ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,279
- 5,989
Kwa uzoefu wako wangebaki wangebadili kitu gani? wangezuia bajeti isipitishwe?
Kafulila asingesema madudu ya ufisadi tungeyajua yote hayo?
Kususia sio vizuri. Bakini ndani mpambane mpaka mwisho.
Kwa uzoefu wako wangebaki wangebadili kitu gani? wangezuia bajeti isipitishwe?
Wayasema hayo Madudu ya Escrow tunajua kupita itapita tu lakini kusema kwa ingesaidia kuliko kutoka na kwenda kwenye vyombo vya habari kama wanavyofanya sasa hapa kwenye Ukumbi wa kiongozi wa kambi ya Upinzani ambapo kwenye taarifa za habari kwenye Tv zetu ni dakika 3 mpaka 5 wakati Wwngekuwepo ndani ya Bunge walikuwa na Dakika 7 za kuchangia na nyingine wakati Bunge likikaa kama kamati wanashikilia shilingi wanapata kuchangia kwa wingi kwa upana wake.
Hili swala naona hata Dr Hamisi kingwngara amelizungumzia Kambi rasmi Bungeni kwa Maoni yangu wasinge toka Nje ili waibane serikari vizuri.
Kaka utaumwa bure huna hata theruthi ya sifa na mchango katika taifa hili kama zitto aliyokuwa nao.
Wachangie nini si bibi kiroboto atawaambia serikali bado inachunguza umeshasahau ile bajeti ya juzi ya nyumba na makazi alivyoipeleka
Hili swala naona hata Dr Hamisi kingwngara amelizungumzia Kambi rasmi Bungeni kwa Maoni yangu wasinge toka Nje ili waibane serikari vizuri.
Naomba nikupe darsa, wewe na wengineo hasa akina Pasco wapinzani wa wabunge kutoka nje.
Ni hivi, kutokana na uhuni unaofanywa na CCM kila uchaguzi unapofika, hujikuta wana wabunge wengi bungeni kuliko chama chochote.
CCM kwa uhuni wao hujikuta wana hodhi two-third ya kura za wabunge wote at any time, t. Sasa Chadema na wapambanaji wengine watabweka weeeeee lakini hawatabadili chochote. Mi CCM ikikaa kwenye party caucus watawekana sawa na mwisho utasikia "waliosema ndio wameshinda" meza zitapigwa, biashara imeisha.
Sasa Chadema na wapambanaji wengine kwa kukataa kuwa sehemu ya kupitisha huo uchafu, hutoka nje ili kama wataamua kupitisha wapitishe on their own merits. Chadema wanakuwa wamenawa mikono kwa kila Consequense itakayojitokeza as a result of kupitisha huo ujinga.
Na mimi naunga mkono, ni sahihi wanavyofanya.
Asante.
Hivi kwa Bunge hili na uspika wa Anna Makinda hii kambi ya upinzani ingeibana vipi Serikali?
Ndiyo nini hiki hoja iko wapi hapa.
Wakati akiwa naibu katibu Mkuu CHADEMA ilisemekana ofisi zake zipo facebook na Twitter,sasa siku hizi haonekani bungeni ila matamko na majibu yake anachangia kupitia facebook,ofisi zake za bunge na vikao anavifanyia facebook siku hizi??!! Ugonjwa wa Shida Salum isiwe sababu,vinginevyo auguze kwanza aachane na kuchangia mijadala kwa kuvizia kupitia Facebook!!
Tatizo Zitto hauna mvuto tena....
Tatizo Zitto hauna mvuto tena....
Hili swala naona hata Dr Hamisi kingwngara amelizungumzia Kambi rasmi Bungeni kwa Maoni yangu wasinge toka Nje ili waibane serikari vizuri.
Unaona Muongozo wa Olesendeka Tayari anaibana serikali ndivyo ilivyokuwa inatakiwa Kambi ya Upizani kufanya Hivyo.