Zitto Zuberi Kabwe ni Mchochezi. Akamatwe, Ashitakiwe kwa Uchochezi, adai Rais Magufuli ni...

Uongo unamponza na utaendelea kumponza rais wenu
Wanabodi,

Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu Ndege Mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli akizizindua, rais alisema ndege hizo ni mpya kabisa na zimenunuliwa kwa direct sale kutoka kiwandani, bila kupitia kwa madalali, Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, ametangazia umma kupitia Clouds 360 kuwa ndege hizo sii ni ndege za mtumba, zilitengenezwa kwa ajili ya shirika la ndege la Kazakhstan, na sio kwa ajili ya Tanzania, tena akasema order ya Kazakhstani ni ndege 10, biashara ya kuuziwa Tanzania, imefanywa kupitia kwa madalali, na kilichokuwa kikifanyika, ilikuwa ni kuzipaka rangi tuu kwa kuchubua rangi ya Kazakhstan na kuzipaka rangi ya Tanzania ili zionekane ni mpya!.

Rais kama mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, kauli yoyote ya rais, ndio kauli ya ukweli na ndio kauli ya mwisho, hivyo kama rais ameishasema kuwa ndege ni mpya, na zimenunuliwa kwa cash direct kutoka kiwandani, haiwezekani tena akaibuka Mtanzania mwingine yoyote wa kumbishia rais nchi, tena kwa kusema wazi, tena live kwenye TV, kuwa ndege zile ni mtumba na kwenye biashara hiyo kulikuwa na madalali!, huku ni kumuaibisha rais wetu, kutaka kuonyesha rais wetu amesema uongo, na yeye Zitto ndio anayesema ukweli, hivyo nashauri kwa hiki alichokisema Mhe. Zitto, akamatwe kwa haraka na kushitakiwa kwa uchochezi, wa kutoa mane ya kashfa, yatakayopelekea kumkashifu rais wetu kuonekana ni muongo!, na kufuatia jinsi mbunge huyu kijana, Zitto, alivyo na ushawishi mkubwa kwa kada ya vijana, vijana wa Tanzania, wanaweza kumuamini Zaidi Zitto badala ya rais wao na hivyo kumuona rais wao kama vile ni muongo, kitu ambacho sii kweli, wakati ukweli halisi, ni Zitto ndio atakuwa muongo na siku zote rais ndie mkweli daima.

Akisisitiza kuhusu ndege hizo, Mhe. Zitto pia amepingana na kauli ya rais kuwa gharama za ndege hizo ni siri za kibiashara kati ya shirika hilo la ndege na serikali ya Tanzania, Zitto anadai kuwa kwenye manunuzi ya umma, public procurement, hakuna siri yoyote ya biashara katika ununuzi wa manunuzi ya umma yanayotumia rasilimali za taifa, na kudai Watanzania wana haki ya kujua matumizi yote ya kila senti ya fedha za umma kwa ukweli na uwazi!. Huu pia ni uchochezi!, kama rais wa nchi amesema bei ya ndege ni siri ya kibiashara, halafu anaibuka mtu na kutofautiana na rais kuwa kwenye matumizi ya fedha za umma, yatatakiwa kufanyika kwa ushindani wa wazi, na hata kwenye restricted tendering, bado hakuna siri yoyote. Watanzania wana haki ya kujua matumizi ya fedha zote za umma, maana ni fedha zao na ni kodi zao, na hata kama serikali itakopa, wanaozilipa ni Watanzania!. Huku pia ni kutaka kumdhalilisha rais!, hivyo Zitto akamatwe ashitakiwe kwa uchochezi.

Rais kasema tumenunua ndege mpya moja kwa moja kutoka kiwandani na hakuna dalali, Zitto anasema tumenunua ndege mtumba za Kazakhstan toka kiwandani ambazo
hizo hizo fedha tulizolipa, tumepitia kwa dalali na hazikulipwa direct kiwandani, bali zimelipwa kupitia kwa dalali na zimekwenda sio kiwandani, bali kwa mwenye ndege Kazakhstan!.

