Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,217
- 2,354
Kwa akili ya Zito ukijenga madrassa ndio changamoto zamaendeleo ya nchi ndio zimeisha? Haji ikapata ahueni ya kibajeti, giada uliyonayo inakupa nafisi ya kuhamia manero mengine? Ningemuona wa wana angeomba review ya bajeti.Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na madarasa nchi nzima. Zito ameshauri serikali kuzipunguza au kuziondoa tozo.
Zitto amezungumza hayo akiwa katika mahojiano Times FM