kwa aliyewahi kufanya anyooshe kidole juuuu
kila mtu anajua afanyalo awapo kitika eneo hili
Wewe huwa unafanyaje
1. Unasafisha kwanza
2. Unapanga tishu
3. Unaenda na gazeti halafu unalitoboa katikati
4. unakwea juuu ka jamaaa
etc
View attachment 120747
Hio kwenye picha ndio style yangu ya kila siku...
Inabidi watu wawe wanaelewa choo cha kukaa hakitakiwi kitumiwe kwenye maeneo ya public.
UTI.. Ni ugonjwa hatari sana
kaka upo?
Mkuu wangu hiyo kwenye picha ina hatari mbaya mno kwa sababu hayo madude huwa yanapasuka. Hebu fikiria umepanda juu ya hicho choo halafu kinapasuka!!Hio kwenye picha ndio style yangu ya kila siku...
Inabidi watu wawe wanaelewa choo cha kukaa hakitakiwi kitumiwe kwenye maeneo ya public.
UTI.. Ni ugonjwa hatari sana