-live Wire
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 375
- 190
Hivi ma juzi baada ya mh raisi kuwaapisha wakuu wa mikoa bila Shaka Zoezi hilo Lilienda sambamba na agizo la ukaguzi wa watumishi hewa katika sekta zote ,nimekua na wasiwasi endapo kama Zoezi hili lina fanywa Kwa weledi uliotukuka kwani hukawii kuskia sekta kadhaa ndo zinazo ongoza Kwa watumishi hewa ili hali zipo zileeee ambaxo huziskii zikiguswa kabisa ...na pengine huenda ndo zikawa na wafanyakazi wachache wenye kuchukua mamilioni Kwa mwezi.
Hakika naamini kama ni sekta itakayofanya vizuri katika Zoezi hili ni sekta ya elimu,mathalan Kwa siku hizi chache baadhi ya mikoa ,wakuu wa mikoa wamesha toa agizo Kwa idara za elimu na Msako mkali unaendelea kufanyika ikiwemo pamoja na ukaguzi wa ana Kwa ana Kwa kila kituo .kwa mfano mkoani simiyu waalimu wanaitajika kujidhirishia kua wapo Kwa kituo chao cha kazi Kwa kuhudhuria Zoezi la ukaguzi linalofanywa na mkurugugenz pamoja na timu yake ...na sio hivyo tuu bali watumishi hao waambatane na viambatanisho kama barua za ajira ,vitambulisho vya ajira ,salary slip na hata leseni kama utambulisho.ama kweli hapa ndo watafukuzwa wengi sambamba na Sheria Mpya ya magufuli utoro kazini Kwa siku tano mfululizo pasipo ruhusa ni kibarua kuota majani.
Hoja ya msingi hapa ni kwanini kama mh ana dhamira ya dhati ....inakua vigumu kiasi gani Zoezi zito kama hili lisiambatane na ukaguzi wa vyeti bandia a.k.a vya kugushi ili walau wasomi halali na wanaokidhi viwango waliopo mtaani wapate ajira ....sijajua kwanini suala la vyeti linapigwa Dana Dana kila kukicha.huenda likawa na agenda nzito sana na pengine viongozi wakubwa wakabainika na kukawa na mpasuko mkubwa kitaifa ....je hasara ni zaidi ya wimbi linaloendelea au busara ni Zipi?
Naomba kuwasilisha!