Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,106
- 129,530
Mbowe ni Mungu wenu mnamtoaje
USSR
Mungu wetu mimi na nani?
Mbowe ni Mungu wenu mnamtoaje
USSR
Tupo wengi sanaHivi kuna binafamu bado wanamsikuliza Zitto
USSR
Tumuulize Idugunde🤣🤣Watu 20 wamekosa haki ya kuishi mbona hatukusikia kesi ya mauaji.kwa hiyo uraisi wa mwinyi una damu lita ngapi??
Hujamwelewa...mateka wa 2020 maana yake hawataki kuendelea kuulalamikia huo uchafuzi kuwa amejiunga na hii sijui kamati ya siasa sijui kitu gani kwa ajili ya kuratibu njia bora za maridhiano na siasa.
Niguse ninuke🤣Usinikumbushe mzee wa kunuka[emoji1787][emoji1787]
Umeniwahi, nadhani hata std 7 failure hawezi msikiliza au kumwamini mtu anaitwa Zitto..!!Hivi kuna binafamu bado wanamsikuliza Zitto
USSR