Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,106
- 129,530
Swali la msingi ni kwamba baada ya 2020, kuna mahali ACT-Wazalendo waliwahi kusema wanachama wake 20 waliuawa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.
Anaposema kuwa hawataki kuwa mateka na uchaguzi wa mwaka 2020 si wanamaanisha kuwa hawataki kutekwa
na kumbukumbu iliyosababisha watu wao kuuawa!? Wao hawasikitiki watu wao kuuawa!1?
Kuwa wanachama wake waliuwawa walisema na picha zilirushwa sana tu humu. Na sio Zanzibar, tu bali hata huku bara watu waliachwa na vilema vya kudumu, na kesi za kubambikiwa.
Ila anachokisema Zito sasa ni kama lugha ya kujihami wasisakamwe maana CDM wamejitoa kushiriki huo uchaguzi kwani matokeo ya 2020 hawayatambui. Hivyo anaposema hawataki kuwa mateka, anamaanisha CDM ndio mateka wa uchaguzi ule.