kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Hilo NENO Mkuu ZITTO
Kwa iyo matatizo yanawaandama watu wenye akili kama za chadema?
Miaka 50+ toka tupate uhuru saivi ujue
Mnawagwaya, mengine ni porojo za kupitisha siku tu.Siyo kweli, chadema wanakamatwa kwa sababu they are stupid, Zito Kabwe anafanya Siasa na hatukani, hadhihaki wala hakebehi mtu sasa kwa nini akamatwe? Chadema ni wajinga na hamna mwenye akili na ndiyo maana matatizo yanawaandama!
Hizo Kata zote CCM lazima washinde, nyie UKAWA endeleeni kuchangia hela za matibabu ya Lissu.Upinzani wanaweza kupata kata ya Saranga na kijichi na Mbweni ni chama tawala
You are the real storyteller.Saranga naskia hao act na chadema wameshatolewa automatically kwa kukosea/kutoainisha mambo kadhaa wakat wa kujiandikisha.
ACT imemfia mikononi mwake sasa anataka waungane, cuf ya Maalim hoi, chagadema Magu kawaweka sawa hawana hoja, nccr sijui wako wapi, cuf Lipumba wao wanashughilikia kugawana luzuku, wapi na wapi huo muungano.Ha ha haaa zitto kazidiwa anaomba poo
Safi sana Chadema wapo stupid.. But Zitto akianika u stupidity wa Magufuli munaanza kukenua meno...makekenge sana nyieSiyo kweli, chadema wanakamatwa kwa sababu they are stupid, Zito Kabwe anafanya Siasa na hatukani, hadhihaki wala hakebehi mtu sasa kwa nini akamatwe? Chadema ni wajinga na hamna mwenye akili na ndiyo maana matatizo yanawaandama!
Toka lini manyang'au ccm wakaipenda Chadema?! Ccm rafiki zao ni wale wasifiaji, wapiga matarumbeta ya kumsifia mfalme na watetea matumbo yao, Chadema ni nuru haichangamani na ccm(giza), hivyo Giza na nuru zina sifa tofauti kabisaSiyo kweli, chadema wanakamatwa kwa sababu they are stupid, Zito Kabwe anafanya Siasa na hatukani, hadhihaki wala hakebehi mtu sasa kwa nini akamatwe? Chadema ni wajinga na hamna mwenye akili na ndiyo maana matatizo yanawaandama!
Zitto lini umekua mpinzani? Wapinzani wa ccm wanajulikana kila siku wanakamatwa kwa kesi hewa, kufa ama kupotea na wengine kujeruhiwa. Pambana na hali yako jomba.
Hakika mkuuHa ha haaa zitto kazidiwa anaomba poo
Haruhusiwi kujiunga Ukawa huyu. Alifaidi sana kwenye kibarua cha usaliti awamu iliyopita. Sasa hasira zake kwa CCM ni pale anapokumbuka alichovuna wakati ule na ambacho hakipati leo kwa sababu serikali awamu hii haiajiri msaliti