Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

Wakati mwingine mnajiabisha kwa kuwa obsessed na maisha ya watu wengine. Hivi mnaujua uhusiano kati ya Zitto na Tundu na aina mbalimbali ya jokes kati yao. Unaweza kukuta wenzenu wanakumbushana story fulani iliyotokea chako ni chako nyinyi huku mnatoa nyongo tumboni. Vidonda vingine vya tumbo ni vya kujitakia!
Let Tundu be the one to complain. Tundu is smiling wewe huku unatokwa povu!!!!!!!!!!!!!!!!!!

du hapo kwenye bluu umenikumbusha mijikuku ya bar hiyo usipime.
 
duh haya matusi ya rejareja hatari sana kama LISSU ana mwandiko mbaya sana na ndiyo macho manne je mwandiko wa mwenyekiti ukoje? this guy is Arrogant!!
 
Watu kila mara wanajiuliza kwa nini kila siku, kila mara, kila mahala ni Zitto, Zitto, Zitto hadi inatia kichefuchefu
Ukweli ni kwamba ni yeye anapenda iwe hivyo kwa kuwa hajakamilisha kazi aliyotumwa. Mpaka pale itakapokamilika, tutaendelea kusikia vitimbwi na show mbalimbali za huyu kijana.

Akihitimisha mchango wako Bungeni, Zitto kasema, “ nilipewa mchango na Tundu Rissu lakini mwandiko wake ni mbaya sana kwa hiyo nimeshindwa kuusoma”. Tujiulize:

1. Je, kweli kulikuwa na ulazima wa yeye kutamka au kutoa taarifa hiyo Bungeni? Faida yake ni nini maana haiongezi chochote (katika mchango wake) wala hawezi kuwahi nafasi kwamba pengine Rissu akirudi basi akute nafasi aliyo ‘bukiwa’ na mwenzake.

2. Hata kama ilikuwa lazima aseme, Je, ilikuwa lazima atamke sababu na kuchagua maneno ‘mwandiko mbaya sana?' angalia kuna kivumishi ‘sana’ kama vile ‘mbaya’ haingetosha!

Si kwamba Zitto ni mzito wa kuelewa, la hasha, anafanya makusudi akijua kuwa mambo kama haya ya kuwadhalilisha wenzake yanaweza kuleta vurugu ndani ya chama na hivyo kukisambaratisha.

Amenihudhi sana, kama si kweli yanayosemwa juu yake, kwa nini asingekaa tu na kutulia kisha aje amweleze Rissu sababu iliyofanya asiwasilishe ujumbe wake. Au kama kwa hekima yake ambayo inashangaza bado aliona ni lazima kutoa taarifa hiyo ya makabidhiano ambayo Wabunge wengine hawahusiki na wala haiongezi chochote cha maana kwenye hansad ,kwa nini asingesema tu kuwa ‘nilipewa mchango na Mbunge mwenzetu lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa kuusoma’ .

Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.
hapo kwenye red, wewe ndo umeharibu kabisa kiswahili.....hahahahaha.
 
Aiseeh ! hata mie nimeshaanga, mbona mnafanya maisha magumu hivyo ? yaani hamna hata jokes ? khaaa ! hata watengeneza nuclear kuna wakati wanaangalia cartoon network !
teh teh teh! ni kweli bwana sio kila kitu yena aaaah!
 
Ungejua kuwa kichaa hujiona anaakili kuliko nyie wote na mlevi anapo vua nguo mbele za watu hujioa ndio jambo kubwa analoweza kufanya ktk jamii msinge shngaa.
Unajua zito ni sawa na idd amini aliye omba kutoa msaada wa chakula kwa uingereza hali akijua kuna watu wanakufa na njaa nchini mwake na kuwa obesity ni janga la kitaifa uingereza, lakini kwa kuwa yupo peponi yanini kuhangaika naye.

Hata utoto sio, nani ampe nchi??

Wakati kina mnyika wanashinda wanafatilia maendeleo ya majimbo yako, yeye kila siku yupo kutafuta umaarufu, facebook yake imejaa picha za kuonyesha yeye amekutana na viongozi wakubwa wa kimataifa wakati picha zenyewe ni zile za kulazimisha. nauhakika hata wanakigoma mmeingia mkenge.

nawakilisha
 
Wanafiki wote jamii ya zitto tumeshawajua. Zitto ana kazi nyingi sn. Nasikia mkwanja aliovuta toka kwa mafisadi ccm si wa kitoto kwa hiyo tusubiri mengi.
 
Watu kila mara wanajiuliza kwa nini kila siku, kila mara, kila mahala ni Zitto, Zitto, Zitto hadi inatia kichefuchefu
Ukweli ni kwamba ni yeye anapenda iwe hivyo kwa kuwa hajakamilisha kazi aliyotumwa. Mpaka pale itakapokamilika, tutaendelea kusikia vitimbwi na show mbalimbali za huyu kijana.

Akihitimisha mchango wako Bungeni, Zitto kasema, " nilipewa mchango na Tundu Rissu lakini mwandiko wake ni mbaya sana kwa hiyo nimeshindwa kuusoma". Tujiulize:

1. Je, kweli kulikuwa na ulazima wa yeye kutamka au kutoa taarifa hiyo Bungeni? Faida yake ni nini maana haiongezi chochote (katika mchango wake) wala hawezi kuwahi nafasi kwamba pengine Rissu akirudi basi akute nafasi aliyo ‘bukiwa' na mwenzake.

2. Hata kama ilikuwa lazima aseme, Je, ilikuwa lazima atamke sababu na kuchagua maneno 'mwandiko mbaya sana?' angalia kuna kivumishi ‘sana' kama vile ‘mbaya' haingetosha!

Si kwamba Zitto ni mzito wa kuelewa, la hasha, anafanya makusudi akijua kuwa mambo kama haya ya kuwadhalilisha wenzake yanaweza kuleta vurugu ndani ya chama na hivyo kukisambaratisha.

Amenihudhi sana, kama si kweli yanayosemwa juu yake, kwa nini asingekaa tu na kutulia kisha aje amweleze Rissu sababu iliyofanya asiwasilishe ujumbe wake. Au kama kwa hekima yake ambayo inashangaza bado aliona ni lazima kutoa taarifa hiyo ya makabidhiano ambayo Wabunge wengine hawahusiki na wala haiongezi chochote cha maana kwenye hansad ,kwa nini asingesema tu kuwa ‘nilipewa mchango na Mbunge mwenzetu lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa kuusoma' .

Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.

Baada ya kukosa hoja za "Zitto kapokea rushwa",sasa unatuhamishia kwenye upuuzi mwingine. Hivi mnalipwa kiasi gani kazi hii?
 
Namwomba Mhe Antipas Lisu atulie asiwe na jaziba mbona safari bado ni ndefu???

HAYA WATANZANIA JAMANI KWA UPOLE.... Mmesha sema LISSU kaanza kwa JAZBA... TU WAPOLE MMNO

Ingekuwa Nchi Nyingine - kama kidogo hao Jirani zetu KENYA BUNGE LAO LINGEJAA WATU KIBAO MPAKA UHURU PARK

SAFARI NI NDEFU... WATANZANI HAO; NYERERE ALITUFANYA KUWA WAPENDWA HASWA; ETI LISU ASIWE NA JAZBA

WAKATI NCHI NZIMA INAWEKWA Gizani na Vinanda Vya Wabunge sio zaidi ya 20???
 
aaahh aaah aah, ....wanaJF mbona mna mind sana jamani? mh ZITTO nlimsikiliza kwa umakini mkubwa alaf ghafla nikasikia anasema mh mwenyekiti, muda wangu umeisha ila nlipewa mchango na Mh Lissu ila nimeshindwa kusoma kwani Lissu ana mwandiko mbaya saaaana! yani nimeangua kicheko ofsini mpaka watu wakanishangaa. Yani kama ni utani sasa Zitto kamtania vibaya mwenzie. Ila siwezi kumshangaa zitto kwani sijui ukaribu wake na Lissu,mana unaweza ukakuta ni mtani wake tu,kama angekuwa adui wake basi hata kuachiwa mchango asingekubali...ila nadhani Lissu kama angekuwa bungeni basi agejificha chinin ya meza wakati Zittio anamalizia. Ki ukweli nimecheka sana kuona lissu asomeki,sijui ushaidi wake ktk advocacy atakuwa anauandikaje kama ndo ivyo?? ZITTO BWANA,ACHA TUUUU!!
 
Usitake kupindisha ukweli wa mambo.Mtu anajulikana kwa matendo na kwa maneno maneno yake. Tunaweza kujua mawazo yake kupitia maneno au matendo. Tunapatanafasi ya kumjadili akitenda jambo fulani baya au zuri, akinena jambo zuri au baya pia.
Tujadili hulka ya Zito baada ya kuchangia mchango wake. Analiambia bunge kuwa amepewa ujumbe na mhe. Tundu Lissu. Ni ujumbe gani? Hakueleza. Ameshindwa kutimiza lengo la Tundu Lisu. Je, lengo la Lisu lilikuwa kutujulisha/ kutuonyesha uzuri wa mwandiko wake? Nadhani sio. Mjumbe ameshindwa kufikisha ujumbe badala yake anajisifia uzuri wa mwandiko wake. Amehama kwenye lengo. Kama ni zoezi la kulenga shabaha ni ''washer out.''
Lakini hulka ya binadamu akikosea hurusha lawama kwa watu wengine ili yeye aonekane hana kosa hivyo hastahili lawama. Hasa watu wenye fikra za kitoto, lakini waungwana hukiri mapungufu. Hulka ya kukwepa kuwajibika kwa makosa yako mwenyewe, ilianzia kwa Adamu wa bustani ya Edeni pale aliposema siomimi niliye vunja amri ya kutokula tunda la mti wa katikati bali ni huyu Hawa uliyenipa, hivyo alaumiwe Hawa wala sio yeye. Hiki ndicho kinachomkuta Zito leo kutaka kuliambiaBunge kuwa si kosa lake kushindwa kufikisha ujumbe aliopewa bali ni mwandiko wa Tundu Lissu hivyo ulaumiwe mwandiko au alaumiwe Zito.
Jambo la pili la kujiuliza ni je; ni kweli mwandiko wa Lissu ni mbaya tena sana? Hebu tuuwangalie mwandiko huu.
Tundu Lisu amekuwa akiandika kuanzia darasa la kwanza hadi kupata shahada ya uzamili akitumia mwandiko wake amabao Zito anauita mbaya. Lisu amekuwa akiwasiliana na wasomi mbalimbali kwa mwandiko huuhuu. Ikiwa wengine wameweza kuusoma mwandiko wa Lissu, Zito ameshindwa maana yake Zito ama ni KILAZA ama ana wivu na mchango Lissu anahofia asijeakazidiwa busara. Ana nia ya kuficha busara za Lisuu zisijezikamfunika. Kwa bahati mbaya lengo lake halijatimia bali linamwonyesha ni mtu mwenye hila na hafai katika jamii ya wastaarabu. Mpaka sasa jamii itabakia na hamu ya kujua alichotaka kuchangia Tundu Lisu, watatafuta hatimaye watapata. Wakati jamii itamwelewa Tundu Lisu kama ni mtu mwenye kuwaamini watu wengine, itamwamini Zito Zuberi Kabwe kama mtu mnafiki asiyefaa kuaminiwa hata kwa ushenga wa mke wa tatu
 
Watu kila mara wanajiuliza kwa nini kila siku, kila mara, kila mahala ni Zitto, Zitto, Zitto hadi inatia kichefuchefu
Ukweli ni kwamba ni yeye anapenda iwe hivyo kwa kuwa hajakamilisha kazi aliyotumwa. Mpaka pale itakapokamilika, tutaendelea kusikia vitimbwi na show mbalimbali za huyu kijana.

Akihitimisha mchango wako Bungeni, Zitto kasema, “ nilipewa mchango na Tundu Rissu lakini mwandiko wake ni mbaya sana kwa hiyo nimeshindwa kuusoma”. Tujiulize:

1. Je, kweli kulikuwa na ulazima wa yeye kutamka au kutoa taarifa hiyo Bungeni? Faida yake ni nini maana haiongezi chochote (katika mchango wake) wala hawezi kuwahi nafasi kwamba pengine Rissu akirudi basi akute nafasi aliyo ‘bukiwa’ na mwenzake.

2. Hata kama ilikuwa lazima aseme, Je, ilikuwa lazima atamke sababu na kuchagua maneno ‘mwandiko mbaya sana?' angalia kuna kivumishi ‘sana’ kama vile ‘mbaya’ haingetosha!

Si kwamba Zitto ni mzito wa kuelewa, la hasha, anafanya makusudi akijua kuwa mambo kama haya ya kuwadhalilisha wenzake yanaweza kuleta vurugu ndani ya chama na hivyo kukisambaratisha.

Amenihudhi sana, kama si kweli yanayosemwa juu yake, kwa nini asingekaa tu na kutulia kisha aje amweleze Rissu sababu iliyofanya asiwasilishe ujumbe wake. Au kama kwa hekima yake ambayo inashangaza bado aliona ni lazima kutoa taarifa hiyo ya makabidhiano ambayo Wabunge wengine hawahusiki na wala haiongezi chochote cha maana kwenye hansad ,kwa nini asingesema tu kuwa ‘nilipewa mchango na Mbunge mwenzetu lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa kuusoma’ .

Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.

Akili za Zitto ni nzito kusoma majira na nyakati.
 
Acheni kumkashifu Zitto eti sababu hatokei kaskazini kwenu, chadema ni yetu sote msianze ubaguzi wenu kwa mambo yasiyo na msingi.
 
haya mambo ya ajabu basi, watu wasitaniane kisa waheshimiwa? Mtoa mada nahisi wewe ungekuwa Lissu ungerusha ngumi kwa jinsi povu lilivyokutoka... Muache mkaka wa watu apumzike si kila kukicha kumshambulia kwa maneno. Go on Zitto go don't care abt what they say
 
Ufungue band ya msiki wa dance, au arithi mikoba ya kanumba'''''
 
Hiki cheo cha urais CDM kitawatafuna mpaka muishe, na kweli waacheni wafu wawazike wafu wenzao. Na Mh. Rissu , ndio nani?

Hivi lazima raisi wa JMT atoke CDM???.....mtatoana macho bure.......safari hii tunamchagua yule mgombea aliyepita mwenye sera ya kujenga viwanda vya silaha....kila mmoja amiliki M16 yake ili mkileta ujinga kama huu tuwapunguze......
 
Nyie anti-Zitto mna matatizo kweli...bad luck to you, the guy knows how to get the shit out of you!!!!!

Mtapata tabu sana b'se kijana ni mwanasiasa ambaye anajua kucheza mchezo wa siasa....haogopi kitu wala hamuogopi mtu, na ni sahihi in my opinion, Zitto ana historia na CDM na CDM ina historia na Zitto...wakati wengine bado mnapiga ramli ya kuunga mkono siasa za upinzani au laa...kijana alishakuwa ni mwana-chadema...anawaona kama wakuja vile, na ndiyo sababu hamumpi shida.

Poleni...Zitto atawasumbua sana b'se wengi wenu hamko Liberal...ni kwa sababu hiyo mnashindwa kuelewa movements zake...mnatamani na yeye awe Extreme kama akina Mnyika au Lema...mi namuona Zitto kama matured politician, watu wa level hiyo huweka extremism na ushabiki kando na kuangalia real issues...hiyo ni advanced stage katika political maturity ladder wakati akina Mnyika hawana hiyo maturity ya Zitto.

Ameshatoa changamoto...mwenye ushahidi usio na shaka auweke mezani....hatutaki siasa za majungu na fitna.
 
mimi ninapojaribu kutafuta tatitizo huwa nashindwa kulipata, eti jamani hivitatizo la tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom