Zitto Zuberi Kabwe nisikilize kwa makini

Mimi niwakigoma lakini jamaa heshima yake imeshuka aende tu ccm hana mvuto zito amebaki wahovyo kabisa
Ukiona mtu mwenye akili anatokea Kigoma ujue ni mmanyema. Waha zaidi ya kukomaa mwili hawajawahi kuwa na akili.
 
Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika.

Sasa nisikilize.

Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na unafanya juu na chini ubaki relevant kwenye medani za siasa.

Shida ipo kwenye mbinu ama strategies unazotumia kubaki relevant ili system ikutambue.

Nahisi umepoteza muelekeo wa kisiasa, umebaki kuishi na matokeo.

Umekua mwanaharakati zaidi na ilifikia wakati nilishindwa kukutofautisha na the likes of Fatma Karume na Maria Sarungi.

Kwa sisi tuliosoma Political Science, unaanza kuwa Mwanaharakati then Mwanasiasa na sio kinyume.

Hilo moja, pili nahisi Zitto umepoteza ushawishi wa kitaifa kutokana na dhana ya kutokua na msimamo. Ukitaka kudhibitisha hilo njoo hapa Kinondoni, itisha mkutano wa had hada halafu pima muitikio wa watu.

Zitto wa Leo sio Yule wa 2010 - 2015, system inakupuuza kwa sababu umepoteza relevance.

Nini unachotakiwa kufanya?

Sina uhakika na umri wako but nakadiria kati ya 45 mpaka 50. Kwenye Siasa huo ni umri mdogo sana, una miaka mingine kama 25 ndani ya Siasa.

Unachotakiwa kufanya ni kurudi nyuma na upange urejeo wako ‘The Come Back’

Tafuta washauri wa kisiasa, ni kujichimbia kaburi kutegemea vijana wadogo kama Abdul Nondo. Bahati mbaya Mzee Seif Shariff Hamad alitutoka mapema angekua msaada mkubwa Kwako. Naamini kuna wazee wengi ndani ya ACT upande wa Zanzibar, unaweza ukijrudi na kutafuta ushauri kwa wazee wengine wastaafu, bottom line unahitaji ushauri kuna makosa mengi madogo madogo unayoendelea ya kuyafanya.

Mwisho, Waachie Twitter wanaharakati, Siasi ipo mashinani,ingia field.

Mwisho, You may have lost the battle but not the war.

Hapo Vipi?

Zitto keshakuwa compromised...!
 
Hao Chadema ndio tawi tiifu la CCM
Zito hajui anachokitaka ndio maana ccm wanaweza kumtumia watakavyo.

Kwa kifupi kisichoeleweka kwa wengi ni kwamba, zito anapambana na Chadema badala ya kupambana na ccm ambayo ndio kikwazo kwa watanzania.

Ni kwa vile tupo na mama Samia ndio maana hajaelewa mchezo! Siku akija rais mwenye haiba ya tofauti ndipo ataelewa kumbe adui wake ni ccm. Zitto
 
Umejuaje sina pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] if you don’t interest in politics it doesn’t mean politics doesn’t have interest in you. Kama hujui wanasiasa wanaweza kuamua kuzima data usiku huu nchi nchi nzima na wewe usiweze kuingia hapa Jamii Forums.
Kwa kingereza hiki kweli wewe umesoma political science?! Da!!!!
 
If you don't interest in politics....

Kauli inachekesha na kusikitisha kwa wakati mmoja huo huo.

Zitto ana mapungufu mengi.

Ila nimejaribu kusoma post ya original poster naona qnarukqruka tu hajaeleza kinagaubaga matatizo ya Zitto yako wapi.
 
Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika.

Sasa nisikilize.

Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na unafanya juu na chini ubaki relevant kwenye medani za siasa.

Shida ipo kwenye mbinu ama strategies unazotumia kubaki relevant ili system ikutambue.

Nahisi umepoteza muelekeo wa kisiasa, umebaki kuishi na matokeo.

Umekua mwanaharakati zaidi na ilifikia wakati nilishindwa kukutofautisha na the likes of Fatma Karume na Maria Sarungi.

Kwa sisi tuliosoma Political Science, unaanza kuwa Mwanaharakati then Mwanasiasa na sio kinyume.

Hilo moja, pili nahisi Zitto umepoteza ushawishi wa kitaifa kutokana na dhana ya kutokua na msimamo. Ukitaka kudhibitisha hilo njoo hapa Kinondoni, itisha mkutano wa had hada halafu pima muitikio wa watu.

Zitto wa Leo sio Yule wa 2010 - 2015, system inakupuuza kwa sababu umepoteza relevance.

Nini unachotakiwa kufanya?

Sina uhakika na umri wako but nakadiria kati ya 45 mpaka 50. Kwenye Siasa huo ni umri mdogo sana, una miaka mingine kama 25 ndani ya Siasa.

Unachotakiwa kufanya ni kurudi nyuma na upange urejeo wako ‘The Come Back’

Tafuta washauri wa kisiasa, ni kujichimbia kaburi kutegemea vijana wadogo kama Abdul Nondo. Bahati mbaya Mzee Seif Shariff Hamad alitutoka mapema angekua msaada mkubwa Kwako. Naamini kuna wazee wengi ndani ya ACT upande wa Zanzibar, unaweza ukijrudi na kutafuta ushauri kwa wazee wengine wastaafu, bottom line unahitaji ushauri kuna makosa mengi madogo madogo unayoendelea ya kuyafanya.

Mwisho, Waachie Twitter wanaharakati, Siasi ipo mashinani,ingia field.

Mwisho, You may have lost the battle but not the war.

Hapo Vipi?
Zitto ana mapungufu mengi, na inawezekana unayosema yana ukweli.

Lakini, hujaonesha hilo kwa uwazi na mifano.

Kwa mtu aliyesoma Political Science kama unavyojinadi, nilitegemea utaandika kitu chenye kina kirefu.

Hapa kama unaandika insha ya mapungufu ya Zitto utakuwa umefeli vibaya sana.

Si kwa sababu Zitto hana mapungufu.

Bali kwa sababu wewe umeshindwa kujenga hoja yako.
 
Tafuta pesa kijana usaidie wazazi wako.

Hakuna mwanasiasa masikini na haitakuja kutokea.

Endelea kuwa msukule wa wanasiasa.

Unafikiri kuna kitu Zitto anakosa.

Hivi hizi akili mavi huwa mnaiga au mnaokota?
Kwani amekuambia atafuti ela na wazi wake Wananjaa, jikite kwenye mada jamiiforum ni jukwaa la kupashana habari anahaki ya kumuongele zitto kwa anavyoona kikubw hajamtukana

Zito kabwe ni public figure lazima aongelewa unataka wakuongelee wewe ambaye umejificha kwenye ID bandia
 
Jifunze kuandika kwanza.
 
Watu wa aina hiyo ni wa kuwapuuza brother
 
Fanya mambo yako
Ukitaka uwafatilie wanasiasa watakupasu
Tu kichwa

Ova
 
Hilo moja, pili nahisi Zitto umepoteza ushawishi wa kitaifa kutokana na dhana ya kutokua na msimamo.
Hapa upo sahihi, mtaji wa mwanasiasa hasa kijana ni misimamo yake thabiti usiyoyumba... sasa kwenye hapa huyu ndugu yetu - hiiiii
 
whats special about that? kwamba imekufanya wewe hautakufa ama?
Kafufue mzoga ule nyama wewe acha kulialia hapap.
Ameua na kujeruhi na kupoteza watu wangapi wasiokuwa na hatia? Kwani yeye alijua hatakufa?
Kamfufue
 
Back
Top Bottom