Zoezi la kutafuta mchumba limekuwa gumu

Zoezi la kutafuta mchumba limekuwa gumu

We chalii tafuta ela kwanza, jenga nyumba, nunua gari, na weka mradi wenye kuingiza ela kila cku. Baada ya halo watakuja wenyewe
 
Tatizo hamtaki single mothers..... Hao ndo wanaelewa maisha ni nn
 
We chalii tafuta ela kwanza, jenga nyumba, nunua gari, na weka mradi wenye kuingiza ela kila cku. Baada ya halo watakuja wenyewe
Kipindi hicho chote mpka unafika hapo kutakuwa na nani wa kukuliwaza aisee?
 
Mkuu utapata wa kufanana nawe, hizo ni ups and downs kuelekea kufanikiwa.......
 
Wakwanza wakati tunafahamiana alidai ni yatima baada ya muda kusonga nikagundua wazazi wote wapo hai tena wazima wa afya huyu alikua mdangaji hakujua nina dhamira ya kuoa hivyo basi akaja na gear ya uyatima kupata slope.

Wapili kuna wakati ukimpigia simu ipo busy karibu muda wote(blacklist) baada ya muda inapatikana,simu haipokelewi kwa wakati na inapopokelewa sababu sio za kuridhisha "baba alikuepo"

Wa tatu, toka tumefahamiana haujaisha mwezi napowasiliana nae mazungumzo hayawezi fika tamati bila kuomba pesa,endapo nitatoa ahadi inageuka deni kila muda anaulizia.

Mliopo kwenye ndoa nipeni madini kukabiliana na hali hii.
Wote hao sio, siku ukikutana na mkeo utamjua kabla hata ya kumtongoza
 
A
Wakwanza wakati tunafahamiana alidai ni yatima baada ya muda kusonga nikagundua wazazi wote wapo hai tena wazima wa afya huyu alikua mdangaji hakujua nina dhamira ya kuoa hivyo basi akaja na gear ya uyatima kupata slope.

Wapili kuna wakati ukimpigia simu ipo busy karibu muda wote(blacklist) baada ya muda inapatikana,simu haipokelewi kwa wakati na inapopokelewa sababu sio za kuridhisha "baba alikuepo"

Wa tatu, toka tumefahamiana haujaisha mwezi napowasiliana nae mazungumzo hayawezi fika tamati bila kuomba pesa,endapo nitatoa ahadi inageuka deni kila muda anaulizia.

Mliopo kwenye ndoa nipeni madini kukabiliana na hali hii.
Aisee changamoto kwa kweli! Inatakiwa kuwa making kwa kweli
 
Hao wote kinachowasumbua ni pesa..hao wanaokuyeyusha wameshaona hauna kitu kuna majamaa wanayadanga.....huyo anayejionyesha kama omba omba ., ana bahati mbaya hana mtu mwenye pesa....sasa hii ndiyo hali halisi ya mademu tulionao kwa asilimia 95%...kama hutaki bughuza ,.tafuta mke wa mtu aliyetulia ...ingawa wanasema ni sumu...ukitaka namna ya kuikabili hiyo sumu njoo pm...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom