mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,306
- 6,514
You are second....Be the first to reply
You are second....Be the first to reply
Police haimtafuti Zitto ilishatoa taarifa.Mhariri na muandishi nguli wa gazeti la jamhuri Ndugu Deodatus Balile (i stand to be corrected)ametoa nasaha zake kuhusiana na habari zinazoendelea zinamhusu Zitto Kabwe.
Akiongea katika kipindi cha "Morning Trumpet Weekend" kilichokuwa kikiangazia habari zilizopata umaarufu kwa wiki hii, Balile alishauri Zitto ajitokeze na ajisalimishe polisi ili ajue wanachomtafutia.
"Zitto kama raia mwema hapaswi kujificha bali ajitokeze ili sheria ichukue mkondo wake" alisema Balile.
Balile aliendelea kwa kusema habari hizi za watu kupotea si sifa nzuri kwa taifa....na ana uhakika kuwa mashtaka yote ya uchochezi serikali imekuwa ikishindwa mahakamani hivyo Zitto hatakiwi kuogopa.
Pia Balile amesema ni wakati muafaka kwa serikali kuondokana na sheria hii ya uchochezi kwani haina mashiko.
DOGO KELELE ZA BURE KUMBE MWOGA KAMA FISI !Hivi kweli Zitto Ruyagwa alikimbia hadi nchi!?
Atasema Zitto yupo lakini hajui alipo.Zitto ni mtu muoga na hafai kuwa kiongozi hata kidogo. Sifa namba moja ya kiongozi ni ujasiri na kukabiliana na lolote Jena au bays.Nasubiri kusikia taarifa toka kwa msemaji wa Chama
Zitto hafai kabisa ni muoga Bali wanaofaa ni wale wanaopanga operation kisha wanaziahirisha kwa kuogopa polisi,kama jinsi walivyoikimbia operation UKUTA.Atasema Zitto yupo lakini hajui alipo.Zitto ni mtu muoga na hafai kuwa kiongozi hata kidogo. Sifa namba moja ya kiongozi ni ujasiri na kukabiliana na lolote Jena au bays.
Anayetumia akili za ziada ataelewa kuwa operation Ukuta ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa bila hata watu kuingia mtaani kwani Polisi na wanajeshi wao ndio waliandamana na bunduki zao, nagari ya deraya, mbwa,farasi hata maonyesho ya kuruka samasoti. Lengo la maandamano ni kupekeka ujumbe,sasa kama kabla ya maandamano Polisi wanajionyesha watakavyo pambana na maandanano tayari ujumbe umefika. Kusitisha sio woga ila ni kuwapenda watu wako wasiumizwe na mafashistiZitto hafai kabisa ni muoga Bali wanaofaa ni wale wanaopanga operation kisha wanaziahirisha kwa kuogopa polisi,kama jinsi walivyoikimbia operation UKUTA.
Lugha!Your second....
Huna hoja.....Mbona Mbowe ananyanyaswa siku hizi na anaufyata? amefanya nin? sio nyie mnaosema Lema atolewe kuwa anaonewa?.......Atasema Zitto yupo lakini hajui alipo.Zitto ni mtu muoga na hafai kuwa kiongozi hata kidogo. Sifa namba moja ya kiongozi ni ujasiri na kukabiliana na lolote Jena au bays.
Ulitaka afanyeje mkuu? Yoga tunao zungumzia ni kitendo cha kukimbia na kujificha kama digidigi. Mwambieni ajitokeze, jemedari kujificha kwenye handaki huku wapiganaji wapo field sio picha nzuriHuna hoja.....Mbona Mbowe ananyanyaswa siku hizi na anaufyata? amefanya nin? sio nyie mnaosema Lema atolewe kuwa anaonewa?.......