Zitto, ungana na wapinzani wenzako...

Zitto, ungana na wapinzani wenzako...

Unaonaekana unapenda sana kulishwa siasa za chuki badala ya wewe mwenyewe kuwa objective!! Unatia aibu unapohusisha siasa na chuki binafsi... unaweza kutuambia hizo sababu binafsi unazodai ndizo zinamfanya Zitto "amchukie" JPM?

Mosi, hivi sababu ambazo zilipelekea UKAWA kutolewa nje ni kwa sababu ya Magufuli personally au ilikuwa kuonesha kwamba hawakukubalina na mchakato wa upigaji kura ambao hatimae ulimwingiza JPM madarakani?!

Btw, alikuwa na sababu gani za leo kuonesha unafiki kwamba humkubali xyz kwamba ni rais halafu kesho unaenda kwa huyo huyo uliyemkataa?! Hata huyo JK ambae kwa unafiki wa watu hapa wanajifanya kumkumbuka, CHADEMA hawakutoka bungeni siku JK anaenda kufungua bunge?!

Pole sana kumbe ni mfuasi wa political drama!

By the way, hivi kabisa kabisa unaamini kinachomsukuma Zitto ni chuki dhidi ya JPM? SERIOUSLY? Yaani yanayopingwa yapo wazi kabisa na yanaweza kuonekana hata na mtoto mdogo lakini bado kuna watu mnaamini hizo ni chuki tu za Zitto dhidi ya JPM?!

I hate to say this but what I sense ni chuki zako dhidi ya Zitto kwavile ulishazoea kulishwa siasa za chuki!

Ni kweli Zitto Kabwe mwanzoni alikuwa anamuunga mkono JPM pale JPM alipoonesha nia ya kupambana na ufisadi!! Binafsi, nilimuunga mkono JPM kwa 100%. Sasa ni nani mwenye akili timamu ambae anaweza kuacha kuunga mkono vita dhidi ya ufisadi? Kinyume chake, wewe ulitaka zile siasa za kijinga za kupinga kila kitu!!!!!

Kwa kumbukumbu zangu, Zitto alianza kutofautiana na serikali ya JPM lilipoanza suala la Bunge Live na upigaji marufuku wa mikutano ya kisiasa!!

Sasa ni nani mwenye akili timamu ambae angeunga mkono ujinga kama huo?! Kwahiyo kwa akili yako, pale Zitto alipoanza kupinga masuala ya wazi kabisa kumbe hiyo ni chuki binafsi dhidi ya JPM?!!

Tofauti yako na Zitto na hii: Wakati watu kama nyinyi mmekula yamini kuunga mkono X na kuipinga Y no matter what, Zitto ataunga mkono na kupinga kutegemeana na hali halisi na sio kupinga tu kama mwehu na kuunga mkono tu kama kipofu!!!

Kaka unaandika maneno mingi sana, lakini ukae ukijua kuwa kila mtu ana upeo wake wa kujudge watu kwa kutumia vigezo mbalimbali alivyojiwekea, kwangu mimi Zitto simkubali hata kwa mtutu wa bunduki, so huwezi kunishawishi chochote kuhusu Zitto, kwa kifupi namjua Zitto sio leo sio jana
 
Bora basi ungesema humkubali kwa sababu ni jambo la kawaida... hakuna anayeweza kukubalika na wote! The problem ni pale unaposema kwamba anachofanya Zitto ni chuki zake tu kwa JPM as if hicho anachokipinga hakipo!!!

Kwamba naandika maneno mengi ilikuwa ni kukuonesha historia ya wapi Zitto alikubaliana na JPM na kwanini alitofautiana ili kuonesha madhaifu ya hoja yako na ndio maana hatimae ukaamua kukiri kwamba "humkubali tu!" Kwa msimamo wa aina hiyo; chochote atakachofanya kwako atabaki mbaya kwa sababu humkubali tu!!
 
Kaka nimekwambia namfahamu Zitto na anachokifanya sasa, wewe huwezi jua hilo, ni kweli JPM ana shida lakini hata JK alikuwa na shida pia
 
Na mimi wa Majita

Nimesoma post hapa kuwa Zito Kabwe anataka kupeleka hoja bungeni ili ipigwe KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS na kaongeza Kwa kusema wabunge wa upinzani wakiopo now bungeni akidi inatimia na kura za wabunge wa upinzani zinatosha kukamilisha kazi hiyo. Mimi naona hapa ni kupoteza Muda kwani aina ya SPIKA na NAIBU SPIKA hiyo hoja itatupwa kapuni.

NINI KIFANYIKE?

Kuelekea uchaguzi mkuu 2020 Zito na chama chake waunganishe nguvu Kwa kuacha tofauti zao na kuungana Pamoja kuungana muungano wa vyama vya upinzani Kwa kutumia Jina la UKAWA au libuniwe Jina tofauti na UKAWA. Kwa kufanya hivyo ndipo nitaona ni ya dhati ya Zito katika kulisaidia Taifa na mkwamo wa kiuongozi (utawala).

Nawasilisha hoja.
ANATAFUTA SIFA TU HANA LOLOTE LA MAANA KWA WAZO HILI ! ALISHA MFANYIA HIVI MZEE PINDA, AKATOKA PATUPU !
 
UKawa ndio waungane na Zitto sio Zitto kuungana na UKawa..... Maana ukawa badala ya kuzungumzia maswala ya kitaifa kama Zito nyie mnadili na umaarufu binafsi na vyama vyenu.!
 
Na mimi wa Majita

Nimesoma post hapa kuwa Zito Kabwe anataka kupeleka hoja bungeni ili ipigwe KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS na kaongeza Kwa kusema wabunge wa upinzani wakiopo now bungeni akidi inatimia na kura za wabunge wa upinzani zinatosha kukamilisha kazi hiyo. Mimi naona hapa ni kupoteza Muda kwani aina ya SPIKA na NAIBU SPIKA hiyo hoja itatupwa kapuni.

NINI KIFANYIKE?

Kuelekea uchaguzi mkuu 2020 Zito na chama chake waunganishe nguvu Kwa kuacha tofauti zao na kuungana Pamoja kuungana muungano wa vyama vya upinzani Kwa kutumia Jina la UKAWA au libuniwe Jina tofauti na UKAWA. Kwa kufanya hivyo ndipo nitaona ni ya dhati ya Zito katika kulisaidia Taifa na mkwamo wa kiuongozi (utawala).

Nawasilisha hoja.
Tatizo lililopo hapo kila mmoja anajiona anafaa kuwa Rais........ kuungana ni ni kitendawili kigumu
 
Mi nakubaliana nawe,zitto ndo mwanasiasa atakaekuja kuisumbua ccm,endapo tutaungana
 
Siasa. Za. Bongo. Bn. Ni shiiidaaa. Yani. Leo. Mnaongea. Ivi. Kesho. Mnabadikikaaa. Yana. Hamueleweki. Wapinzani
 
Back
Top Bottom