Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Acha kufatilia mambo yasiyokupa faida/furaha yoyote maishani.

Muda unautoa wapi wakufatilia maisha ya mtu tena kitu kinachoitwa ndevu...na kama wewe ni njisi "Me" utakuwa na matatizo makubwa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wee jifanye upo busy wakati huna lolote. Ukiwa Jf tu maana yake na wewe ni mfuatiliaji wa mambo yasiyokupa faida. Halafu punguza kukalili jifikirishe hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkewe yupi au huyu aloleta uzi!!! hivi ndevu zake zina athari gani kwa mustakabali wa wapiga kura wake?
 
Jifanyie upembezi yakinifu na ujipitie upya..

Wewe unafatilia vitu vidogo-vidogo tena visivyo kupa faida/furaha au kukuongezea maarifa.

Unafatilia ndevu za mwanaume..? huu si ni uzwezwe...?

Nyinyi ndio mnapaswa mpewe darsa.
 
mkewe yupi au huyu aloleta uzi!!! hivi ndevu zake zina athari gani kwa mustakabali wa wapiga kura wake?
Zina muonekano mbaya na kusadifu kua huyu mtu ni mchafu wa mwili, kiongozi hasa yule aliye kijana ni Mfano wa kuigwa na wengi kuanzia kimuonekano mpaka kimatendo.....hivyo tu elewa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifanyie upembezi yakinifu na ujipitie upya..

Wewe unafatilia vitu vidogo-vidogo tena visivyo kupa faida/furaha au kukuongezea maarifa.

Unafatilia ndevu za mwanaume..? huu si ni uzwezwe...?

Nyinyi ndio mnapaswa mpewe darsa.
Nasikia nawe wafwata darsa la kufuga ndevu chafu chafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifanyie upembezi yakinifu na ujipitie upya..

Wewe unafatilia vitu vidogo-vidogo tena visivyo kupa faida/furaha au kukuongezea maarifa.

Unafatilia ndevu za mwanaume..? huu si ni uzwezwe...?

Nyinyi ndio mnapaswa mpewe darsa.
Kama unafatilia wanao vaa mlege/ kata k. Sembuse mm kufuatilia uchafu wa ndevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-29-14-56-14.png
    102.1 KB · Views: 35
Chafu chafu waziona wewe.

Au ushawi kuishi naye...?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwenye Tv tu amenichefua nikiishi nae si ndo ntatapika kabisaa! Viongozi shart wawe wasafi na muonekano nadhifu,mume wangu siwezi kumruhusu atoke nje kwenye mihangaiko akiwa vile lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unafatilia wanao vaa mlege/ kata k. Sembuse mm kufuatilia uchafu wa ndevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakandanda!!!
Karibu kwa kambumbu...hao wanavaa legeza uwanjani pale tuwatazamapo na wanasakata kandanda kweli kweli na wanatupa burani tosha ya mchezo.

Sasa wewe huo uchafu wa ndevu unaozungumuzia wa bwana huyu umeuthibitisha wapi...?
Au unaona ndevu kuota pasipo kubughudhiwa unaona ni uchafu ...?

Au mwenzetu unaishi naye chumba kimoja...?
 
Mwanasiasa maarufu tanzania huyo. Tena tambua huyo ni public figure hatuwezi kumuacha awe mchafu kiasi kile. Ndio maana hata wewe unapofuatilia kabumbu yule anayekosa goli ndani ya kumi na nane lazima huwa anakukera. Ndivyo mm nilivyokereka na mindevu iliyo shaghalabaghala kwa mwanasiasa maarufu na mwenye heshima ndani na nje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa najaribu kujua kama wanaokubaliana na hoja hii ni jinsia ya ME au KE kwani inategemewa wengi watoke kwenye jinsia ya KE, hebu tujaribu kuona kama hili ni kweli.
 
Inawezekana akitoka maliwatoni huwa hanawi maji
 
Nilikuwa najaribu kujua kama wanaokubaliana na hoja hii ni jinsia ya ME au KE kwani inategemewa wengi watoke kwenye jinsia ya KE, hebu tujaribu kuona kama hili ni kweli.
Mimi ni mwanamke na siwezi kumuacha mume wangu atoke mchafu mchafu vile Mbele ya media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimaanisha kuwa Ndevu ni Uchafu utakuwa unamtusi waziwazi Mtume Muhammad (S.A.W)

Naam na Maswahaba wake.
 
Mkewe alikuambia kuwa anadhalilishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…