Zitto: Waliohusika Escrow wamepewa Bandari ya Tanga!

Zitto: Waliohusika Escrow wamepewa Bandari ya Tanga!

Ngoja nikalewe tu kuliko kuendelea kuwa chizi kwa kufatilia ishu zisizoeleweka
 
@Kapwela Nimekwambia ZZK alienda kule kama Mbunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na si vinginevyo sasa ulitaka Slaa aende kama nani??

Pili, kila mtu ndani ya Chama alikuwa na majukumu yake, kwahiyo ulitaka ZZK akiwa anaenda huko na Mbowe nae aende, Mnyika nae aende, Kafulila nae aende, Mbatia nae aende au wewe ulitakaje?? Anajuaje kama viongozi wenzake walitoa go ahead kwake na wao wakaendelea kukujinga chama hapa nchini. Ukisema ZZK alikuwa analitumikia taifa kufichua majambazi, pia nitakwambia Dr. Slaa na Mbowe walikuwa kwenye operation mbalimbali ndani ya nchi kukijenga chama.

BTW alijisifu majina tayari anayo, vipi kashayataja?? Alafu unanishangaza unavyosema Mbowe kashindwa ishu ya bomba la gesi. Kwani ni Mbowe mwenyewe ndie linamuhusu sana hilo bomba la gesi?? Kuna mbunge mwingine kakatazwa kupeleka mswada binafsi juu ya ubadhilifu wa hilo bomba?? kwanini hawapeleki?? Unataka kusema wabunge wote wa Upinzani utashi wao haufikii wa ZZK?? Hoja zote za ufisadi bungeni alikuwa anapeleka yeye tu??

Zitto hkn mbadala wako aisee hao waliobakia ttzo wana uchama sana
 
Wewe ndiye pumbavu usiyejua kujengahojawala kuelewa. Unaharisha tu. Eti Mbowe na Slaa, utakufa na kihoro. Pu.m.vavu sana na sitakikuongea na juha kama wewe. Ishia!.

Kama kitu hujui,ficha upumbavu wako!!hujui wajibu wa upinzani ni nini!!upinzani usio na macho ni upinzani dhaifu, haya yote yalipaswa wa kwanza kuyajua na kuyafichua awe Mbowe na Dr Slaa, lakini kwa kuwa hivi vitu vinahitaji uwezo binafsi pia ndio maana tunawasubiria akina Zitto.
 
@Kapwela Nimekwambia ZZK alienda kule kama Mbunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na si vinginevyo sasa ulitaka Slaa aende kama nani??

Pili, kila mtu ndani ya Chama alikuwa na majukumu yake, kwahiyo ulitaka ZZK akiwa anaenda huko na Mbowe nae aende, Mnyika nae aende, Kafulila nae aende, Mbatia nae aende au wewe ulitakaje?? Anajuaje kama viongozi wenzake walitoa go ahead kwake na wao wakaendelea kukujinga chama hapa nchini. Ukisema ZZK alikuwa analitumikia taifa kufichua majambazi, pia nitakwambia Dr. Slaa na Mbowe walikuwa kwenye operation mbalimbali ndani ya nchi kukijenga chama.

BTW alijisifu majina tayari anayo, vipi kashayataja?? Alafu unanishangaza unavyosema Mbowe kashindwa ishu ya bomba la gesi. Kwani ni Mbowe mwenyewe ndie linamuhusu sana hilo bomba la gesi?? Kuna mbunge mwingine kakatazwa kupeleka mswada binafsi juu ya ubadhilifu wa hilo bomba?? kwanini hawapeleki?? Unataka kusema wabunge wote wa Upinzani utashi wao haufikii wa ZZK?? Hoja zote za ufisadi bungeni alikuwa anapeleka yeye tu??

Mosi, Zitto hakwenda kama kiongozi wa kamati ya bunge, hakwenda kufuatilia haya kama mbunge wa Chadema, bali alifuatilia pesa hizi kama Zitto, Mbunge wa Tanzania, mwenye uchungu na nchi yake.

Bunge lina taratibu zake na bunge halikumtuma Zitto kufuatilia pesa hizo bali ni Zitto ndiye aliyepeleka hoja binafsi bungeni baada ya kupata data kuliomba bunge lifuatilie jambo hili, na kupitia bunge serikali ikaunda timu ya kushughulikia hilo, ZItto hakuwa sehemu ya timu hiyo.Weka record zako vizuri!! Zitto kafuatilia hilo kwa nguvu,uwezo na upeo wake binafsi.Mpe credit anayestahili credit.Wakati Zitto anafuatilia haya kwa juhudi zake hao wengine walikuwa usingizi mzito.

Pili, Mbowe kama kiongozi rasmi wa upinzani nchini alikuwa ana nafasi nzuri zaidi kicheo kufuatilia hili kuliko Zitto, nafasi yake hiyo ina uzito mkubwa sana kuliko mnaouona leo, kwa nafsi yake hiyo angekuwa na uwezo na upeo na uwezo angesikilizwa sana, na angeweza kujenga mtandao huo wa kimataifa kupambana na jambo hilo kwa uzito zaidi kuliko Zitto kwa nafasi yake.

Dr Slaa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, kama mgombea wa urais aliyeshika nafasi ya pili na pia kama mgombea urais na Rais mtarajiwa alikuwa ana nafasi kubwa ya kufuatilia hilo na akasikilizwa kuliko Zitto kwa nafasi yake.Hivi umeishawahi ata kusikilia Mbowe na Dr Slaa wakionana japo na balozi yoyote kujenga msukumo wa jambo lolote?ukisikia wameenda ulaya kwa kukosa ushawishi wanaishia kuonana na watu useless.Tukubali binadamu hatupo sawa,kuna wanaoweza vitu fulani na wengine hawawezi.

Kwa hiyo ukatae,ukubali, tofauti yao na Zitto ni hizo tatu tu, UWEZO, UPEO NA USHAWISHI!!

Kama Zitto angekuwa nafasi ya Mbowe au ya Dr Slaa angefanya makubwa zaidi kuliko aliyekuwa anayafanya sasa kwa nafasi yake ndogo.

Ebu angalia hilo suala la gesi, Zitto akaona haya basi ngoja nimuachie Mbowe naye atoke nalo, haya kafikia wapi vile?tukubali tu sio kila mtu anaweza haya mambo, kuna watu wanaweza kuliko wengine.

Hivi unadhan kufuatilia sekta ya elimu na udhaifu wake wa mitaala ni nani alimtuma Mbatia?ni Mbatia mwenyewe.Uwezo una matter sana.Sina shaka kabisa na uwezo wa Mbatia, lakini ni wazi kabisa kuna upungufu wa uwezo kwa Mbowe ndio maana juzijuzi Mbatia alisema miongoni mwa mambo yanayowasumbua UKAWA ni tofauti ya ELIMU,hakukosea na wala hakusema kwa bahati mbaya, anajua kuna watu pale wana upeo mdogo sana.
 
Wewe ndiye pumbavu usiyejua kujengahojawala kuelewa. Unaharisha tu. Eti Mbowe na Slaa, utakufa na kihoro. Pu.m.vavu sana na sitakikuongea na juha kama wewe. Ishia!.

Wewe debe tupu.Ebu muachie Steph Curry, mwenzio atleast ana hoja zenye mantiki.
 
Mosi, Zitto hakwenda kama kiongozi wa kamati ya bunge, bali alifuatilia pesa hizi kama Zitto, Mbunge wa Tanzania, mwenye uchungu na pesa hizo. Bunge lina taratibu zake na bunge halikumtuma Zitto kufuatilia pesa hizo bali ni Zitto ndiye aliyepeleka hoja binafsi ya bunge kuanza mchakato wa kufuatilia, wakati Zitto anafuatilia kama Zitto hao wengine walikuwa usingizi mzitto.

Pili, Mbowe kama kiongozi rasmi wa upinzani nchini alikuwa ana nafasi nzuri zaidi kicheo kufuatilia hili kuliko Zitto, kjwa nafasi yake angekuwa na upeo na uwezo angesikilizwa sana, na angeweza kujenga mtandao huo wa kimataifa kupambana na jambo hilo.

Dr Slaa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, kama mgombea wa urais aliyeshika nafasi ya pili n akama Rais mtarajiwa alikuwa ana nafasi kubwa ya kufuatilia hilo na akasikilizwa kuliko Zitto.Hivi umeishawahi ata kusikilia Mbowe na Dr Slaa wakionana japo na balozi yoyote kujenga msukumo huo?hawana muda huo na labda hawana macho hayo.

Tofauti yao na Zitto ni hizo tatu tu, UWEZO, UPEO NA USHAWISHI!!

Kama Zitto angekuwa nafasi ya Mbowe au ya Dr Slaa tungeona matokeo makubwa zaidi ya haya aliyohangaika nayo kwa nafasi yake ndogo.

Haya hilo la gesi Zitto kamuachia Mbowe limefikia wapi vile?tukubali tu sio kila mtu anaweza haya mambo, kuna watu wanaweza kuliko wengine.

Hivi unadhan kufuatuilia sekta ya elimu ni nani alimtuma Mbatia?ni Mbatia mwenyewe.Uwezo una matter sana.Sina shaka kabisa na uwezo wa Mbatia, lakini ni wazi kabisa kuna upungufu wa uwezo kwa Mbowe ndio maana juzijuzi Mbatia alisema miongoni mwa mambo yanayosumbua UKAWA ni tofauti za ELIMU, hakukosea na wala hakusema kwa bahati mbaya, anajua kuna watu wana upeo mdogo sana.

Umejitahidi kuelezea point zako ili kuleta tija lakini bado unapotoka.. Kwahiyo Dr. Slaa tumjudge eti kwakuwa tu ZZK kafuatilia Pesa zinazofichwa offshares na yeye hajafanya hivyo?? Hicho ndicho unachotaka tumjudge nacho Dr. Slaa sio?? Umesahau mchango wa Dr. Slaa kama mbunge ambao kimsingi ndio ulifanya akashinda kwa kiasi kile kwenye kinyang'anyiro cha urais 2010?? Umesahau ambavyo Dr. Slaa alikuwa anatukanwa mule bungeni kwa kuambiwa anapeleka documents fake kutoka kwenye search engines bungeni??

Hiyo Paragraph yako ya mwisho umejijibu mwenyewe, kama umesoma Specialization and Division of Labour basi bila shaka jibu unalo. ZZK kutokana na utashi wake aliamua kufuatilia suala la kuficha pesa nje, Mbatia yeye anafuatilia ya Elimu, Mbowe yeye anakijenga Chama Chake kama Mwenyekiti.. Anao wabunge wengi ambao walikuwa wanafanya kazi nzuri ndani ya CDM akiwemo huyo ZZK, Mnyika, Mdee na wengineo. Kazi zinagawanywa kwa majukumu, na hilo la bomba la gesi kama hujui tu hiyo issue amekabidhiwa Mnyika na kabla ya bunge halijaisha ataomba muongoza wa spika walijadili hilo suala.

Elimu ya mtu isikufanye udharau utendaji kazi wake, kuna Business Consultants wengi hapa mjini ambao wamekaa darasani na wana elimu ya kutosha lakini hata uwape mtaji kiasi gani hawawezi kuunda kitu kama walichofanya akina Bahressa et al. Lakini wao ndio washauri wakuu wa hizo Kampuni. Same to ZZK, he is smart lakini kamwe hataweza kufanikiwa kwa kutaka kusimama peke yake, hata huko alikoenda atapotea bure tu. Mrema alikuwa na kiburi pia, hakutaka msaada wa mwingine leo tunamwona anavyotapatapa.
 
Naona hoja imezunguka sana ata msingi wa hoja umeusahau.

Msingi ulikuwa hapa..

Zitto Ni kibaraka Wa CCM na haya kama anauchungu na taifa hili atutajia majinga ya walioficha matrilon huko uswiss
Zitto + Bakary Kikwete + usalama+chikawe=?

Swali langu likawa...kumbe bila Zitto hao wengine hawawezi kujua??kwani basi msiwaambie hao mnaoona sio vibaraka basi wataje?