Hata hivyo, huyu Zitto anaakili sana, ili kuepuka kushitakiwa kwa uchochezi, amesema japo ni kweli ndege hizo tayari zilikuwa ni mali ya shirika la ndege la Kazakstan na ziliishapakwa rangi ya Kazakstan, hivyo zimebadilishwa tuu rangi kupakwa rangi za Tanzania na vile zilikuwa bado hazijakabidhiwa Kazakhstan, then kwa Tanzania ni mpya . Hivyo ameitaka serikali iseme kweli, pesa zimelipwa kwa dalali gani na amelipwa nani kati ya kiwandani na mwenye ndege zake! . "Seek the truth and the truth will set you free" emphasis mine!.

Ukiondoa hoja ya upya au uutumba wa ndege hiyo, Mhe. Zitto ameupongeza uamuzi wa Serikali kufufua ATC na amempongeza rais Magufuli kwa uamuzi wa kununua ndege hizo na kueleza zitaleta unafuu mkubwa sana kwa usafiri wa anga japo ameshangaa kwa nini tununue kwa cash wakati option ya hire purchase ilikuwepo?!.

My Opinion, inawezekana ni kweli ndege zilikuwa za Kazakhstan ila wamezinunua mpya kutoka kiwandani kwa malipo ya hire purchase, ila kwa vile Tanzania imelipa cash, ikaamuliwa ndege mbili za Kazakhstan zibadilishwe rangi tupewe Tanzania wenye cash cash in hand hivyo tumewapiga tanchi wa Kazakhstan kwa ujanja kuwahi.

Zitto akasisitiza kuwa yeye ni mkweli daima Magufuli na serikali ya CCM wakifanya mambo mazuri anawaunga mkono na kuwapongeza hadharani ila wakifanya mambo ya hovyo hovyo kama kuzuia mikutano ya hadhara ya kisiasa, anawapinga bila kuogopa.

My Take.
Wanabodi, hoja sio nani ni mkweli na nani ni muongo kati ya Mhe. Zitto na rais Magufuli, but automatically rais Magufuli ndio mkweli na Zitto atakuwa ndie muongo, anastahili akamatwe, ashitakiwe kwa uchochezi!.

NB. Ukiona mtu amesema hadharani kuwa rais Magufuli amedanganya, na mtu huyo hajachukuliwa hatua zozote, lakini kwa vile rais hawezi kudanganya, then wenye akili mtajua mkweli ni nani!.
Paskali
 
Wanabodi,

Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu Ndege Mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli akizizindua, rais alisema ndeg
e hizo ni mpya kabisa na zimenunuliwa kwa direct sale kutoka kiwandani, bila kupitia kwa madalali, Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, ametangazia umma kupitia Clouds 360 kuwa ndege hizo sii ni ndege za mtumba, zilitengenezwa kwa ajili ya shirika la ndege la Kazakhstan, na sio kwa ajili ya Tanzania, tena akasema order ya Kazakhstani ni ndege 10, biashara ya kuuziwa Tanzania, imefanywa kupitia kwa madalali, na kilichokuwa kikifanyika, ilikuwa ni kuzipaka rangi tuu kwa kuchubua rangi ya Kazakhstan na kuzipaka rangi ya Tanzania ili zionekane ni mpya!.

Rais kama mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, kauli yoyote ya rais, ndio kauli ya ukweli na ndio kauli ya mwisho, hivyo kama rais ameishasema kuwa ndege ni mpya, na zimenunuliwa kwa cash direct kutoka kiwandani, haiwezekani tena akaibuka Mtanzania mwingine yoyote wa kumbishia rais nchi, tena kwa kusema wazi, tena live kwenye TV, kuwa ndege zile ni mtumba na kwenye biashara hiyo kulikuwa na madalali!, huku ni kumuaibisha rais wetu, kutaka kuonyesha rais wetu amesema uongo, na yeye Zitto ndio anayesema ukweli, hivyo nashauri kwa hiki alichokisema Mhe. Zitto, akamatwe kwa haraka na kushitakiwa kwa uchochezi, wa kutoa mane ya kashfa, yatakayopelekea kumkashifu rais wetu kuonekana ni muongo!, na kufuatia jinsi mbunge huyu kijana, Zitto, alivyo na ushawishi mkubwa kwa kada ya vijana, vijana wa Tanzania, wanaweza kumuamini Zaidi Zitto badala ya rais wao na hivyo kumuona rais wao kama vile ni muongo, kitu ambacho sii kweli, wakati ukweli halisi, ni Zitto ndio atakuwa muongo na siku zote rais ndie mkweli daima.

