Mwanaume unayefuatilia ndevu za mwanaume mwenzako, unachokitafuta utakipataNimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudhalilika maana yake sio mpaka mkewe aseme ila walimwengu tumeona, we team uchafu mwenzie huwezi liona hiloMkewe alikuambia kuwa anadhalilishwa?
Hapana...punguza jazba na povu.Kudhalilika maana yake sio mpaka mkewe aseme ila walimwengu tumeona, we team uchafu mwenzie huwezi liona hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa na yeye ni team uchafu hatokeleka ila sisi tulipata mafunzo ya jinsi ya kumtunza mume kwa kweli tunamshangaa mkewe anamruhusu vipi mwanaume kutoka akiwa rafu namna hiyoHapana...punguza jazba na povu.
Jibu tu swali langu nililokuuliza kwa weledi bila panic
Mkewe alikuambia anakereka na hizo ndevu?
Mimi sijakuuliza nikiwa na maana mbaya.
Ushawahi kuiona picha ya yetu?Hata picha za yesu alikuwa anafuga ndevu na pia anavaa kanzu ..na yesu anasema jitieni nira yangu na mjifunze kwangu....sasa leo kufuga ndevu unakuita ujinga....hahaha yaani siku hizi kuwa mkiristo maana yake ni kupinga wanavyofanya waislamu hata kma biblia imeandika huwa mnavikana so long waislamu wana pracise hiko kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize mbona kina Bilal wale wa maigizo tu ndevu zao walikua wanachana huyu je kapatwa na nini?Ukimaanisha kuwa Ndevu ni Uchafu utakuwa unamtusi waziwazi Mtume Muhammad (S.A.W)
Naam na Maswahaba wake.
Zito acha uchafu,kama huwezi kufuga ndevu kinadhifu bora unyoeSasa imani yake au ndevu zake zinakukera nini kama sio mchicha pori wewe?
Lexus Mayai
Ni sawa ila kufuga Ndevu si UchafuJiulize mbona kina Bilal wale wa maigizo tu ndevu zao walikua wanachana huyu je kapatwa na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalifahamu na usafi wa ndevu ndio nausisitiza hapa,mumeo akiamka asubuhi baada ya kumtengea maji akaoge,akishavaa kabla hajatoka tujaribu kuwakagua je visikizo vya shati amefunga sawa sawa,nywele amechana?midomo sio mikavu,ndevu zimekaa vizuri?Ni sawa ila kufuga Ndevu si Uchafu
Kuacha Ndevu kuwa chafu ndio uchafu wenyewe
Kuna wengine wanafuga ndevu ndefu kabisa lakini katika hali ya usafi.
Shauku ya uwaziri inampa Mawazo sana hasa wa Nishat,jamaa angemteua tu kumuokoa kwenye uchizi
Halafu mkuu mbona vitu vingine vya kawaida sana.Mbona waliemchagua hawalalamiki kuhusu ndevu zake mkuu au wao hawamuoni kipindi hichi.
Wewe anakukera kama nani? Kwani wewe ni mkewe? Acha ujinga aisee fanya yako acha kufatilia maisha ya mtu.Nimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana
Sent using Jamii Forums mobile app