Umemaliza O-level ama umekimbilia Bavicha tu wewe?
Margaret thinker ndio nan?
Mkuu, Zitto anamuuguza mama yake! Mama ni mgonjwa na amelazwa hospitali. Anahitaji sala zetu kama binadamu wengine! Zitto pia anahitaji support yetu katika kipindi hiki
Amakweli CDM ilikuwa inawapa umaarufu watu wengi sana..
Ule mvuto wa ZZK umepukutika kabisa....Huwa nikimuona naona kama anataka kunitupia uchawi..
mbona tulikuwa naye katika mkutano wa nssf hapa aicc last week? kwani mamake kaanza ugua lini?
Mamake alikuwa India kwa matibabu. Na alirudi na akawa anaendelea na matibabu nyumbani. Siku tatu zilizopita alizidiwa na kukimbizwa hospitali ambako anaendelea na matibabu. Hali yake c nzuri kwa sasa. Kuhusu kuhudhuria mkutano ni kweli ila kabla mamake hajazidiwa
Zitto ameyafanya mengi na sauti yake imesikika sana juu ya wanyonge zaidi ya wakina Mbowe na Slaa wapiga kelele kwenye majukwaa,Hachana na Zitto anauwezo.
Mbona kufuatana-fuatana hivyo, anamuuza bi mkubwa!!
kuna taarifa zilivujaaa toka idara ya ujasusi na usalama wa chadema.....kuwa kuna mkakati wa kumzuia zitto kabwe...kuongea maana ana siri nzitoo na walaka mzitoo juu ya
1.chadema....na hoja za ukanda....
2.chadema na udini.....
3.chadema...na hoja ya viti maalum
4.dk.slaa akihusishwa na wizii wa kujikopesha pesa za chama,,,
5.freeman mbowe na ndesamburo....kutengeneza mtandao wa kuwekaa wachaga idara za juu ndani ya chama.... kwa kushika nyadhifa za juu ndani ya chama....
6.chadema na mkakati wa mangi maleare juu ya kutaka mkoa wa kilimanjaro ...kuitwa nchii
Jamani watu wa jf mimi ni mgeni naomba nipokelewe
Machadema staki nataka, zitto ni baba yenu mtamtaka tu
we pimbi, unaangalia neno moja au unasoma sentensi nzima ina maana ipi?i hope you are not serious! anamuuza wapi tena?
hata hapa JF yupo kwa lugha nyingine,Mkuu mbona tupo nae huku ofisini kwetu Twitter na Facebook? JF kaona ni mziki mnene kakimbia
Tuliwaambia hamuwezi kuishi bila zitto ona sasa kucha mnamuota zitto wakati yeye hanashida na nyie na bado mtapata shida sana juu ya zitto.