Akisisitiza kuhusu ndege hizo, Mhe. Zitto pia amepingana na kauli ya rais kuwa gharama za ndege hizo ni siri za kibiashara kati ya shirika hilo la ndege na serikali ya Tanzania, Zitto anadai kuwa kwenye manunuzi ya umma, public procurement, hakuna siri yoyote ya biashara katika ununuzi wa manunuzi ya umma yanayotumia rasilimali za taifa, na kudai Watanzania wana haki ya kujua matumizi yote ya kila senti ya fedha za umma kwa ukweli na uwazi!. Huu pia ni uchochezi!, kama rais wa nchi amesema bei ya ndege ni siri ya kibiashara, halafu anaibuka mtu na kutofautiana na rais kuwa kwenye matumizi ya fedha za umma, yatatakiwa kufanyika kwa ushindani wa wazi, na hata kwenye restricted tendering, bado hakuna siri yoyote. Watanzania wana haki ya kujua matumizi ya fedha zote za umma, maana ni fedha zao na ni kodi zao, na hata kama serikali itakopa, wanaozilipa ni Watanzania!. Huku pia ni kutaka kumdhalilisha rais!, hivyo Zitto akamatwe ashitakiwe kwa uchochezi.

Rais kasema tumenunua ndege mpya moja kwa moja kutoka kiwandani na hakuna dalali, Zitto anasema tumenunua ndege mtumba za Kazakhstan toka kiwandani ambazo
hizo hizo fedha tulizolipa, tumepitia kwa dalali na hazikulipwa direct kiwandani, bali zimelipwa kupitia kwa dalali na zimekwenda sio kiwandani, bali kwa mwenye ndege Kazakhstan!.

Hata hivyo, huyu Zitto anaakili sana, ili kuepuka kushitakiwa kwa uchochezi, amesema japo ni kweli ndege hizo tayari zilikuwa ni mali ya shirika la ndege la Kazakstan na ziliishapakwa rangi ya Kazakstan, hivyo zimebadilishwa tuu rangi kupakwa rangi za Tanzania na vile zilikuwa bado hazijakabidhiwa Kazakhstan, then kwa Tanzania ni mpya . Hivyo ameitaka serikali iseme kweli, pesa zimelipwa kwa dalali gani na amelipwa nani kati ya kiwandani na mwenye ndege zake! . "Seek the truth and the truth will set you free" emphasis mine!.

Ukiondoa hoja ya upya au uutumba wa ndege hiyo, Mhe. Zitto ameupongeza uamuzi wa Serikali kufufua ATC na amempongeza rais Magufuli kwa uamuzi wa kununua ndege hizo na kueleza zitaleta unafuu mkubwa sana kwa usafiri wa anga japo ameshangaa kwa nini tununue kwa cash wakati option ya hire purchase ilikuwepo?!.

My Opinion, inawezekana ni kweli ndege zilikuwa za Kazakhstan ila wamezinunua mpya kutoka kiwandani kwa malipo ya hire purchase, ila kwa vile Tanzania imelipa cash, ikaamuliwa ndege mbili za Kazakhstan zibadilishwe rangi tupewe Tanzania wenye cash cash in hand hivyo tumewapiga tanchi wa Kazakhstan kwa ujanja kuwahi.

Zitto akasisitiza kuwa yeye ni mkweli daima Magufuli na serikali ya CCM wakifanya mambo mazuri anawaunga mkono na kuwapongeza hadharani ila wakifanya mambo ya hovyo hovyo kama kuzuia mikutano ya hadhara ya kisiasa, anawapinga bila kuogopa.

My Take.
Wanabodi, hoja sio nani ni mkweli na nani ni muongo kati ya Mhe. Zitto na rais Magufuli, but automatically rais Magufuli ndio mkweli na Zitto atakuwa ndie muongo, anastahili akamatwe, ashitakiwe kwa uchochezi!.

NB. Ukiona mtu amesema hadharani kuwa rais Magufuli amedanganya, na mtu huyo hajachukuliwa hatua zozote, lakini kwa vile rais hawezi kudanganya, then wenye akili mtajua mkweli ni nani!.
Paskali

We ni mchochezi na mzandiki, unachifafanua ni nini na unahukum vp kwani kwenye taarifa anazotoa Zitto kuna sehemu amekutaja? Mbona mnapenda kujipendekeza?
 
Wajemini, huu ni uchochezi mwingine wa Mhe. Zitto, alipotoa uchochezi wa kwenye bandiko hili, alisamehewa, lakini kwa uchochezi huu, kamwe hawezi kusamehewa!.

This time tutashuhudia Zitto akikamatwa na kushitakiwa kwa uchochezi, hata ile taarifa kuwa tumekopa dola milioni 500 Uswisi na tutalipa dola milioni 900 baada ya miaka mitano itakuwa ni uongo!.
Hii taarifa kuwa Deni la Taifa limeongezeka Kwa TZS 6.5trn katika miaka yake miwili ya urais, huu pia utakuwa ni uongo!.
Hii taarifa kuwa Deni la Nje limeongezeka Kwa US$1.5bn ( TZS 4.5trn) kati ya July 2016-July 2017 pia itakuwa ni uongo!. Hii taarifa kuwa Deni la ndani limeongezeka Kwa TZS 2trn katika kipindi hicho, pia itakuwa ni uongo!.
Mtu hawezi kusema uongo mkubwa kama huu tena waziwazi mchwana kweupe akaachwa tuu hivi hivi!.
Lets wait and see!.

Paskali
Nimekuelewa japo umekuwa muoga Sana siku hizi. Kutokana na hii post it means zitto n mkweli sema tu wewe now n mnafki nyoosha maneno Kama hivi
"" kutokana na hii post uliosema zitto akamatwe kwa uchochezi kwasababu ya uongo na hakukamatwa basi na hayo uliyoyasema hapo juu n ukweli mtupu na asikamatwe.
Go go zitto mwizi lazima apige kelele mwenyewe
 
Katika watu ninaowaheshimu humu JF Pascal Mayalla ni kiboko yao, jamaa anajuwa nini anaandika na I believe he has enough data to back him up kwa yale anayosema. I believe in Pascal na ni kweli Zitto ni mwongo, the guy anakuwa kama hajitambui, yeye kila kukicha anakuja na hoja za kipuuzi when he has no data ila anahisi tu vitu.
 
Wanabodi,

Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu Ndege Mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli akizizindua, rais alisema ndege hizo ni mpya kabisa na zimenunuliwa kwa direct sale kutoka kiwandani, bila kupitia kwa madalali, Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, ametangazia umma kupitia Clouds 360 kuwa ndege hizo sii ni ndege za mtumba, zilitengenezwa kwa ajili ya shirika la ndege la Kazakhstan, na sio kwa ajili ya Tanzania, tena akasema order ya Kazakhstani ni ndege 10, biashara ya kuuziwa Tanzania, imefanywa kupitia kwa madalali, na kilichokuwa kikifanyika, ilikuwa ni kuzipaka rangi tuu kwa kuchubua rangi ya Kazakhstan na kuzipaka rangi ya Tanzania ili zionekane ni mpya!.

Rais kama mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, kauli yoyote ya rais, ndio kauli ya ukweli na ndio kauli ya mwisho, hivyo kama rais ameishasema kuwa ndege ni mpya, na zimenunuliwa kwa cash direct kutoka kiwandani, haiwezekani tena akaibuka Mtanzania mwingine yoyote wa kumbishia rais nchi, tena kwa kusema wazi, tena live kwenye TV, kuwa ndege zile ni mtumba na kwenye biashara hiyo kulikuwa na madalali!, huku ni kumuaibisha rais wetu, kutaka kuonyesha rais wetu amesema uongo, na yeye Zitto ndio anayesema ukweli, hivyo nashauri kwa hiki alichokisema Mhe. Zitto, akamatwe kwa haraka na kushitakiwa kwa uchochezi, wa kutoa mane ya kashfa, yatakayopelekea kumkashifu rais wetu kuonekana ni muongo!, na kufuatia jinsi mbunge huyu kijana, Zitto, alivyo na ushawishi mkubwa kwa kada ya vijana, vijana wa Tanzania, wanaweza kumuamini Zaidi Zitto badala ya rais wao na hivyo kumuona rais wao kama vile ni muongo, kitu ambacho sii kweli, wakati ukweli halisi, ni Zitto ndio atakuwa muongo na siku zote rais ndie mkweli daima.

Akisisitiza kuhusu ndege hizo, Mhe. Zitto pia amepingana na kauli ya rais kuwa gharama za ndege hizo ni siri za kibiashara kati ya shirika hilo la ndege na serikali ya Tanzania, Zitto anadai kuwa kwenye manunuzi ya umma, public procurement, hakuna siri yoyote ya biashara katika ununuzi wa manunuzi ya umma yanayotumia rasilimali za taifa, na kudai Watanzania wana haki ya kujua matumizi yote ya kila senti ya fedha za umma kwa ukweli na uwazi!. Huu pia ni uchochezi!, kama rais wa nchi amesema bei ya ndege ni siri ya kibiashara, halafu anaibuka mtu na kutofautiana na rais kuwa kwenye matumizi ya fedha za umma, yatatakiwa kufanyika kwa ushindani wa wazi, na hata kwenye restricted tendering, bado hakuna siri yoyote. Watanzania wana haki ya kujua matumizi ya fedha zote za umma, maana ni fedha zao na ni kodi zao, na hata kama serikali itakopa, wanaozilipa ni Watanzania!. Huku pia ni kutaka kumdhalilisha rais!, hivyo Zitto akamatwe ashitakiwe kwa uchochezi.

Rais kasema tumenunua ndege mpya moja kwa moja kutoka kiwandani na hakuna dalali, Zitto anasema tumenunua ndege mtumba za Kazakhstan toka kiwandani ambazo
hizo hizo fedha tulizolipa, tumepitia kwa dalali na hazikulipwa direct kiwandani, bali zimelipwa kupitia kwa dalali na zimekwenda sio kiwandani, bali kwa mwenye ndege Kazakhstan!.

Hata hivyo, huyu Zitto anaakili sana, ili kuepuka kushitakiwa kwa uchochezi, amesema japo ni kweli ndege hizo tayari zilikuwa ni mali ya shirika la ndege la Kazakstan na ziliishapakwa rangi ya Kazakstan, hivyo zimebadilishwa tuu rangi kupakwa rangi za Tanzania na vile zilikuwa bado hazijakabidhiwa Kazakhstan, then kwa Tanzania ni mpya . Hivyo ameitaka serikali iseme kweli, pesa zimelipwa kwa dalali gani na amelipwa nani kati ya kiwandani na mwenye ndege zake! . "Seek the truth and the truth will set you free" emphasis mine!.

Ukiondoa hoja ya upya au uutumba wa ndege hiyo, Mhe. Zitto ameupongeza uamuzi wa Serikali kufufua ATC na amempongeza rais Magufuli kwa uamuzi wa kununua ndege hizo na kueleza zitaleta unafuu mkubwa sana kwa usafiri wa anga japo ameshangaa kwa nini tununue kwa cash wakati option ya hire purchase ilikuwepo?!.

My Opinion, inawezekana ni kweli ndege zilikuwa za Kazakhstan ila wamezinunua mpya kutoka kiwandani kwa malipo ya hire purchase, ila kwa vile Tanzania imelipa cash, ikaamuliwa ndege mbili za Kazakhstan zibadilishwe rangi tupewe Tanzania wenye cash cash in hand hivyo tumewapiga tanchi wa Kazakhstan kwa ujanja kuwahi.

Zitto akasisitiza kuwa yeye ni mkweli daima Magufuli na serikali ya CCM wakifanya mambo mazuri anawaunga mkono na kuwapongeza hadharani ila wakifanya mambo ya hovyo hovyo kama kuzuia mikutano ya hadhara ya kisiasa, anawapinga bila kuogopa.

My Take.
Wanabodi, hoja sio nani ni mkweli na nani ni muongo kati ya Mhe. Zitto na rais Magufuli, but automatically rais Magufuli ndio mkweli na Zitto atakuwa ndie muongo, anastahili akamatwe, ashitakiwe kwa uchochezi!.

NB. Ukiona mtu amesema hadharani kuwa rais Magufuli amedanganya, na mtu huyo hajachukuliwa hatua zozote, lakini kwa vile rais hawezi kudanganya, then wenye akili mtajua mkweli ni nani!.
Paskali
 
PASCHAL MAYALLA JE UWEZO WAKO WA KUFIKIRI UMEFIKIA HAPO?? WATANZANIA TUPO WAPOLE MNO NDIYO MAANA HUYO MAGUFULI NA MAKONDA WANAUA WATU OVYO NA WATU WANAPOTEA OVYO OVYO. RAIS HUYU NI MUONGO ASIYE NA ADABU WALA HESHIMA ANGEKUWA ANAKUNYWA POMBE KAMA JINA LAKE LILIVYO NINGESEMA SHIDA IPO HAPO ILA KWA VILE WANASEMA HANYWI BASI ANAYO SHIDA NYINGINE. HIYO PROFIT SHARING NA BENEFIT SHARING NI VITU TOFAUTI SANA AMESEMA UONGO.....HAYO MABWENI HAYAJAJENGWA KWA BEI ALIYOSEMA RAIS( KAMA YAMEJENGWA KWA BEI ALIYOSEMA RAIS NITAKUWA NA HITIMISHO LINGINE) KWANINI WATANZANIA WANAUAWA, KUTEKWA, KUKAMATWA OVYO OVYO NA KUPIGWA BILA SABABU, TUNAYO HAKI YA KUTOA MAONI YETU HATA KAMA SI KWELI MAPATO HAYAJASHUKA.....TUTAJUAJE WAKATI SERIKALI YA HUYO MAGUFULI NA MAKONDA WAKO WANAFICHA KILA KITU? UNASIKITISHA WEWE MAYALLA INAONEKANA UNAWATETEA WASUKUMA WENZIO.....UWE MKWELI.
 
Mmm kaka! Huwa nafuatilia sana maandishi yako ingawa huwa sicomment. Sasa sikuelewi unaposema Rais hawezi kusema uongo! Ni juzi tu ametuambia aliikuta sukari inauzwa Tzs 5000/= !!! Hivi kweli Paschal ni wakati gani sukari ilifika bei hiyo? Nawe unasema Rais hawezi kusema uongo!! Yeye ndo anajaribu kutuaminisha ati makubaliano na barrick ni kugawana 50/50/ faida wakati wao wenyewe wanasisitiza sio faida! Ni economic benefits!
Juzi hapa akiwa Znz alisema katika utawala wake wa miaka miwili serikali yake imejenga viwanda 3306! Kweli inaingia akilini kaka yangu Paschal??? Au ni mimi ndo sielewi dhana ya ujenzi wa viwanda! Maanake ukikokotoa hiyo unapata wastani wa viwanda 4 kwa siku!!!!! Ni kwa uchumi gani tulio nao kujenga idadi hiyo ya viwanda kwa siku!!!!? Naomba nisaidiwe ni viwanda gani hivyo???? Sasa Paschal unasemaje Rais hawezi kusema uongo!
Akiwa mgombea urais alinukuliwa akidai Saddam Hussein alikuwa Rais wa Kuwait, labda aliteleza ulimi lakini hakunukuliwa tena akisahihisha makosa hayo! Sasa amesema uongo au jeuri ya kutokubali makosa yake na kushauriwa.
Mimi siamini ati Rais hasemi uongo!!! Mpaka sasa ameshasema uongo mwingi tu, hiyo ni mifano michache.
Unaniangusha mtu mzima!!!
ukiwa na akili nyepesi kamwe hutomwelewa pasko
 
PASCHAL MAYALLA JE UWEZO WAKO WA KUFIKIRI UMEFIKIA HAPO?? WATANZANIA TUPO WAPOLE MNO NDIYO MAANA HUYO MAGUFULI NA MAKONDA WANAUA WATU OVYO NA WATU WANAPOTEA OVYO OVYO. RAIS HUYU NI MUONGO ASIYE NA ADABU WALA HESHIMA ANGEKUWA ANAKUNYWA POMBE KAMA JINA LAKE LILIVYO NINGESEMA SHIDA IPO HAPO ILA KWA VILE WANASEMA HANYWI BASI ANAYO SHIDA NYINGINE. HIYO PROFIT SHARING NA BENEFIT SHARING NI VITU TOFAUTI SANA AMESEMA UONGO.....HAYO MABWENI HAYAJAJENGWA KWA BEI ALIYOSEMA RAIS( KAMA YAMEJENGWA KWA BEI ALIYOSEMA RAIS NITAKUWA NA HITIMISHO LINGINE) KWANINI WATANZANIA WANAUAWA, KUTEKWA, KUKAMATWA OVYO OVYO NA KUPIGWA BILA SABABU, TUNAYO HAKI YA KUTOA MAONI YETU HATA KAMA SI KWELI MAPATO HAYAJASHUKA.....TUTAJUAJE WAKATI SERIKALI YA HUYO MAGUFULI NA MAKONDA WAKO WANAFICHA KILA KITU? UNASIKITISHA WEWE MAYALLA INAONEKANA UNAWATETEA WASUKUMA WENZIO.....UWE MKWELI.
 
Wanabodi,

Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu Ndege Mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli akizizindua, rais alisema ndege hizo ni mpya kabisa na zimenunuliwa kwa direct sale kutoka kiwandani, bila kupitia kwa madalali, Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, ametangazia umma kupitia Clouds 360 kuwa ndege hizo sii ni ndege za mtumba, zilitengenezwa kwa ajili ya shirika la ndege la Kazakhstan, na sio kwa ajili ya Tanzania, tena akasema order ya Kazakhstani ni ndege 10, biashara ya kuuziwa Tanzania, imefanywa kupitia kwa madalali, na kilichokuwa kikifanyika, ilikuwa ni kuzipaka rangi tuu kwa kuchubua rangi ya Kazakhstan na kuzipaka rangi ya Tanzania ili zionekane ni mpya!.

Rais kama mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, kauli yoyote ya rais, ndio kauli ya ukweli na ndio kauli ya mwisho, hivyo kama rais ameishasema kuwa ndege ni mpya, na zimenunuliwa kwa cash direct kutoka kiwandani, haiwezekani tena akaibuka Mtanzania mwingine yoyote wa kumbishia rais nchi, tena kwa kusema wazi, tena live kwenye TV, kuwa ndege zile ni mtumba na kwenye biashara hiyo kulikuwa na madalali!, huku ni kumuaibisha rais wetu, kutaka kuonyesha rais wetu amesema uongo, na yeye Zitto ndio anayesema ukweli, hivyo nashauri kwa hiki alichokisema Mhe. Zitto, akamatwe kwa haraka na kushitakiwa kwa uchochezi, wa kutoa mane ya kashfa, yatakayopelekea kumkashifu rais wetu kuonekana ni muongo!, na kufuatia jinsi mbunge huyu kijana, Zitto, alivyo na ushawishi mkubwa kwa kada ya vijana, vijana wa Tanzania, wanaweza kumuamini Zaidi Zitto badala ya rais wao na hivyo kumuona rais wao kama vile ni muongo, kitu ambacho sii kweli, wakati ukweli halisi, ni Zitto ndio atakuwa muongo na siku zote rais ndie mkweli daima.

Akisisitiza kuhusu ndege hizo, Mhe. Zitto pia amepingana na kauli ya rais kuwa gharama za ndege hizo ni siri za kibiashara kati ya shirika hilo la ndege na serikali ya Tanzania, Zitto anadai kuwa kwenye manunuzi ya umma, public procurement, hakuna siri yoyote ya biashara katika ununuzi wa manunuzi ya umma yanayotumia rasilimali za taifa, na kudai Watanzania wana haki ya kujua matumizi yote ya kila senti ya fedha za umma kwa ukweli na uwazi!. Huu pia ni uchochezi!, kama rais wa nchi amesema bei ya ndege ni siri ya kibiashara, halafu anaibuka mtu na kutofautiana na rais kuwa kwenye matumizi ya fedha za umma, yatatakiwa kufanyika kwa ushindani wa wazi, na hata kwenye restricted tendering, bado hakuna siri yoyote. Watanzania wana haki ya kujua matumizi ya fedha zote za umma, maana ni fedha zao na ni kodi zao, na hata kama serikali itakopa, wanaozilipa ni Watanzania!. Huku pia ni kutaka kumdhalilisha rais!, hivyo Zitto akamatwe ashitakiwe kwa uchochezi.

Rais kasema tumenunua ndege mpya moja kwa moja kutoka kiwandani na hakuna dalali, Zitto anasema tumenunua ndege mtumba za Kazakhstan toka kiwandani ambazo
hizo hizo fedha tulizolipa, tumepitia kwa dalali na hazikulipwa direct kiwandani, bali zimelipwa kupitia kwa dalali na zimekwenda sio kiwandani, bali kwa mwenye ndege Kazakhstan!.

Hata hivyo, huyu Zitto anaakili sana, ili kuepuka kushitakiwa kwa uchochezi, amesema japo ni kweli ndege hizo tayari zilikuwa ni mali ya shirika la ndege la Kazakstan na ziliishapakwa rangi ya Kazakstan, hivyo zimebadilishwa tuu rangi kupakwa rangi za Tanzania na vile zilikuwa bado hazijakabidhiwa Kazakhstan, then kwa Tanzania ni mpya . Hivyo ameitaka serikali iseme kweli, pesa zimelipwa kwa dalali gani na amelipwa nani kati ya kiwandani na mwenye ndege zake! . "Seek the truth and the truth will set you free" emphasis mine!.

Ukiondoa hoja ya upya au uutumba wa ndege hiyo, Mhe. Zitto ameupongeza uamuzi wa Serikali kufufua ATC na amempongeza rais Magufuli kwa uamuzi wa kununua ndege hizo na kueleza zitaleta unafuu mkubwa sana kwa usafiri wa anga japo ameshangaa kwa nini tununue kwa cash wakati option ya hire purchase ilikuwepo?!.

My Opinion, inawezekana ni kweli ndege zilikuwa za Kazakhstan ila wamezinunua mpya kutoka kiwandani kwa malipo ya hire purchase, ila kwa vile Tanzania imelipa cash, ikaamuliwa ndege mbili za Kazakhstan zibadilishwe rangi tupewe Tanzania wenye cash cash in hand hivyo tumewapiga tanchi wa Kazakhstan kwa ujanja kuwahi.

Zitto akasisitiza kuwa yeye ni mkweli daima Magufuli na serikali ya CCM wakifanya mambo mazuri anawaunga mkono na kuwapongeza hadharani ila wakifanya mambo ya hovyo hovyo kama kuzuia mikutano ya hadhara ya kisiasa, anawapinga bila kuogopa.

My Take.
Wanabodi, hoja sio nani ni mkweli na nani ni muongo kati ya Mhe. Zitto na rais Magufuli, but automatically rais Magufuli ndio mkweli na Zitto atakuwa ndie muongo, anastahili akamatwe, ashitakiwe kwa uchochezi!.

NB. Ukiona mtu amesema hadharani kuwa rais Magufuli amedanganya, na mtu huyo hajachukuliwa hatua zozote, lakini kwa vile rais hawezi kudanganya, then wenye akili mtajua mkweli ni nani!.
Paskali

Bandiko zuri, ila nasikitika huko tuendako mabandiko aina hii hayatakuwepo tena.
 
Muongo ni muongo tu...uongo hauna itifaki!
 
Ni kosa kisheria kuchangia katika mada yenye uchochezi. Hivyo, na mimi nagoma kuchangia katika huu uchochezi wa Pasco.
 
Paskali, I read between the lines na sikuona sababu ya ku'comment'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom