MATAGA?Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani kutokana na msiba, hivyo asipelekeshwe sana na badala yake apewe muda
Ameeleza Samia ambaye awali alikuwa Makamu wa Rais hakujiandaa kuwa Rais, bali msiba umetokea na amechukua mamlaka kwa mujibu wa Katiba
Aidha, amesema kuna masuala ambayo ni mapendekezo ya watu wengi Rais ameanza kuyachukulia hatua. Ameeleza, ni muhimu Rais kutafuta wataalamu ili kutazama namna ya utekelezaji wa bwawa la Mwalimu Nyerere, SGR, uboreshaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na mengineyo
Una hakika?Mbona jiwe hukumwambia.
Mliokaribu mwambieni zito tunataka katiba mpya mama afanye harakaKiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani kutokana na msiba, hivyo asipelekeshwe sana na badala yake apewe muda
Ameeleza Samia ambaye awali alikuwa Makamu wa Rais hakujiandaa kuwa Rais, bali msiba umetokea na amechukua mamlaka kwa mujibu wa Katiba
Aidha, amesema kuna masuala ambayo ni mapendekezo ya watu wengi Rais ameanza kuyachukulia hatua. Ameeleza, ni muhimu Rais kutafuta wataalamu ili kutazama namna ya utekelezaji wa bwawa la Mwalimu Nyerere, SGR, uboreshaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na mengineyo
Rais ni mtumishi wa wananchi, kumwambia tunataka Katiba Mpya sio kumpelekesha, hilo ni hitaji muhimu la watanzania kwa wakati huu.
Ni uamzi tu akiamua kupelekeshwa atapelekeshwa sanaKiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani kutokana na msiba, hivyo asipelekeshwe sana na badala yake apewe muda
Ameeleza Samia ambaye awali alikuwa Makamu wa Rais hakujiandaa kuwa Rais, bali msiba umetokea na amechukua mamlaka kwa mujibu wa Katiba
Aidha, amesema kuna masuala ambayo ni mapendekezo ya watu wengi Rais ameanza kuyachukulia hatua. Ameeleza, ni muhimu Rais kutafuta wataalamu ili kutazama namna ya utekelezaji wa bwawa la Mwalimu Nyerere, SGR, uboreshaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na mengineyo
Kumzuia mtu asipigiwe kura kisa ni darasa la saba ni kimyume cha demokrasia unayoihubiri.Hapa Jambo la Msingi ni Mchako wa Katiba Mpya, Maswala ya Mibunge ya CCM ya darasa la Saba kuingia bungeni kwa Mbereko ya Mwendazake Liliiumiza nchi sana, Issue hapa ni kudeal na Katiba Maana Kwa katiba hii tuliyonayo Mibunge ya CCM inaona imeshajitwalia umiliki wa nchi hii.
Huyu ni snitch tu,kaona muha mwenzake yuko ikulu basi tenaAmekuwa masemaji wa serekali? kwanza kumpelekesha maana yake nini?
Mods bora huyu kifafa mumempa haki yake.*TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!
Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.
Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?
Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Mission town.Hivi zito anfanya kazi gani?
Sifa ya kwanza ya Makamu wa Rais, au mgombea mwenza, ni mtu ambaye anatakiwa kuwa tayari kuwa rais muda wowote.Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani kutokana na msiba, hivyo asipelekeshwe sana na badala yake apewe muda
Ameeleza Samia ambaye awali alikuwa Makamu wa Rais hakujiandaa kuwa Rais, bali msiba umetokea na amechukua mamlaka kwa mujibu wa Katiba
Aidha, amesema kuna masuala ambayo ni mapendekezo ya watu wengi Rais ameanza kuyachukulia hatua. Ameeleza, ni muhimu Rais kutafuta wataalamu ili kutazama namna ya utekelezaji wa bwawa la Mwalimu Nyerere, SGR, uboreshaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na mengineyo
...Wewe Umetumwa....mbona kila mara unachomekea huu utopolo wako kwenye mada hata zisizendana na utumbo huu....haya nenda kawaambie waliokutuma kuwa umefanya kile walichokusudia ufanye!*TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!
Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.
Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?
Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Ana mambo ya kike sana, anapondea wengine huku yeye anapenyeza hoja zake.Huyu ni snitch tu,kaona muha mwenzake yuko ikulu basi tena
Mods wameshampiga kitofali utosini,yaani kazi yake kutibua mijadala kuingiza habari zisizohusika....Wewe Umetumwa....mbona kila mara unachomekea huu utopolo wako kwenye mada hata zisizendana na utumbo huu....haya nenda kawaambie waliokutuma kuwa umefanya kile walichokusudia ufanye!
Huyu ni opportunistAna mambo ya kike, anapondea wengine yeye anapenyeza hoja zake
If you stay ready you ain’t gotta get ready.Sifa ya kwanza ya Makamu wa Rais, au mgombea mwenza, ni mtu ambaye anatakiwa kuwa tayari kuwa rais muda wowote.
Samia Suluhu Hassan amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka mitano 2015 mpaka 2020.
Halafu bado unasema hajajiandaa kuwa rais?
Alitakiwa awe tayari kuwa rais tangu November 2015 alipokuwa Makamu wa Rais kwa mara ya kwanza.