BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,744
- 3,544
Ifikie wakati tuache kujinasibu jukwaani kwakujipachika UKigoma FEKI,unakuta mtu katoka burundi kafikia kigoma kapokelewa vizuri,baada ya muda nae anaanza kujiita mkigoma na hatimae kujipa uraia wa tanzania kwakuanza kukashifu viongozi makini wakati hajui kigoma imetoka wapi na inakwenda wapi.Mtoa mada usitufanye tuanzekufikiria upuuzi wa waSouth Africa tukawa...bureee.