Zitto: Upinzani adui yetu ni CCM, tuweke kando tofauti zetu tushirikiane tuhakikishe kata 3 za Dar CCM haipati hata moja

Nyalandu anataka urais, lowassa hayuko tayari kukaa benchi, lissu nae anautaka na dj anaona ndo chansi yake iliyobaki.
Mtifuano ni mkubwa, kila mtu ataondoka na fito zake uelekeo wake na nyumba haitajengwa.
unatumia nguvu kuubwa kuamdika upumbavu......
 
Hapo anacheza pata potea! Adui wa CHADEMA siku zote ni CCM na yeye ZITTO. Kwa ushauri angeendelea na harakati zake bila ya kujihusisha na CHADEMA.
 
Wakati chama chenye nguvu na wabunge wengi CUF kinajitoa ukawa, yeye mwenye asiye na mbunge hata mmoja eti anajiunga na ukawa. Ni garantii ya jimbo moja dhidi ya majinmbo kama 15 ya CUF.
Unajidanganya, CUF ya Lipumba haiwezi kupata hata Mwenyekiti Wa kitongoji.
 
Zitto kakosa sera bora arudi cdm chini ya mbowe. Akubali yaishe tu mfalme ni mbowe
 
Kwa sasa hivi anajitahidi sana kutoa matamko akitaka kuonekana ni Mbadala wa Tundu Lissu.Anaamini CDM watampendekeza kugombea urais msaliti mkubwa
Kwa taarifa yake mgombea urais atakuwa ni NYALANDU LAZARO yeye atagombea kupitia huko kwake kwa kuwa sasa ametimiza umri wa kugombea nafasi hiyo
 
Kumwamini Zitto ni sawa na kuonja sumu kwa lengo la kujua kama hiyo sumu ni genuine au fake
Kama tunawapokea watu toka CCM, kuna ubaya gani kumpokea aliyetoka ACT? Tufahamu kuna kufanya kosa, kutambua, kujitia na kutubu. Jambo la muhimu ni kujiridhisha kuwa ana dhamira ya kweli.
 
Adui au wapinzani? Kama ni adui lazima Risasi zit embed kana ndio hivyo. Wacha hizo Zitto. Ni wapinzani tu
 
Back
Top Bottom