Zitto waweza rudi sasa mambo ni shwari

Uchochezi huo. Gari likiwa na matatizo linakamatwa na linaachiwa iwapo matatizo yameisha,sasa polisi wamesema shida ni gari.wameachiwa gari na wao wakampa dereva maana yake hana kesi tena. Iweje leo magari ya watu wengine taa tu ikiwa imepasuka unaacha gari kituoni kama huna 30,000? Semeni ukweli mnachomtafutia au tayari mmeshafanya ..... Halafu mnadai amejificha
 
Mhariri na muandishi nguli wa gazeti la jamhuri Ndugu Deodatus Balile (i stand to be corrected)ametoa nasaha zake kuhusiana na habari zinazoendelea zinamhusu Zitto Kabwe.

Akiongea katika kipindi cha "Morning Trumpet Weekend" kilichokuwa kikiangazia habari zilizopata umaarufu kwa wiki hii, Balile alishauri Zitto ajitokeze na ajisalimishe polisi ili ajue wanachomtafutia.

"Zitto kama raia mwema hapaswi kujificha bali ajitokeze ili sheria ichukue mkondo wake" alisema Balile.

Balile aliendelea kwa kusema habari hizi za watu kupotea si sifa nzuri kwa taifa....na ana uhakika kuwa mashtaka yote ya uchochezi serikali imekuwa ikishindwa mahakamani hivyo Zitto hatakiwi kuogopa.

Pia Balile amesema ni wakati muafaka kwa serikali kuondokana na sheria hii ya uchochezi kwani haina mashiko.
Police haimtafuti Zitto ilishatoa taarifa.
 
Ila kwa kujificha wanawezaa.
Sasa Mimi huwanajiuliza.
Kwanini wao wanajua kujificha nawakati wao ndo wanaojua sheria?? Sasa sir walalahoi wanatutumia kuipinga serikari na wakati wanajua sisi hatujui sheria atakidogoo.
Inamaana huwa wanatulaghai tuu??
 
Atakuwa mkimbizi ndani ya nchi yake? Acheni utani pigeni kazi kuunga mkono jitihada za Mh Rais JPM.
 
Nasubiri kusikia taarifa toka kwa msemaji wa Chama
Atasema Zitto yupo lakini hajui alipo.Zitto ni mtu muoga na hafai kuwa kiongozi hata kidogo. Sifa namba moja ya kiongozi ni ujasiri na kukabiliana na lolote Jena au bays.
 
Atasema Zitto yupo lakini hajui alipo.Zitto ni mtu muoga na hafai kuwa kiongozi hata kidogo. Sifa namba moja ya kiongozi ni ujasiri na kukabiliana na lolote Jena au bays.
Zitto hafai kabisa ni muoga Bali wanaofaa ni wale wanaopanga operation kisha wanaziahirisha kwa kuogopa polisi,kama jinsi walivyoikimbia operation UKUTA.
 
Zitto hafai kabisa ni muoga Bali wanaofaa ni wale wanaopanga operation kisha wanaziahirisha kwa kuogopa polisi,kama jinsi walivyoikimbia operation UKUTA.
Anayetumia akili za ziada ataelewa kuwa operation Ukuta ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa bila hata watu kuingia mtaani kwani Polisi na wanajeshi wao ndio waliandamana na bunduki zao, nagari ya deraya, mbwa,farasi hata maonyesho ya kuruka samasoti. Lengo la maandamano ni kupekeka ujumbe,sasa kama kabla ya maandamano Polisi wanajionyesha watakavyo pambana na maandanano tayari ujumbe umefika. Kusitisha sio woga ila ni kuwapenda watu wako wasiumizwe na mafashisti
 
Atasema Zitto yupo lakini hajui alipo.Zitto ni mtu muoga na hafai kuwa kiongozi hata kidogo. Sifa namba moja ya kiongozi ni ujasiri na kukabiliana na lolote Jena au bays.
Huna hoja.....Mbona Mbowe ananyanyaswa siku hizi na anaufyata? amefanya nin? sio nyie mnaosema Lema atolewe kuwa anaonewa?.......
 
Huna hoja.....Mbona Mbowe ananyanyaswa siku hizi na anaufyata? amefanya nin? sio nyie mnaosema Lema atolewe kuwa anaonewa?.......
Ulitaka afanyeje mkuu? Yoga tunao zungumzia ni kitendo cha kukimbia na kujificha kama digidigi. Mwambieni ajitokeze, jemedari kujificha kwenye handaki huku wapiganaji wapo field sio picha nzuri
 
Back
Top Bottom