Kwenye hili msingi wa Zitto hoja sio kutaja majina, kutaja majina ata chizi anaweza, ni sawa leo ata wewe ukimpa chiz mmoja mwambie ataje majina ya wenye pesa uswisi atashindwa nini kutaja?then matokeo baada ya kutaja?yatakuwa sifuli.Kama ilivyotajwa lift of shame.Mtu makini hafanyi kitu alafu kiishie hewani, atafanya kitu kinacholeta matokeo.Msingi wa Zitto sio kutaja majina kama fasheni tu bali ni kutengeneza foundation ya kuleta matokeo chanja na ya kudumu kulimaliza tatizo hilo.Ndicho alichokuwa anashughulika Zitto.

Pili, nani kakwambia hiyo ni division of labour?sio division of labour bali ilikuwa kujituma binafsi.Kama kuna kitu waliwahi kugawana majukumu vizuri ni suala la posho bungeni na matumizi ya shangingi. Zitto akatimiza lake lakini Mbowe lake likamshinda, mpaka leo yupo na shangingi hilo walilokubaliana alirudishe.Hivyo huwezi kugawana majukumu na watu unaojua sio wa kutenda jambo na ata wakitaka uwezo hawana.Mbatia kafanya kivyake na jambo hajafanikiwa 100% lakini kuna matokeo chanya yanaonekana.Ndio tofauti na kufanya siasa kwa fikra au kwa siasa nyepesi.

Mfano mmoja wapo wa alipoamua kuwaachia ili na Mbowe aonekane ndio hilo la gesi, limemshinda!!kusoma dpovuments na kupambanua A na B=C/D sio kazi ndogo.Mbatia na Lipumba wangeiweza vizuri.

Tatu, hakuna mtu yeyote anayeweza akadharau kazi kubwa aliyoifanya Dr Slaa bungeni, nakumbuka uongozi bungeni wa Hamad Rashid na Dr Slaa wakiwa na Zitto japo walikuwa wachache lakini walikuwa na impact kubwa sana kuliko sasa walivyo wengi lakini uwezo kidogo.

Dr Slaa ana uwezo na sina shaka na hilo, tofauti ninayoisema ni kuwa Dr Slaa ana tatizo la kujenga ushaiwhsi nje ya sphere of influence, bado hajaonyesha uwezo hapo, kwenye local politics yupo vizuri sana na kifikra sina shaka nae kabisa.

Kabla bunge halijaisha lini?wiki mbili zijazo?hiyo ndio ishara nyingine ya watu wababaioshaji, mtu yeyote mwenye akili anajua ni too late sasa, Nyerere alipata kusema "Mtu mwenye akili na anayejua nawe una akili,akikwambia kitu cha kipumbavu wakati anajua nawe una akili,ukikubali,atakudharau". Hilo la kusema naleta hoja bungeni sasa ata Lusinde anaweza, kwa sababu anajua hakutakuwa na muda sasa wa kujadili hivyo atarudi atasema ningepewa nafasi ninge...lugha ya wasio na uwezo.
 
Naona hoja imezunguka sana ata msingi wa hoja umeusahau.

Msingi ulikuwa hapa..

Swali langu likawa...kumbe bila Zitto hao wengine hawawezi kujua??kwani basi msiwaambie hao mnaoona sio vibaraka basi wataje?

Kwenye hili msingi wa Zitto hoja sio kutaja majina, kutaja majina ata chizi anaweza, ni sawa leo ata wewe ukimpa chiz mmoja mwambie ataje majina ya wenye pesa uswisi hatashindwa nini kutaja?then matokeo baada ya kutaja?yatakuwa sifuli.Kama ilivyotajwa lift of shame.

Msingi wa hoja sio kutaja, bali ni kutengeneza foundation ya kuleta matokeo chanja na ya kudumu kulimaliza tatizo hilo.Ndicho alichokuwa anashughulika Zitto.

