive my fingers on his feelings but sikujali. manake alikuja rum kwangu siku ya kwanza just kunisalimia and nilikuwa naish chumba changu alone, tukapiga stori kama mtu baki tu, siku iyo ilikuwa naenda njenje enzi hizo walikuwa wanapiga ilipokuwa city ambassador so nilikwenda kuoga na nikavaa akiwepo kwa rum nikatoka na aliyekuwa bf wangu kweda njenje, aliumia ila akajikaza kisabuni. siku nyngine alikuja kunisalimia akiwepo akaja bf wangu kunichukua twende dinner alikuwepo na niliona kama mtu wa kawaida tu.

siku ambayo bf alinidissapoint yy ndo alikuwa mtu wa kwanza niliyekutana nae siku hiyo, na akanifariji sana, and from there ndo nikaanza kuona kumbe alkuwa ananipenda na nilimuumiza kwa kutokujua mapema. anyways alifanikiwa kunimega and he married me and now he is ma dear angle........
 
Last edited by a moderator:
kumbe hii mijitu inajitia hashuo za nazi kuvunjwa kwa chuma ndani tui zitoooooooo!ahahhahahhahahhahhahahha eti alifanikiwa kunimega!na we sipati picha ulivoiachia ahahahhahhahah kweli halua haina makombo! cacico mwayego henu hamka umsikie mwafdenge huku!
chezeya mfumuo rpindo wa zombie lililoshuhudiwa ukienda kudinywa hivi hivi!
 
Last edited by a moderator:
hahahahh! alonifumua pindo ilibidi ndo alokula nyama, mwenzie alkua anapaka rangi na kuhesabu ngazi kwanza. hakunidinya mtu pasi kasisi kuidhinisha lolest! nilikuwa nabana acha kabisa utafikir ilikuwa blue band kwamba itaisha
 
gfsonwin, acha kunitisha.

Ni mjayanti huyo! Ntakuwa kama kijiko na mwiko wa ugali.

Hongera, wee alijikomboa mapema hadi akaoa.
 
Last edited by a moderator:
hahahahh! alonifumua pindo ilibidi ndo alokula nyama, mwenzie alkua anapaka rangi na kuhesabu ngazi kwanza. hakunidinya mtu pasi kasisi kuidhinisha lolest! nilikuwa nabana acha kabisa utafikir ilikuwa blue band kwamba itaisha
ahahahahhahah yani nimechekaaaje!mwali huniishi hamu ujue!af makryofisiology yanakusubiri hivoo we piga domo tu hapa!
 
gfsonwin, acha kunitisha.

Ni mjayanti huyo! Ntakuwa kama kijiko na mwiko wa ugali.

Hongera, wee alijikomboa mapema hadi akaoa.
af we dogo we piga kelele weee imba weee cheza makida hapa na maraight weeee !ila glamobox utaenda tu!
aliyekwambie yale makitu kuna urefu na ufupi nani,we toka lini umekuwa mwalimu wa hesabu topic ya metrics sijui kulinganisha urefu na ufupi wa kitu!
kwanza urefu wa mtu ni kuanzia kiunoni kwenda juu huko kweingne sawa sawa tuuu!hapana kuwa na wasiwasi!
 

hah hah hah hah! Kongosho kwishney!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…