Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Kwanza nianze na Moderetor jamani punguzeni Bifu na sisi SUKUMA Land people na nikisema sukuma Land, tambua ni watu hawa ukiondoa wale wanafiki wakina msukuma, na wenzake hao tutakutana nao kwny uchaguzi 2025.

Sukuma Land ni WA mwanza, Geita, kagera simiyu,Mara na shinyanga na Tabora sisi sote tuna mpenda Raisi wetu ambaye alikufa paspo kumaliza muda wake.

Raisi wetu amekufa mwka mmoja uliopita yeye Ndo amekuwa wimbo wa Taifa au Sala ya Baba yetu kwa wakatoliki kira uchwao ananangwa na viroboto uchwara hapa hasa wale malaya wa siasa Wana mnaganga na Moderetor uko kiimnya SSI hatukubali Haina mmaana na sisi hatupo humu.

Tupo na tumejaa kama pishi la pilau sema tumenyuti tu.

Eleweni tumenyuti tu, swali fikirishi hivi zitto kabwe hakumpenda Mama yake mbona hajawai zikwa karbu na kaburi la mamayke?

Leo anakuja n kauli hizo kwetu eti tukazikwe chato yeye mbona hajazikwa kigoma au wapi aliko zikwa mama yake?

Suala. La wiz wa Mali za umma sio ishu la Raisi tu ni la Watanzania wote tukemeane.
 
Alikuwa hampendi mama yake!
 
Panda toyo uwahi chato ukazikwe na JPM
 
Sio kwamba Hawajui Aliyo yafanya JPM
Sio kwamba Hawajui Utendaji wa JPM
Sio kwamba Hawajui Alivyo Kubarika JPM
shida ni Jina lake na Matendo yake yanawatesa sana
Uwezo wao Haujafikia hata 20% Ya uwezo wa JPM Hivyo Wanajaribu Kufubaza Ajenda Muhimu iliyopo kwa Kuibua Upuuzi dhidi ya Magufuli!
Hatupo nae Duniani Wamuache Apumzike
Watanzania wanashida nyingi Magufuli Hayupo
 
Kwanza nianze na Moderetor jamani punguzeni Bifu na sisi SUKUMA Land people na nikisema sukuma Land, tambua ni watu hawa ukiondoa wale wanafiki wakina msukuma, na wenzake hao tutakutana nao kwny uchaguzi 2025.

Sukuma Land ni WA mwanza, Geita, kagera simiyu,Mara na shinyanga na Tabora sisi sote tuna mpenda Raisi wetu ambaye alikufa paspo kumaliza muda wake.

Raisi wetu amekufa mwka mmoja uliopita yeye Ndo amekuwa wimbo wa Taifa au Sala ya Baba yetu kwa wakatoliki kira uchwao ananangwa na viroboto uchwara hapa hasa wale malaya wa siasa Wana mnaganga na Moderetor uko kiimnya SSI hatukubali Haina mmaana na sisi hatupo humu.

Tupo na tumejaa kama pishi la pilau sema tumenyuti tu.

Eleweni tumenyuti tu, swali fikirishi hivi zitto kabwe hakumpenda Mama yake mbona hajawai zikwa karbu na kaburi la mamayke?

Leo anakuja n kauli hizo kwetu eti tukazikwe chato yeye mbona hajazikwa kigoma au wapi aliko zikwa mama yake?

Suala. La wiz wa Mali za umma sio ishu la Raisi tu ni la Watanzania wote tukemeane.
Kwanza nianze na Moderetor jamani punguzeni Bifu na sisi SUKUMA Land people na nikisema sukuma Land, tambua ni watu hawa ukiondoa wale wanafiki wakina msukuma, na wenzake hao tutakutana nao kwny uchaguzi 2025.

Sukuma Land ni WA mwanza, Geita, kagera simiyu,Mara na shinyanga na Tabora sisi sote tuna mpenda Raisi wetu ambaye alikufa paspo kumaliza muda wake.

Raisi wetu amekufa mwka mmoja uliopita yeye Ndo amekuwa wimbo wa Taifa au Sala ya Baba yetu kwa wakatoliki kira uchwao ananangwa na viroboto uchwara hapa hasa wale malaya wa siasa Wana mnaganga na Moderetor uko kiimnya SSI hatukubali Haina mmaana na sisi hatupo humu.

Tupo na tumejaa kama pishi la pilau sema tumenyuti tu.

Eleweni tumenyuti tu, swali fikirishi hivi zitto kabwe hakumpenda Mama yake mbona hajawai zikwa karbu na kaburi la mamayke?

Leo anakuja n kauli hizo kwetu eti tukazikwe chato yeye mbona hajazikwa kigoma au wapi aliko zikwa mama yake?

Suala. La wiz wa Mali za umma sio ishu la Raisi tu ni la Watanzania wote tukemeane.
Zitto Ni mchawi na hata sura yake inadhibitisha kuwa ni mchawi kabisa.
 
Walioambiwa wakazikwe na Magu ni wale wanaomuona Magu kama alikuwa malaika na Mungu mtu.--- hawajui huyo alikuwa fisadi na katili sana, kaumiza watu wengi kikatili.
 
Zitto kinachomtesa ni udini na ukabila
 
Mama yake alikuwa bonge la mchawi, kaua watu wengi mno. Halafu alishiriki pia ufisadi na rushwa za serikali kupitia Mh. Zitto. Yaani Zitto alihongwa hela za Buzwagi akazifanyia money laundering kujifanya za Mama Yake. Kwa ufupi mama yake alikuwa mwizi na muuaji, lakini Mh. Zitto alimpenda sana, na hivyo tunatoa wito aache kabisa kujiliza liza kama hivyo basi aende akachimbe pembeni azikwe naye.
 
Hadi leo naitafakari ile pass ya Sadio Mane kwa MO Salah na MO Salah akafunga, sikujua kama Sadio anaelewana vile na yu Mmisri, it was bonge la match kwa kweli; halafu Chelsea nao ilikuaje wakapanga kikosi kibovu vile? Pamoja na kwamba wana ukata wa fedha but not that way bwana, anyway wiki imeisha kwa machozi ya furaha, nawasubiri Simba Sport Club kule SA
 
Kwanza nianze na Moderetor jamani punguzeni Bifu na sisi SUKUMA Land people na nikisema sukuma Land, tambua ni watu hawa ukiondoa wale wanafiki wakina msukuma, na wenzake hao tutakutana nao kwny uchaguzi 2025.

Sukuma Land ni WA mwanza, Geita, kagera simiyu,Mara na shinyanga na Tabora sisi sote tuna mpenda Raisi wetu ambaye alikufa paspo kumaliza muda wake.

Raisi wetu amekufa mwka mmoja uliopita yeye Ndo amekuwa wimbo wa Taifa au Sala ya Baba yetu kwa wakatoliki kira uchwao ananangwa na viroboto uchwara hapa hasa wale malaya wa siasa Wana mnaganga na Moderetor uko kiimnya SSI hatukubali Haina mmaana na sisi hatupo humu.

Tupo na tumejaa kama pishi la pilau sema tumenyuti tu.

Eleweni tumenyuti tu, swali fikirishi hivi zitto kabwe hakumpenda Mama yake mbona hajawai zikwa karbu na kaburi la mamayke?

Leo anakuja n kauli hizo kwetu eti tukazikwe chato yeye mbona hajazikwa kigoma au wapi aliko zikwa mama yake?

Suala. La wiz wa Mali za umma sio ishu la Raisi tu ni la Watanzania wote tukemeane.
Kwani Zito Kabwe, amefariki lini?? Au Mimi ndo sijamuelewa mtoa uzi??.
 
Hadi leo naitafakari ile pass ya Sadio Mane kwa MO Salah na MO Salah akafunga, sikujua kama Sadio anaelewana vile na yu Mmisri, it was bonge la match kwa kweli; halafu Chelsea nao ilikuaje wakapanga kikosi kibovu vile? Pamoja na kwamba wana ukata wa fedha but not that way bwana, anyway wiki imeisha kwa machozi ya furaha, nawasubiri Simba Sport Club kule SA
Dada katangulia sauzi usijari kaenda weka mambo sawa unaambiwa na kifungulia kafungulia
 
Hadi leo naitafakari ile pass ya Sadio Mane kwa MO Salah na MO Salah akafunga, sikujua kama Sadio anaelewana vile na yu Mmisri, it was bonge la match kwa kweli; halafu Chelsea nao ilikuaje wakapanga kikosi kibovu vile? Pamoja na kwamba wana ukata wa fedha but not that way bwana, anyway wiki imeisha kwa machozi ya furaha, nawasubiri Simba Sport Club kule SA
pasi ya Modric je uliiona mkuu ?

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Walioambiwa wakazikwe na Magu ni wale wanaomuona Magu kama alikuwa malaika na Mungu mtu.--- hawajui huyo alikuwa fisadi na katili sana, kaumiza watu wengi kikatili.
Ukiangalia vizuri hao walioumizwa na magu wao wenyewe waliumiza watz wengi na wapo wengi waliokuwa wanaishi kwa kuumizwa wenzao kuzuiwa kuumizwa ndo na wao wakaumia.
 
Ni kweli lakini siyo vizuri kuwaambia watu hivyo

Ni hivi; jambo la mtu kuzikwa na marehemu ni mila iliyokuwepo zamani sehemu mbalimbali duniani na hata huku kwetu Afrika na huko India bado hadi leo ipo.

Ni hivi; huku kwetu alipofariki mtu mkubwa katika jamii kama mtemi nk, alijitokeza mtu hai na akazikwa naye kama ishara ya upendo kwa marehemu na wala haikuwa kashfa, kejeli au tusi bali jambo hilo lilikuwa la fahari kwa mtu atakayezikwa na marehemu, sasa Zitto aliposema Watu wanaompenda Magu wakazikwe naye maana yake ilikuwa ni katika msingi huo kwamba kwa kuzikwa naye itakuwa ni fahari kwake na itaonyesha ishara ya upendo kwa marehemu na sio kuonyesha upendo wa "lip service" tu bila matendo.

Kwa mawazo yangu neno aliloliongea zitto kiuhalisia kamwe haliwezi kufanyika kwani tayari marehemu alisha zikwa na hata kama atajitokeza mtu wa kwenda kuzikwa serikali na jamii na jamaa wa Marehemu hawawezi kukubali hiyo mila ya karne ya 18, itakuwa ni kioja na kituko, alichosema Zitto kinaitwa ni metaphor and irony na sio uhalisia wa mambo.
 
Back
Top Bottom