Pili, nani kakwambia hiyo ni division of labour?sio division of labour bali ilikuwa kujituma binafsi.Uwezi kugawana kazi kama

Mfano mmoja wapo wa alipoamua kuwaachia ili na Mbowe aonekane ndio hilo la gesi, limemshinda!!kusoma dpovuments na kupambanua A na B=C/D sio kazi ndogo.Mbatia na Lipumba wangeiweza vizuri.

Tatu, hakuna mtu yeyote anayeweza akadharau kazi kubwa aliyoifanya Dr Slaa bungeni, nakumbuka uongozi bungeni wa Hamad Rashid na Dr Slaa wakiwa na Zitto japo walikuwa wachache lakini walikuwa na impact kubwa sana kuliko sasa walivyo wengi lakini uwezo kidogo.

Dr Slaa ana uwezo na sina shaka na hilo, tofauti ninayoisema ni kuwa Dr Slaa ana tatizo la kujenga ushaiwhsi nje ya sphere of influence, bado hajaonyesha uwezo hapo, kwenye local politics yupo vizuri sana na kifikra sina shaka nae kabisa.

Kabla bunge halijaisha lini?wiki mbili zijazo?hiyo ndio ishara nyingine ya watu wababaioshaji, mtu yeyote mwenye akili anajua ni too late sasa, Nyerere alipata kusema "Mtu mwenye akili na anayejua nawe una akili,akikwambia kitu cha kipumbavu wakati anajua nawe una akili,ukikubali,atakudharau". Hilo la kusema naleta hoja bungeni sasa ata Lusinde anaweza, kwa sababu anajua hakutakuwa na muda sasa wa kujadili hivyo atarudi atasema ningepewa nafasi ninge...lugha ya wasio na uwezo.

Ulitaka wapeleke lini?? Bomba la gesi limeisha lini?? Lilianza kujengwa lini?? Je wamechelewa au hawajachelewa??

Mbona unanipakazia na hoja za watu.. hiyo tag hapo hayo niliandika mimi?? Mimi nilichokuwa nakupinga ni dharau zako ulizoonyesha kwa Dr. Slaa na Mbowe, as if hawajaifanyia chochote nchi hii. ZZK kafanya kazi yake ya kulisaidia taifa but he is just overrated mnavyojidanganya mchango wake hauwezi kuzibwa na mwingine.. Nimeshakwambia tabia ya umimi hata kwenye kitabu changu cha dini imekemea. Ni tabia ya kishetani.. Huwezi ukajiona wewe ni bora kuliko wengine..
 
Ufisadi wa bomba la gesi umejulikana lini?unataka tusubiri bomba liishe?argument ya ajabu sana hii!

Pili hakuna hoja ya umimi, ila kuna hoja imefanywa na nani?ila tatizo hoja nyingi zilikuwa zinatolewa na mtu mmoja ndio maana wengine wakajenga hali ya wivu, kuwa kwanin ni yeye tu?Zitto kawa victim wa uwezo wake, epeo wake na kujituma kwake.Ikajenga chuki kwa wenzake.

Ata kwenye kitabu changu cha dini tunaambiwa juu ya Yusuph kuchukiwa na nduguze kwa maono yake wakisema "anajifanya yeye ni nani??ebu tumuuze apoteee" hivyo sio ajabu hili la Zitto.
 
Uwa nacheka sana kuona pro - Chadema wapo tayari kuungana na mafisadi ili watofautiane na Zitto.

Inasikitisha sana, CDM ya 2007-2009 haikuwa hivi. Juzi Kafulila alikuwa shujaa humu kwa kuibua Escrow na RUGEMALILA akiwa katika epicenter. Slaa akatuletea mawasiliano aliyonasa kati ya RUGE na JK. leo hii Zitto katia neno matusi yamehamia kwake kwa kuwa tu aliwahi mwambia mfalme mbowe hana nguo.

CDM supporters this has to stop, otherwise post 2015 mtaishia kuwa irrelevant.Huwezi shabikia mada baada ya miezi miwili unaigeuka kama chizi.
 
Ufisadi wa bomba la gesi umejulikana lini?unataka tusubiri bomba liishe?argument ya ajabu sana hii!

Pili hakuna hoja ya umimi, ila kuna hoja imefanywa na nani?ila tatizo hoja nyingi zilikuwa zinatolewa na mtu mmoja ndio maana wengine wakajenga hali ya wivu, kuwa kwanin ni yeye tu?Zitto kawa victim wa uwezo wake, epeo wake na kujituma kwake.Ikajenga chuki kwa wenzake.

Ata kwenye kitabu changu cha dini tunaambiwa juu ya Yusuph kuchukiwa na nduguze kwa maono yake wakisema "anajifanya yeye ni nani??ebu tumuuze apoteee" hivyo sio ajabu hili la Zitto.

Ufisadi wa bomba la gesi ulijulikana 2014 mwanzoni kabisa.. ZZK aliliibua hilo lini?? Wakati linataka kujadiliwa hilo kulikuwa na Bunge la Katiba.. Bunge lililofuata Escrow.. Bunge la majuzi Mnyika alitaka kuliongelea akakalishwa. Sasa ulitaka kutokee muujiza upi tena mkuu..

ZZK ni hoja gani binafsi kaipeleka bungeni, akaisimamia ikazaa matunda?? Nitajie hizo hoja binafsi ambazo ndizo zinafanya aonewe wivu mkuu
 
Hilo la hoja kutosikilizwa unarudi kulekule UWEZO, UPEO NA USHAWISHI!!kiongozi unapaswa uwe na hivi vitu ili uweze kupush vitu, sio wote wanavyo hivi vitu.Ni wa wachache.

Pili, hoja imegunduliwa 2014, mwaka mzima sasa hawajafika popote?kuna vikao vingapi vimepita toka 2014??tunarudi palepale UWEZO, UPEO, USHAWISHI

Kwanza tuanzie hapa, sio wewe tu lakini wengi wamesema Zitto ana umimi?anajitaja yeye?ebu niambie ni kwenye lipi hilo?
 
hahahahaha Mkuu mbona hoja zangu unazipiga chenga unataka nikujibu wewe tu?? ZZK mwenye ushawishi aliibua hoja gani akasikilizwa, ikajadiliwa na ikazaa matunda??? Hivi CCM si wanaamuaga tu kupuuza mule ndani hata hoja iwe na ushawishi kiasi gani?? Hivi hoja inaangalia mtu anayeleta au uzito wa hoja?? Basi kama mule ndani au Watanzania tunaangalia ushawishi wa mtu anayeleta hoja tu wajinga kuliko viumbe vyote ulimwenguni..

Mnyika ndiye aliyeongoza kupeleka hoja binafsi mule bungeni mpaka akapata Tuzo mwaka jana la Ubunge bora.. hilo unalijua fika. Sasa iweje kwenye hii hoja apotezewe?? Kama sio kulindana ni nini?? Maana hii ishu ya bomba inamgusa Mkulu direct, ulidhania madam spika angechukua hiyo risk?? hahaha hujui Escrow ilipelekwa with exception of Stanbik names to be mentioned?? CCM wanakubali hoja ambazo wanajua hazitawadhuru wale ambao ni threats.. Ndio maana hizi ishu zote kuanzia Richmond jina la mkulu linafichwa.. Pia isingetokea wakubali hili la bomba lijadiliwe tena hasa kwa kipindi hichi cha lala salama. Hata Mnyika akisimama tena keshokutwa litatupiwa kapuni tu..

Naomba jibu langu; hoja zipi binafsi zilipelekwa na ZZK akazisimamia zikazaa matunda??
 
Usisahau kumpigia kura

*****************

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
WADANGANYIKA bana kweli kazi kubwa inatakiwa. yaani ujumbe mzito kama huu watu wanabishana nani kafanya nini na nani hawezi wakati ni swala linawahusu wao. badala ya watu kujadili hoja hii na kuitafakari wanaanza kubishana wao wakati nci yao inauzwa kirahisi, sasa naanza naelewa kwa nini ilikuwa rahisi sana kwa wakoloni kuitawala Afrika.
 
hahahahaha Mkuu mbona hoja zangu unazipiga chenga unataka nikujibu wewe tu?? ZZK mwenye ushawishi aliibua hoja gani akasikilizwa, ikajadiliwa na ikazaa matunda??? Hivi CCM si wanaamuaga tu kupuuza mule ndani hata hoja iwe na ushawishi kiasi gani?? Hivi hoja inaangalia mtu anayeleta au uzito wa hoja?? Basi kama mule ndani au Watanzania tunaangalia ushawishi wa mtu anayeleta hoja tu wajinga kuliko viumbe vyote ulimwenguni..

Mnyika ndiye aliyeongoza kupeleka hoja binafsi mule bungeni mpaka akapata Tuzo mwaka jana la Ubunge bora.. hilo unalijua fika. Sasa iweje kwenye hii hoja apotezewe?? Kama sio kulindana ni nini?? Maana hii ishu ya bomba inamgusa Mkulu direct, ulidhania madam spika angechukua hiyo risk?? hahaha hujui Escrow ilipelekwa with exception of Stanbik names to be mentioned?? CCM wanakubali hoja ambazo wanajua hazitawadhuru wale ambao ni threats.. Ndio maana hizi ishu zote kuanzia Richmond jina la mkulu linafichwa.. Pia isingetokea wakubali hili la bomba lijadiliwe tena hasa kwa kipindi hichi cha lala salama. Hata Mnyika akisimama tena keshokutwa litatupiwa kapuni tu..

Naomba jibu langu; hoja zipi binafsi zilipelekwa na ZZK akazisimamia zikazaa matunda??

Ingekuwa rahisi hivyo basi kila mtu angekuwa shujaa, suala sio kuongea bali umeongea kwa hoja gani ya kushawishi bna kuwabadilisha mawazo wasiokubaliana na wewe?hapa tunafeli sana!! Ndio maana bunge linabaki kuwa ni mechi ya upnade mmoja na upande mwingi.Ni wabunge wachache sana ambao hoja zao hupenya kwenye makundi yote ya kibunge na kuleta matokeo.Zitto ni mmojawapo wa wabunge hao.

Usiku umeenda sana sasa, nitaleta hizo kesho.

Wacha nikuachie kwa leo kipande hiki cha habari kwa kumbukumbu ya kufikirisha.
................................................................................................................................................................
Ndani ya Bunge, Zitto alipata kuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Kamati ya Mashirika ya Umma (POAC) na baadaye kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC). Ni katika kipindi cha uenyekiti wa Zitto, ndipo ambapo kamati hizi zilijulikana sana kwa jamii.
Kihaiba, Zitto ana sifa mbili muhimu ambazo ni taswira chanya ya uongozi lakini wakati huo huo ikiwa ni taswira tata ya kiuongozi katika mazingira ya kitanzania.

Sifa ya kwanza ni tamaa na ujasiri wa kupenda kufanya makubwa ambayo hugeuka kuwa kero kwa baadhi ya viongozi wenzake anaofanya nao kazi.Zitto amekuwa kinara wa kuibua ‘madudu' mengi serikalini kuanzia kashfa ya Buzwagi, mabilioni ya Uswisi na sasa sakata la kashfa ya akaunti ya Escrow.

Kikazi, Zitto ana sifa tatu zinazomtenga kwa mbali na wanasiasa wengi hapa Tanzania. Mosi, Zitto anaamini kikamilifu katika itikadi, falsafa na sera kama msingi wa uongozi wa kisiasa.
Katika kipindi ambacho ujamaa umepoteza mashiko katika Bara la Afrika, yeye anajipambanua waziwazi kwamba ni mjamaa akiamini katika falsafa ya Unyerere.

Zitto anaamini kwamba kijiji ndiyo kitovu cha maendeleo ya Mtanzania na ni muhimu kuwekeza katika kilimo. Ndiyo mwanasiasa pekee nchini na pengine katika bara la Afrika aliyeweza kuisimamia kwa vitendo dhana ya hifadhi ya jamii kwa mwananchi wa kawaida hadi katika ngazi ya kijiji.

Ni kwa sababu hii, amekuwa mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kushinda tuzo ya hifadhi ya jamii. Zitto pia anaamini katika demokrasia rasilimali kama msingi wa kuwapa wananchi fursa ya kumiliki na kufaidika na rasilimali za taifa.

