Ukitaka kujua maamuzi ya mtu, jifanye hujui alichoamua na kumuangiza kazi. Hapa nafikiri hapa Tundu Lissu alikuwa anataka kuprove akili na uelekeo wa huyu jamaa. Mwenye masikio hawekewi mrija wa kusikilizia yanayoongelewa.
Aiseeh ! hata mie nimeshaanga, mbona mnafanya maisha magumu hivyo ? yaani hamna hata jokes ? khaaa ! hata watengeneza nuclear kuna wakati wanaangalia cartoon network !
Nisaidie kuhusu hiyo kauli yako hapo juu mkuu. Sidhani kama ina ukweli wowote maana nikiangalia hata posho za vikao vya bunge amezikataa. Sijui unamaanisha anapenda posho za aina gani.Rejao unaheshimika sana hapa JF, lakini usitake kutuaminisha haya. Zitto ni mchumia tumbo. Kuliko na POSHO ndiko anakolalia. Huanzisha mijadala inayoonekana kuwa na mashiko lakini mashiko yakianza tu, keshapigwa LI-BUZWAGI lake kimyaaaa kama vile siyo yeye aliyelianzisha.
Fuatilia aliyoyaanzisha yameishia wapi! Haya ya akina Mkulo alikuwa anajijengea WAMHOFU ili hata akitamka dau apewe, japo amesema hana bei.
Zitto bado hajawa mzalendo kama anavyojionyesha kuwa.
Guys u need to have a great sense of humour.. Ur so sensitive nyie watu
Zitto una kera sana! Unajiona wewe ndio wewe! Are you parfect? I hate u kwakweli.
Nisaidie kuhusu hiyo kauli yako hapo juu mkuu. Sidhani kama ina ukweli wowote maana nikiangalia hata posho za vikao vya bunge amezikataa. Sijui unamaanisha anapenda posho za aina gani.
lakini si hata kama muda wako ulikuwa umekishwa si ungekaa tu bila kutamka hayo? Wewe na Lissu pengine ni watani lakini mnataniana bungeni? Kaka nenda pole pole na wenzako mkuuUle ulikuwa utani wa kibunge tuu,kwanza muda wake ulikuwa umekwisha na pia alitaka watu wajue kuwa kuna kawaida ya kupeana mawazo mtu anapochangia. Hakuna baya hapo.
Haters are out..........mtajisema tu. It is a HATE that guide you