Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Kama akili ni nywele basi we mwenzetu ni za kwapani
 

Hapa tulipofikia hawatuwezi tena, tumeweka viongozi imara kwenye majimbo na mikoa, sasa walie tu!
 
Naanza kuona ZZK akijutia nafsi yake kuwa nje ya CDM....pumzi yake inakata....hakutaraji haya yatokee.....ukirudi kwenye imani mtu huyu anahitaji kusamehewa.....ni binadamu.
 
haaa! nadhani bilion 11 zimeaza kupotea, na namhakikishia hakuna atakayemkumbuka ndani ya chadema kwa mema bali tutamkumbuka kwa usaliti wake alioufanya. na kama anataka kuwa CDM ajitokeze hadharani apinge habari iliyoandikwa kwenye gazeti la nipashe mwezi apr 2013. hana ubavu huo lakini ndo ajue kuwa wataz walishamuamini na sasa hawataki hata bkumuona na ndo mwisho wake kwenye siasa za TZ
 
Nguvu za yule binti wa muhimbili ndiyo delila wake. Alimbeleza amwambie siri za nguvu zake mpaka jamaa alikubali. Sasa kanyolewa shungi saba za nywele imebaki wafisti kumtoboa macho. Kijana Mungu akikupa nguvu tumia kwa ajili ya utukufu wake. Utukufu ni wa kuwakomboa watanzania ambao ni wana wa Mungu, waliopelekwa na kutumikishwa Misri katika mfumo mbovu wa utawala. Kelele zako kipindi za enzi ya Buzwagi ilienziwa na wantazania. Sijui nini kimetokea. Ungwana ni kitendo. Hata mwana mpotefu katika maandiko takatifu alipoona hali ilikuwa mbaya alikumbuka kwao. CHADEMA japo sina chama kimewatoa wantanzania kutoka mbali. Unapo kumbuka hayo mafanikio haya yumo Dr. Slaa, Freeman Mboe, Zito Zuberi Kabwe, John Mnyika, Halima Mdee, Mch. Msigwa bila kumsahau Lisu aka C. Ronaldo. Zito siko katika chama chako CDM ila nakusihi for sake of the love of the nation go to where you were nurtured politically. If you will heed my call your dignity before the electorates and wananchi at large will be restored. This nation needs your joint forces for liberation. God is watching your inerest.
 
Mkuu Needeseel umemaliza yoote. Ni yeye kufanya maamuzi tu. Akishindwa hili atawezaje tukimpa nchi?
 
naomba nikwambie kuwa yeye pamoja akishilikiana na MACCM wamewaweka mamluki wengi sana kwenye nafasi hizi za kugombea, ila ninachokwambia hawataweza kwani michezo yao michafu tumeshaijua, nakwambia kuna wanadada kapewa pesa na ameshatumia karibu mil. 1.7 kwa ajili ya mfuta ya gari kupitia baadhi ya wajumbe kwenye baadhin ya mikoa na ana bajeti ya karibu mil 16 kwa ajili ya zoezi hili. unataka kuniambia anataka kufanya nini akifika bavicha pale? na hasa lengo lao ni kutaka kuvuruga uchaguzi
 
Nakushukuru ndugu yangu mbepo yamba. Naomba tufahamu kuwa tulipofika sasa taifa ni aibu tupu. Kila ukienda wananchi wanalalamika. Rai yangu kwa wenye uchungu na taifa hili la Mungu wasimamie haki. Haki huliweka taifa huru. Wazalendo wachache wataliokoa taifa la Mungu Tanzania. Nchi yenye asali na maziwa. Kuna ardhi nzuri yenye rutuba, dhahabu, almasi, mafuta na gesi. Watu wapole na wenye hofu ya Mungu. Tujitahidi kwa upole wetu na busara tulizopewa na mwenyezi Mungu kuunganisha nguvu zetu kuijenga nchi yetu. Tuwafahamu viongozi wazuri bila kijali chama cha siasa anakotoka mtu. Hii itusaidia kama taifa kusonga mbele.
 
Zitto ni jembe mkatae au mkubali,Tatizo watu hawapendi kukubali kuwa Zitto ndio amechangia asilimia kubwa umaarufu wa CHADEMA walionao sasa.Subiri aondoke ndio mtajua nilikuwa namaanisha nini.
 
Mkuu Yericko, mioyo isiyo ya maridhiano ni hiyo ya akina Kagame tunayoendelea kuishuhudia leo hii. Kwa nini usiangalie namna diplomacy invyoongoza na kanuni za mapamano adui anaponyoosha mikono kusalimu amri?
 
Zitto, ni kazi rahisi tu. Mbona Kafulila aliomba msamaha n kasamehewa na sasa anafanya vizuri tu kwenye chama chake? Maliza tofauti mkuu urudi kundini maana umepotea sana na sioni dalili yoyote ya kuinuka kwako

Bado sijaelewa hii comment yako vizuri
 
Kweli kabisa mkuu Ifweero,Chadema wanachuki na Kigoma walianza na Kaburu,Kafulila,Zitto na sasa wanamsulubu Ntagazwa.

Ntagazwa kwa lipi wee po.po.
 

Kwa hili anayepaswa kuulizwa ni muandishi wa Mwananchi aliyeenda nyumbani kwake Upanga kufanya nae mahojiano
 
Hivi vita kati ya mbowe na zitto naamini havina mshindi wa wala droo miongoni mwao (both are loosers), mimi kama mtanzania nisie na kadi ya chama chochote nashauri warudi meza moja wamalize tofauti zao hii itakua kete muhim sana hasa ikitumika miez ya mwisho kuelekea uchaguzi mkuu! Tukumbuke vita vya kunguru ni furaha ya CCM na mawakala wao wasiotaka mabadiliko ya mfumo!
 

Angalizo safi sanaaaa, kwa mtazamo wangu ameshafeli mapema na ata pingamizi ni nani anayelisikiliza na kulitolea majibu...(...), na majibu yakitoka hakuna sehem nyingine zaidi ya kufanyika uchaguzi na mbowe kuwa mwenyekiti wa chama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…