Zitto: Upinzani adui yetu ni CCM, tuweke kando tofauti zetu tushirikiane tuhakikishe kata 3 za Dar CCM haipati hata moja

Kama wao kwa wao ndani ya umoja ule walivurugana na wakashindwa kuachiana sembuse leo waje kukuachia wewe na chama chako ambacho mwanzo walikiita CCM_B??
 
Siyo kweli, chadema wanakamatwa kwa sababu they are stupid, Zito Kabwe anafanya Siasa na hatukani, hadhihaki wala hakebehi mtu sasa kwa nini akamatwe? Chadema ni wajinga na hamna mwenye akili na ndiyo maana matatizo yanawaandama!
Mnawagwaya, mengine ni porojo za kupitisha siku tu.
 
Zitto anatapa tapa tu.Kama anajua adui wao ni ccm kwa nini hakumuachia fisadi lowassa agombee peke yake mwaka 2015
 
Zitto umegundua lini kuwa adui yenu ni ccm, siku zote ulikuwa wapi? Ni muhimu upinzani kuungana ila ni mapema sana kukuamini Zitto.

Fanya kwanza vitu vitakavyo tufanya tukuamini, umeongelea uchumi lakini bado haitoshi kukuamini tatizo usaliti wako.
 
Ha ha haaa zitto kazidiwa anaomba poo
ACT imemfia mikononi mwake sasa anataka waungane, cuf ya Maalim hoi, chagadema Magu kawaweka sawa hawana hoja, nccr sijui wako wapi, cuf Lipumba wao wanashughilikia kugawana luzuku, wapi na wapi huo muungano.
 
Siyo kweli, chadema wanakamatwa kwa sababu they are stupid, Zito Kabwe anafanya Siasa na hatukani, hadhihaki wala hakebehi mtu sasa kwa nini akamatwe? Chadema ni wajinga na hamna mwenye akili na ndiyo maana matatizo yanawaandama!
Safi sana Chadema wapo stupid.. But Zitto akianika u stupidity wa Magufuli munaanza kukenua meno...makekenge sana nyie
 
Kwa Kijichi wanaweza pata maana eti ccm wanasimamisha kamgombea katotoooo cjui walikosa wagombea?last week nikiwa kwenye daladala walikua wanamnadi kwa kumzungusha ktk gari la wazi,yaanibdaladala nzima walicheka kwa kukaona hako kagombea udiwani..
na sijanua kwa vigezo vipi kamepitishwa kenyewe
 
Ikiwa upinzani umeahindwa kuweka kando tofauti zao kwa zaidi ya miaka 23 ni kitu kinaweza kuwabidili Sasa hivi wawe na akili tofauti?Wao kwa wao tu hawaminiani na maneno matupu ya Zitto yatabakia kua maneno matupu tu.
 
Siyo kweli, chadema wanakamatwa kwa sababu they are stupid, Zito Kabwe anafanya Siasa na hatukani, hadhihaki wala hakebehi mtu sasa kwa nini akamatwe? Chadema ni wajinga na hamna mwenye akili na ndiyo maana matatizo yanawaandama!
Toka lini manyang'au ccm wakaipenda Chadema?! Ccm rafiki zao ni wale wasifiaji, wapiga matarumbeta ya kumsifia mfalme na watetea matumbo yao, Chadema ni nuru haichangamani na ccm(giza), hivyo Giza na nuru zina sifa tofauti kabisa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tanzania ina watu wengi sana kama nyinyi na ndiyo maana wajanja wanazoa madini yetu na kutuachia mashimo.

Anyway, ni maoni japo yalipaswa yawe FB na siyo humu.
Zitto lini umekua mpinzani? Wapinzani wa ccm wanajulikana kila siku wanakamatwa kwa kesi hewa, kufa ama kupotea na wengine kujeruhiwa. Pambana na hali yako jomba.
 
Akili yako haina tofauti na ya Lusinde kibajaji.

Akili za ovyo sana.
Haruhusiwi kujiunga Ukawa huyu. Alifaidi sana kwenye kibarua cha usaliti awamu iliyopita. Sasa hasira zake kwa CCM ni pale anapokumbuka alichovuna wakati ule na ambacho hakipati leo kwa sababu serikali awamu hii haiajiri msaliti
 
Back
Top Bottom