Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Magufuli hakuwa mjinga kuwa dhibiti hawa watu. Hawa na wenzao ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Tanzania hakuna upinzani. Upinzani wapo kwa Ajili ya Matumbo yao.

Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM naamini ndani ya CCM yupo Magufuli Mwingine Ambaye Atakuja kumalizia kazi nzuri Aliyoiacha Magufuli.
Hata kama wapinzani wako kwa ajili ya matumbo yao ndiyo risasi 16 kweli???

Ndiyo wawe kama Ben Saanane???
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amesema wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike

Zitto amesema zamani watu ambao ni walikuwa ni viherehere wanaojidai wanawapenda sana wafalme au watemi walikuwa wakizikwa pamoja na wafalme hao walipokuwa wanazikwa

Amesema hayo kwenye mjadala kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli ambapo amesema kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyopita Magufuli alikuwa na kikundi chake Tanroads ambacho alikuwa akitoa tenda kama za kujenga viwanja vya ndege, kujenga viwanda licha ya Tanroads kutohusika na kusababisha tends hizo kufanyiwa kwa gharama kubwa kuliko ilivyotakiwa ama kutofanyika kabisa

Zitto alieleza pia Magufuli bila kufuata Taratibu alitoa tenda nyingi kwa kampuni yake ya Mayanga Construction ya kujenga kiwanja cha kimataifa cha ndege Chato wilaya aliyotoka Magufuli na kusema hakuna Rais katika historia ya Tanzania amewahi kufanya hivyo.
Magu.alikua mwizi mkubwa sana
 
Huyu mtu kipindi kile Dkt Magufuli anapata matatizo kule Mtwara, yeye na genge lake aliposti akimpongeza Mama Samia kuwa Rais, ila baadaye Dkt Magufuli akaibuka kumbe wakatumia mbinu nyingine na wakamuua na sasa bado wanashangilia. Hakika inauma sana tena machozi hapa yananitoka. Iko siku iko siku hizi hasira mtakuja kuziona.
Lia kabisa hadi ufe!!!
 
Back
Top Bottom