Zitto Zuberi Kabwe nisikilize kwa makini

Zitto Zuberi Kabwe nisikilize kwa makini

Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika.

Sasa nisikilize.

Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na unafanya juu na chini ubaki relevant kwenye medani za siasa.

Shida ipo kwenye mbinu ama strategies unazotumia kubaki relevant ili system ikutambue.

Nahisi umepoteza muelekeo wa kisiasa, umebaki kuishi na matokeo.

Umekua mwanaharakati zaidi na ilifikia wakati nilishindwa kukutofautisha na the likes of Fatma Karume na Maria Sarungi.

Kwa sisi tuliosoma Political Science, unaanza kuwa Mwanaharakati then Mwanasiasa na sio kinyume.

Hilo moja, pili nahisi Zitto umepoteza ushawishi wa kitaifa kutokana na dhana ya kutokua na msimamo. Ukitaka kudhibitisha hilo njoo hapa Kinondoni, itisha mkutano wa had hada halafu pima muitikio wa watu.

Zitto wa Leo sio Yule wa 2010 - 2015, system inakupuuza kwa sababu umepoteza relevance.

Nini unachotakiwa kufanya?

Sina uhakika na umri wako but nakadiria kati ya 45 mpaka 50. Kwenye Siasa huo ni umri mdogo sana, una miaka mingine kama 25 ndani ya Siasa.

Unachotakiwa kufanya ni kurudi nyuma na upange urejeo wako ‘The Come Back’

Tafuta washauri wa kisiasa, ni kujichimbia kaburi kutegemea vijana wadogo kama Abdul Nondo. Bahati mbaya Mzee Seif Shariff Hamad alitutoka mapema angekua msaada mkubwa Kwako. Naamini kuna wazee wengi ndani ya ACT upande wa Zanzibar, unaweza ukijrudi na kutafuta ushauri kwa wazee wengine wastaafu, bottom line unahitaji ushauri kuna makosa mengi madogo madogo unayoendelea ya kuyafanya.

Mwisho, Waachie Twitter wanaharakati, Siasi ipo mashinani,ingia field.

Mwisho, You may have lost the battle but not the war.

Hapo Vipi?
ZITTO KABWE MNAFIKI SANA...
 
Ukiona mtu mwenye akili anatokea Kigoma ujue ni mmanyema. Waha zaidi ya kukomaa mwili hawajawahi kuwa na akili.
Mbona sikuelewi waziri wakuelimisha muha makamu wa rais muha sijui unatatizo gani kukubali hoja nacho nikipimo cha kuelimika lekatudigite kgm
 
Kafufue mzoga ule nyama wewe acha kulialia hapap.
Ameua na kujeruhi na kupoteza watu wangapi wasiokuwa na hatia? Kwani yeye alijua hatakufa?
Kamfufue

so whats special about that? si hata wewe utadie tu, kinachokufurahisha zaidi ni nn wakati we mwenyewe lazima uwe mzoga
 
kama ipi kwa mfano? huyo bibi almanusra aolewe ila mdomo ulimponza, ona sasa mwili ushaota sugu kila sehem anashangilia marehem alieacha watoto
Kwa hiyo baada ya huyo Bibi kutoolewa ndiyo wewe ukaolewa
 
Back
Top Bottom