Zoezi la kutafuta mchumba limekuwa gumu

Zoezi la kutafuta mchumba limekuwa gumu

Ianategemea na aina ya wanawake unaowafuata. Unamtongozaje mwanamke asiye na uhitaji wa mume?
Kabla hujaanzisha mahusiano yako, swali la kwanza lazima mchunguze huyo mwanamke kuwa anauhitaji wa mume kwa muda huo. Vinginevyo unapoteza muda
 
Chukua namba hii 0686 71060,,, ya mwisho malizia,ila ni mfanyakazi wa seikali,jina la kwanza hadija,atakufaa nadhani
... Mkuu Mbona Kama mi nimeshaijua hiyo namba ya Mwisho ... Nimsaidie kumpatia iyo namba ndugu yetu apate mke..? tell me if you ar serious tumsaidie jamaa ...
 
hichi ndo kinachowakost wakinadada mkisha ingia kwenye mahusiano mnawaza kutatuliwa shida tu na misemo yenu et wanaume wa siku hizi wabahili
mkuu acha waendelee kutumika afu watakuja kushituka badae wakati jua linazama😀😀😀😀😀😀
 
Hilo la Pesa ni ngumu sana kuamua Mwanamke gan wa kuoa,
Maana na wao pia wanapima kama kwel ukiwa mume wake utaweza mtunza?, na ndio maana anakuomba kuona kama je unao uwezo wa kutunza familia?...
Mpe kwa kiasi na pima upendo kwa namna nyingne,.
 
Kutafuta mke ni swala kubwa Sana na ushukuru Mungu wamekuonyesha tabia zao. Jipe muda utapata msichana sahihi kwa wakati wake
 
Uwe kama simba mwenda pole brother.

Usioneshe seriousness yako mbele ila ukiulizwa kama utamuoa mkubalie ila tanguliza sala na maombi kwa Mungu.
 
Jitathimini wewe kwanza. Inawezekana wewe ukawa una mapungufu ya msingi pia.pigs moyo konde mabadiliko wakati mwingine huja baada ya kuoana. Tabia zenu hutatuliwa kwa pamoja
 
haiii bwana wewe kusema kua wewe huna changamoto/mapungufu au......jichunguze na wewe.jirekebishe utapata mke toka kwa Mungu
 
Stage 3 kuzaliwa kuoa /kuolewa na kifo. hatua ya pili ni mtihani mgumu sana kwani unaweza kuongeza maisha au kupunguza maisha . Omba kwa kutumia imani yako ili upate mke mwema anaejilinda na sio kulindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanamke wa kuoa angalia pia age, usipoteze mda kwa vibinti vya maiaka22 pasua kichwa ivyo, pia tafuta mwanamke mwenyeuchungu na maisha hasa hawa waliotendwa vibaya sana wanatulia vzr sana wakikuamini aisee, ushauri Tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom