yani hata mimi naponda kama hatua ya pili ya kutengenza catless vile!ila hebu tupeane way forward!manake bora mimi i see wakja wengne humu kesho mbona itabidi tu usalimu amri !hata mie nashangaa unavyocheka
wakati hadi kulata hapa ujue nimeshindwa.
Nikiwaambia mashosti watapondaje? Maana mie bingwa wa kuponda mizombie
Mpe tu.
Hahahaaaaaaaaaa! MIZOMBII bwaba ukiifuga muda mrefu INAOTA MAPEMBE!!!!! INATAKA KUKUPANDA KICHWANI KABISAAA!!!!!!! Hapo usilogwe ulionjeshe! LINA UGWADU WA MDA WOTE ULIVOLIZUNGUSHA!!!!!! Usipoangalia LITATWANGA KOTE KOTE! Dont cross the boundary!
Kongosho umepatikana!!..eti saa zingine natamani anipigie simu..we!..kweli ndege mjanja hunaswa na tundu la kiujanja..Hatimaye zombie kapata fahamu..pacha snowhite naona unataka kunipeperushia ndege wangu..manake na mie uzombie ulinishinda nikacross border..Mdogo wangu lara 1 ahsante kwa kunikomboa kwenye uzombie..mbona ningeoza bila kujifahamu!....
...Wee ulijikomboaje katika hili?
Baba V haikuwa peke yako!
Ila l can't imagine Kongosho akiuma Kucha huku anachora chora chini. LOL
Kongosho na we kweli ukaenda kuomba msaada kwa SnowBall ahahhahahhahha umeona ushauri wake sasa!pachaaaa!kwa hiyo hapo unamuombea zombie la Kongosho lizinduke sio!ahahahahah haya bana!Mie nilitaka kufanywa zombie..ikatokea nafasi kama ya huyo wako sikufanya makosa mbona..namuombea tu huyo wa kwako naye zimrudie akili zake...kufungwa tu miaka yote!!
AMPE ZOMBIE WA WATU!APUMZIKE!APUMUWE KIDOGO lol!Ulipewa bure toa bure, kwani ya kupulizia moto hiyo? Au ya kuchotea maji?
hivi unajidanganya mwaya hapo namba yake unayo kichwani manake mazombie ndo huwa wanatufuata harusini wapenzi wakituacha,mazombie ndo wanaendaga kwenye misiba ya jirani zetu,mazombie ndo yanapelekaga watoto wetu beach siye tukienda kula raha na baba zao,mazombie ndo yanababysit ,sasa utaachaje kujua namba ya zombie kichwani!ahahahahhahha we jiachie tu!sikitaki, tena nadelete na kublock namba yake.
Nimeshafanya azimio, sili nilivyosusa.