Zitto, unatuachaje?

Zitto, unatuachaje?

Hakuna kiwanda cha kubangua kahawa Kigoma Kaskazini zaidi ya kinu cha kukoboa kahawa walichokigharamia wakulima wenyewe.
 
mbona anadai kila kitu mlichotaka katimiza na kwamba baada ya kuona uwezo wake wakazi wa kigoma mjini wakiongozwa na serukamba wamemuomba asaidie kigoma mjini kuwa kama dubai .

Hana lolote zaidi ya uroho Wa madaraka, amefanya hivyo baada ya kuona Kigoma Kaskazini hawezi kupitishwa. Kigoma mjini anatumia kigezo cha Udini kupita.
 
Sisi tunaomba arudi huku kwenye matatizo, tusuluhishe pamoja matatizo haya jamani.
 
Mkuu ukishamaliza hii ya Zitto tuamie kwa Hawa makamanda.

1) John Mnyika

2) Joseph Mbilinyi

3) Godbless Lema

4) Wenye

Hawa nao wamewaachaje wapiga kura wao.
 
Last edited by a moderator:
Ni msanii wa kutupwa zaidi ya Lowasa
 
Mkuu ukishamaliza hii ya Zitto tuamie kwa Hawa makamanda.

1) John Mnyika

2) Joseph Mbilinyi

3) Godbless Lema

4) Wenye

Hawa nao wamewaachaje wapiga kura wao.

Hao wanasema matatizo bado yapo, wanaomba muda zaidi wayatatue pamoja.... Hawajawacha wapiga kura wao.
 
Last edited by a moderator:
Hao wanasema matatizo bado yapo, wanaomba muda zaidi wayatatue pamoja.... Hawajawacha wapiga kura wao.
Kwi kwi kwi kwi ahadi walizotoa pesa za mfuko wa majimbo.

Wanasema matatizo yataisha lini?
 
manu

Nyie watani zangu wa Kgoma acha mteseke mana mna tabia ya usaliti kupindukia...te te teh.........
 
Last edited by a moderator:
Miaka 54 ya uhuru equivalent to 5 ya ubunge.
Wabunge wote wa Chadema, uwa nacheka sana uteteza wa Chadema ukihoji kuhusu wabunge wao kutimiza ahadi zao wanarukia CCM na kujenga hoja kama za kwako.

Kwa hiyo nyie na CCM hamna tofauti?
 
Wabunge wote wa Chadema, uwa nacheka sana uteteza wa Chadema ukihoji kuhusu wabunge wao kutimiza ahadi zao wanarukia CCM na kujenga hoja kama za kwako.

Kwa hiyo nyie na CCM hamna tofauti?

Zitto ndo huyo tena.... Mi nataka kuanzisha chama cha malaika walio duniani.
Kitaitwa Alliance of Angels.. (AA). Natafuta katibu mkuu
 
manu

Mwanaume mzima wata uachwaje au ngj tujeziba oil bas km yavuja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom