Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,853
- 14,082
Zitto ni chawa pro max! Ni zaidi ya mwijakuHivi kuna binafamu bado wanamsikuliza zitto
USSR
Zitto ni chawa pro max! Ni zaidi ya mwijakuHivi kuna binafamu bado wanamsikuliza zitto
USSR
Mbona Zitto nyie bado ni matekaau hujitambui,na mmetangaza kusimamisha mgomea wa Binge la Afrika mashariki.Uchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20 waliouwawa. Lakini tumekataa kushikwa mateka na 2020. Tumeamua kujenga chama madhubuti.
Tumeamua kuongoza mageuzi ya Msingi ili kila Mtanzania apate heshima ya kura yake kwa kumpata kiongozi aliyemchagua katika Kijiji/Mtaa wake, Kata yake, Jimbo lake na Nchi yake. Tumeamua kuimarisha chama kitaasisi ili kukabiliana vilivyo na 2024/2025 na kuzuia yaliyotokea 2020.
Tumeamua kutibu ya 2020 kwa kutazama mbele kwa lengo la kuwa na Tanzania na Zanzibar bora zaidi. Tunayafanya Haya kwa vitendo na tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi.
Kiongozi wa ACT-Wazalendo
Zitto KabweView attachment 2347285View attachment 2347287View attachment 2347288View attachment 2347286View attachment 2347289View attachment 2347292
Ajiunge na kilio cha wengi!Huyu msaka tonge kapoteza ushawishi kwa 100%..
Ajaribu kupinga tozo bhasi labda itampa wafuasi...
Msaliti,alishanunuliwa kitambo.
Zitto Ni NyokaUchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20 waliouwawa. Lakini tumekataa kushikwa mateka na 2020. Tumeamua kujenga chama madhubuti.
Tumeamua kuongoza mageuzi ya Msingi ili kila Mtanzania apate heshima ya kura yake kwa kumpata kiongozi aliyemchagua katika Kijiji/Mtaa wake, Kata yake, Jimbo lake na Nchi yake. Tumeamua kuimarisha chama kitaasisi ili kukabiliana vilivyo na 2024/2025 na kuzuia yaliyotokea 2020.
Tumeamua kutibu ya 2020 kwa kutazama mbele kwa lengo la kuwa na Tanzania na Zanzibar bora zaidi. Tunayafanya Haya kwa vitendo na tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi.
Kiongozi wa ACT-Wazalendo
Zitto KabweView attachment 2347285View attachment 2347287View attachment 2347288View attachment 2347286View attachment 2347289View attachment 2347292
Acha ukabilaWaha
Leo wanawaita Waha, lakini wakitaka kuwatumia wanasema ni chama chenye maono kuliko CHADEMA!!Acha ukabila
Yaani huyu mpuuzi mwenye mapere usoni mpumbavu sana! Tulikuwepo wote nchini 2020 anaweza kutueleza watu 20 waliouawa ni wapi? Tundu Lisu alikuja kujitegesha akamatwe lakini alifanya kampeni bila vurugu kutokea! Zitto badala ya kuwatetea wananchi analeta propaganda sake mtu! Yaani nchi ikiongozwa na muislam hutamsikia huyu pimbi anapiga kelele!
Swali la msingi ni kwamba baada ya 2020, kuna mahali ACT-Wazalendo waliwahi kusema wanachama wake 20 waliuawa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.Zito pamoja na kwamba ni mnafiki lakini hilo la kuuwawa kwa watu tumeliona kwa macho yetu..
Tongue that sweetened by honey licking will make honey lickers to adopt the situation, thus the habit formed. The trap is on...One might not stop thinking maybe, just maybe kuna ulambaji wa Asali....
Wakati kikwete ana ua watz kwa kipindupindu na dawa feki mbona mna nyamaza kimya ...watz 2680 walikuwa wanakufa kwa kipindupindu kila mwaka kabla ya JPM.. sasa hao 20 ni muhimu kuliko 2680 na sasa hivi SA100 karudisha kipindupindu watu wanakufa serikali inaficha kutangaza kwa kuona aibu ...wakifa mafisadi na wasaliti mnapiga kelele ila wakifa masikini na wazalendo mnachekelea ....wamasai wanachinjwa kule loliondo na muarabu kwa kupitia ccm ya sa100 mbona wapo kimya ...zitto ni kinyesii kabisaZito pamoja na kwamba ni mnafiki lakini hilo la kuuwawa kwa watu tumeliona kwa macho yetu. Au mnadhani kwakuwa mlidhibiti vyombo vya habari basi ukweli hatuujui? Hakuna uchaguzi uliokuwa wa kihayawani kama wa 2020.
"tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi."Uchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20 waliouwawa. Lakini tumekataa kushikwa mateka na 2020. Tumeamua kujenga chama madhubuti.
Tumeamua kuongoza mageuzi ya Msingi ili kila Mtanzania apate heshima ya kura yake kwa kumpata kiongozi aliyemchagua katika Kijiji/Mtaa wake, Kata yake, Jimbo lake na Nchi yake. Tumeamua kuimarisha chama kitaasisi ili kukabiliana vilivyo na 2024/2025 na kuzuia yaliyotokea 2020.
Tumeamua kutibu ya 2020 kwa kutazama mbele kwa lengo la kuwa na Tanzania na Zanzibar bora zaidi. Tunayafanya Haya kwa vitendo na tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi.
Kiongozi wa ACT-Wazalendo
Zitto KabweView attachment 2347285View attachment 2347287View attachment 2347288View attachment 2347286View attachment 2347289View attachment 2347292
Yaani haieleweki watanzania ni kina nani na wazanzibari pia haieleweki kama nao siyo watanzania!!Mkuu ACT Wazalendo unamaanisha nini unaposema Watanzania na Wanzanzibari?