Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Dada katangulia sauzi usijari kaenda weka mambo sawa unaambiwa na kifungulia kafungulia
Najua katangulia ilaa daa, roho imeniuma sana baada ya kusikia sister hadi leo bado yupo singo; imeniuma sana. Ngoja nitafute pesa tu kaka, vitu vizuri kama vile vinatakiwa kua na mtu
 
Kwanza nianze na Moderetor jamani punguzeni Bifu na sisi SUKUMA Land people na nikisema sukuma Land, tambua ni watu hawa ukiondoa wale wanafiki wakina msukuma, na wenzake hao tutakutana nao kwny uchaguzi 2025.

Sukuma Land ni WA mwanza, Geita, kagera simiyu,Mara na shinyanga na Tabora sisi sote tuna mpenda Raisi wetu ambaye alikufa paspo kumaliza muda wake.

Raisi wetu amekufa mwka mmoja uliopita yeye Ndo amekuwa wimbo wa Taifa au Sala ya Baba yetu kwa wakatoliki kira uchwao ananangwa na viroboto uchwara hapa hasa wale malaya wa siasa Wana mnaganga na Moderetor uko kiimnya SSI hatukubali Haina mmaana na sisi hatupo humu.

Tupo na tumejaa kama pishi la pilau sema tumenyuti tu.

Eleweni tumenyuti tu, swali fikirishi hivi zitto kabwe hakumpenda Mama yake mbona hajawai zikwa karbu na kaburi la mamayke?

Leo anakuja n kauli hizo kwetu eti tukazikwe chato yeye mbona hajazikwa kigoma au wapi aliko zikwa mama yake?

Suala. La wiz wa Mali za umma sio ishu la Raisi tu ni la Watanzania wote tukemeane.
Nimewahi kuandika Uzi wa kwa nini zitto hakutaka kuzikwa pembeni mwa kaburi la M/kiti wake msaidizi

Uzi wangu ulifyeka na nilighadhabika sana, nikajiuliza, uhalali wa Uzi wa zitto kuwepo hapa ni UPI ikiwa Uzi ambao unaendana na Uzi wake umefutwa iweje wake uendelee kuwepo?

Moderator muaje uonezi aisee
 
Labda Zitto Kabwe mwenyewe aliwaagiza wafute!
 
Zitto hakumwona mama yake malaika na Mungu mtu. Zitto alimpenda mama yake kwa dhati ya moyo wake siyo kumwabudu au kumshuhudia. Mpo nyie vihelehele wa mwendazake. Tumeshachimba makaburi yenu Chato njooni tuwazike.
 
Mtazikwa nyie
 
Umeanza kutokwa povu mapema sana.
Umekunywa chai kwanza?
Chief acha poroja za utoto basi!.

Mada ya Zitto aliitoa lini mpaka useme sifi leo anatoka povu mapema?.

Unaonyesha jinsi ulivyo kariba ya kina zitto and their companies, almost week inaisha mada ilitoka, leo wadau wanamjibu unaongea utoto mh!.
 
Kaka kweli tupo single ahahaha hahaha na Mimi nazichanga
Tutafute pesa mkuu, ukiwahi wewe sawa tu nitakuunga mkno, nikiwahi pia kuzipata niunge mkno, ni matumizi mabaya ya rasilimali kwa mtoto kama yule kua SINGO; halafu kwa mama mkwe anaweza kuwasiliana nae vizuri maanake pamoja na rangi yake lakini anaongea kiswahili vizuri tu
 
Kwanza nianze na Moderetor jamani punguzeni Bifu na sisi SUKUMA Land people na nikisema sukuma Land, tambua ni watu hawa ukiondoa wale wanafiki wakina msukuma, na wenzake hao tutakutana nao kwny uchaguzi 2025.

Sukuma Land ni WA mwanza, Geita, kagera simiyu,Mara na shinyanga na Tabora sisi sote tuna mpenda Raisi wetu ambaye alikufa paspo kumaliza muda wake.

Raisi wetu amekufa mwka mmoja uliopita yeye Ndo amekuwa wimbo wa Taifa au Sala ya Baba yetu kwa wakatoliki kira uchwao ananangwa na viroboto uchwara hapa hasa wale malaya wa siasa Wana mnaganga na Moderetor uko kiimnya SSI hatukubali Haina mmaana na sisi hatupo humu.

Tupo na tumejaa kama pishi la pilau sema tumenyuti tu.

Eleweni tumenyuti tu, swali fikirishi hivi zitto kabwe hakumpenda Mama yake mbona hajawai zikwa karbu na kaburi la mamayke?

Leo anakuja n kauli hizo kwetu eti tukazikwe chato yeye mbona hajazikwa kigoma au wapi aliko zikwa mama yake?

Suala. La wiz wa Mali za umma sio ishu la Raisi tu ni la Watanzania wote tukemeane.
Lakini kiongizi wa wasukuma si alisema akitoweka sayarini hapa atakwenda kuwalimisha malaika huko akhera

Sasa mnalalamika nini wakati mtukufu anapiga kazi huko paradiso??
 
Kwanza nianze na Moderetor jamani punguzeni Bifu na sisi SUKUMA Land people na nikisema sukuma Land, tambua ni watu hawa ukiondoa wale wanafiki wakina msukuma, na wenzake hao tutakutana nao kwny uchaguzi 2025.

Sukuma Land ni WA mwanza, Geita, kagera simiyu,Mara na shinyanga na Tabora sisi sote tuna mpenda Raisi wetu ambaye alikufa paspo kumaliza muda wake.

Raisi wetu amekufa mwka mmoja uliopita yeye Ndo amekuwa wimbo wa Taifa au Sala ya Baba yetu kwa wakatoliki kira uchwao ananangwa na viroboto uchwara hapa hasa wale malaya wa siasa Wana mnaganga na Moderetor uko kiimnya SSI hatukubali Haina mmaana na sisi hatupo humu.

Tupo na tumejaa kama pishi la pilau sema tumenyuti tu.

Eleweni tumenyuti tu, swali fikirishi hivi zitto kabwe hakumpenda Mama yake mbona hajawai zikwa karbu na kaburi la mamayke?

Leo anakuja n kauli hizo kwetu eti tukazikwe chato yeye mbona hajazikwa kigoma au wapi aliko zikwa mama yake?

Suala. La wiz wa Mali za umma sio ishu la Raisi tu ni la Watanzania wote tukemeane.
Acheni siasa za ukabila.

Kuna Wasukuma wengine hatukukubaliana na Magufuli.
 
Tutafute pesa mkuu, ukiwahi wewe sawa tu nitakuunga mkno, nikiwahi pia kuzipata niunge mkno, ni matumizi mabaya ya rasilimali kwa mtoto kama yule kua SINGO; halafu kwa mama mkwe anaweza kuwasiliana nae vizuri maanake pamoja na rangi yake lakini anaongea kiswahili vizuri tu
Kaka ukiniwai Mimi sikuungi mkono utamu ufaidi ww alafu mkono niunge mie
 
Kwanza nianze na Moderetor jamani punguzeni Bifu na sisi SUKUMA Land people na nikisema sukuma Land, tambua ni watu hawa ukiondoa wale wanafiki wakina msukuma, na wenzake hao tutakutana nao kwny uchaguzi 2025.

Sukuma Land ni WA mwanza, Geita, kagera simiyu,Mara na shinyanga na Tabora sisi sote tuna mpenda Raisi wetu ambaye alikufa paspo kumaliza muda wake.

Raisi wetu amekufa mwka mmoja uliopita yeye Ndo amekuwa wimbo wa Taifa au Sala ya Baba yetu kwa wakatoliki kira uchwao ananangwa na viroboto uchwara hapa hasa wale malaya wa siasa Wana mnaganga na Moderetor uko kiimnya SSI hatukubali Haina mmaana na sisi hatupo humu.

Tupo na tumejaa kama pishi la pilau sema tumenyuti tu.

Eleweni tumenyuti tu, swali fikirishi hivi zitto kabwe hakumpenda Mama yake mbona hajawai zikwa karbu na kaburi la mamayke?

Leo anakuja n kauli hizo kwetu eti tukazikwe chato yeye mbona hajazikwa kigoma au wapi aliko zikwa mama yake?

Suala. La wiz wa Mali za umma sio ishu la Raisi tu ni la Watanzania wote tukemeane.
inaonekana kwa sasa Zitto kafilisika kisiasa

maana anachoongeaga siku hizi wengi huwa hatumuelewi kabisa

Zitto tunayemfahamu sisi ni yule Zitto wa CHADEMA
 
Back
Top Bottom