kigwenje
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 293
- 241
HatariNdio.maana una supp supp hovyo huko chuo upo bize na ujinga ujinga tu
HatariNdio.maana una supp supp hovyo huko chuo upo bize na ujinga ujinga tu
Ndiyo n'jomba nambendee bah!!!
Chukua namba hii 0686 71060,,, ya mwisho malizia,ila ni mfanyakazi wa seikali,jina la kwanza hadija,atakufaa nadhani
... Mkuu Mbona Kama mi nimeshaijua hiyo namba ya Mwisho ... Nimsaidie kumpatia iyo namba ndugu yetu apate mke..? tell me if you ar serious tumsaidie jamaa ...
Acha kudangaAcha ubahili kwanza
Mkuu n wajinga sanahichi ndo kinachowakost wakinadada mkisha ingia kwenye mahusiano mnawaza kutatuliwa shida tu na misemo yenu et wanaume wa siku hizi wabahili
Maneno kuntu haya[emoji122] [emoji122]Unataka mke au mke mwema??
"Sio kila mwanamke ni mke"
Usijar! Utapata chaguo sahihi! Kikubwa ni kumuomba Mungu!Wakwanza wakati tunafahamiana alidai ni yatima baada ya muda kusonga nikagundua wazazi wote wapo hai tena wazima wa afya huyu alikua mdangaji hakujua nina dhamira ya kuoa hivyo basi akaja na gear ya uyatima kupata slope.
Wapili kuna wakati ukimpigia simu ipo busy karibu muda wote(blacklist) baada ya muda inapatikana,simu haipokelewi kwa wakati na inapopokelewa sababu sio za kuridhisha "baba alikuepo"
Wa tatu, toka tumefahamiana haujaisha mwezi napowasiliana nae mazungumzo hayawezi fika tamati bila kuomba pesa,endapo nitatoa ahadi inageuka deni kila muda anaulizia.
Mliopo kwenye ndoa nipeni madini kukabiliana na hali hii.
Ngoja niwe wanne[emoji4]Wakwanza wakati tunafahamiana alidai ni yatima baada ya muda kusonga nikagundua wazazi wote wapo hai tena wazima wa afya huyu alikua mdangaji hakujua nina dhamira ya kuoa hivyo basi akaja na gear ya uyatima kupata slope.
Wapili kuna wakati ukimpigia simu ipo busy karibu muda wote(blacklist) baada ya muda inapatikana,simu haipokelewi kwa wakati na inapopokelewa sababu sio za kuridhisha "baba alikuepo"
Wa tatu, toka tumefahamiana haujaisha mwezi napowasiliana nae mazungumzo hayawezi fika tamati bila kuomba pesa,endapo nitatoa ahadi inageuka deni kila muda anaulizia.
Mliopo kwenye ndoa nipeni madini kukabiliana na hali hii.
Ushaur mzur kiasmwanamke wa kuoa angalia pia age, usipoteze mda kwa vibinti vya maiaka22 pasua kichwa ivyo, pia tafuta mwanamke mwenyeuchungu na maisha hasa hawa waliotendwa vibaya sana wanatulia vzr sana wakikuamini aisee, ushauri Tu.
Kwan mwanafunzi huyuNdio.maana una supp supp hovyo huko chuo upo bize na ujinga ujinga tu
Mnaaangaika kutafuta Mwanaume au Mwanaumke (Wenzi wa Maisha),Mtapata Tabu Sana kiuhalisia wenzi wa Maisha sio bidhaa au kitu eti uanze kutafuta ukitafuta utakipata utaka chotafuta na utajuta Siku moja kwann ulitafuta,
Hapa ni kwamba Mwenzi wako wa Maisha yupo na wakufana na wewe yupo,kuwa mtulivu muombe Mungu tu na subiri Wakati ambao Mungu amepanga aje atakuja tuu na utamjua sasa ukiangaika utachukua kisicho chako utajuta Siku moja
............................................................................,,,,,,,,,,, ................... ................................................ Mkuu mi ata sikuelewi vizuri ... Ushauri wako si sahihi ... Unasema jamaa anahangaika kutafuta mwenzi wa maisha yake wakati yupo..? Sasa Kama yupo je yupo wapi mwambie alipo basi ili umrahisishie asihangaike .... Ivi inawezekanaje mtu apate kitu bila ya kukitafuta..?
Kudanga ndio nini?Acha kudanga
Age muhimu sanamwanamke wa kuoa angalia pia age, usipoteze mda kwa vibinti vya maiaka22 pasua kichwa ivyo, pia tafuta mwanamke mwenyeuchungu na maisha hasa hawa waliotendwa vibaya sana wanatulia vzr sana wakikuamini aisee, ushauri Tu.
dah we ulikuwa kiboko aisehha ha ha kupata mke au mchumba halisi si jambo rahisi nakumbuka mimi nilikuwa nazunguka chuo hadi chuo na sikufanikiwa,kila unayempata anachangamoto zake
ha ha ha ha wakati mwingine inachekesha kwelidah we ulikuwa kiboko aiseh