Pili, Zitto anajipambanua kifikra. Hili linajitokeza katika ukweli kwamba Zitto ni miongoni mwa wananasiasa wachache hapa nchini wanaosoma sana.

Sifa ya tatu kikazi inayomtenga na wanasiasa wenzake wa upinzani hapa nchini ni mtandao mpana alionao ndani na nje ya nchi.

Kwa hapa nchini, Zitto ni mwanasiasa pekee wa upinzani aliyeonyesha uwezo wa kufanya kazi na kushirikiana na wanasiasa wa vyama vingine bila kujali tofauti zao za kisiasa.

Zitto ana uhusiano mzuri na viongozi mbalimbali nchini, wakiwemo viongozi wastaafu wanaoheshimika nchini.

Zitto ana mahusiano mema ya kikazi na viongozi wa vyombo vya dola ndani ya Jeshi la Wananchi, Polisi na Usalama. Hii ni sifa muhimu kwa kiongozi anayejiandaa kuwa mkuu wa nchi na dola.

Aidha, Zitto ana mahusiano mema ya kikazi na viongozi mbalimbali katika bara la Afrika, Amerika, Ulaya na Asia, pamoja na taasisi za kimataifa.

Hii nayo ni sifa muhimu kwa kiongozi anayejiandaa kushika uongozi wa juu wa nchi kwa sababu mafanikio ya kiongozi wa juu hutokana kwa kiasi kikubwa na mahusiano yake na Jumuiya ya Kimataifa.

Mafanikio ya Zitto Kabwe ndiyo pia udhaifu wake, hasa katika mazingira ya siasa za Tanzania. Kikazi, Zitto anaponzwa na tabia yake ya kutokuendana na utamaduni wa kimaisha na kisiasa wa Tanzania.

Kwa mfano, katika jamii yetu watu wanaofanya kazi kwa bidii sana hutazamwa kwa jicho lisilo chanya sana. Tangu tukiwa shuleni, mwanafunzi anayesoma sana hupachikwa majina ya ajabu ajabu kama vile ‘mnoko', ametumwa na kijiji, ‘msongo', n.k.

Tukiwa kazini, watu wanaofanya kazi sana kwa kuzingatia taratibu si miongoni mwa watu wanaopendwa.

Watu wa namna hii huonekana kama wanajipendekeza na ‘kujifanya wajuaji' na hivyo hupachikwa majina mbalimbali na hata kupakaziwa.

Utamaduni huu pia upo katika siasa na kwa kiasi umemponza sana Zitto kwani anaonekana kama ni mwanasiasa mwenye kimbelembele kwa tabia yake ya ‘kung'ang'ania' hoja mbalimbali zenye maslahi mapana kwa jamii na nchi.

Eneo la tatu la udhaifu wa Zitto katika maziingira ya siasa za upinzani Tanzania lipo katika aina ya siasa anazofanya.

Wakati yeye huamini kwamba kazi ya upinzani ni kujenga hoja mbadala, viongozi wenzake wa upinzani wanaamini kwamba kazi ya msingi ya upinzani ni kushambulia haiba na matendo ya viongozi wa chama tawala.

Kwa sababu ya tofauti hizi za kimtazamo, Zitto amejikuta yupo mbali kabisa na viongozi wenzake wa upinzani na hivyo kujikuta kama mtoto yatima akilelewa na walezi wasio mpenda.

- See more at: Raia Mwema - Zitto Zuberi Kabwe: Mgombea ambaye hatagombea, mhanga wa mafanikio yake
 
WADANGANYIKA bana kweli kazi kubwa inatakiwa. yaani ujumbe mzito kama huu watu wanabishana nani kafanya nini na nani hawezi wakati ni swala linawahusu wao. badala ya watu kujadili hoja hii na kuitafakari wanaanza kubishana wao wakati nci yao inauzwa kirahisi, sasa naanza naelewa kwa nini ilikuwa rahisi sana kwa wakoloni kuitawala Afrika.

Maneno machache lakini mazito sana.Nimekuelewa!!

Copy:Steph Curry
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom