Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

Najitahidi kuamini kuw alikuwa akitania. Kama sivyo, angelitangazia bunge..."tl kanambia a, b, c? Kananiudhi haka kamtu
 


ally kombo brother upo..? umepotea recently shahr ramadhan inakwendaje...?! nakutakia ramadhan maqbool brother..

Ahsante ndugu yangu, Mwenyezi Mungu atujalie sote kheri za mwezi huu ! nipo ndugu yangu, majeraha hayakosekani humu ndani !
 
angenyamaza na kuutolea nje mchango wa TL kimya kimya - hata mwenyekiti alisema hayo yanawahusu wenyewe wabunge wengine hayawahusu!! huenda ni nightmares za kikao cha chama cha saa 3!!!!
 
I don't think it is big issue kuongelea/kujadili utani wa mh Zitto na Lissu as a capital mistake wale wana haki ya kutaniana. Anyway kama kweli Mh. ZITTO una tatizo la madaraka it's time 2 balance and distance yourself from it, Time will tell.
 
I don't think it is big issue kuongelea/kujadili utani wa mh Zitto na Lissu as a capital mistake wale wana haki ya kutaniana. Anyway kama kweli Mh. ZITTO una tatizo la madaraka it's time 2 balance and distance yourself from it, Time will tell.

Sidhani kama kuna mwananchi yeyote aliyemtuma mwakilishi wake bungeni akalete utani ambao uko within a time ya kuwakilisha matatizo yao ambao muda wenyewe hata hautoshi
 
Sidhani kama kuna mwananchi yeyote aliyemtuma mwakilishi wake bungeni akalete utani ambao uko within a time ya kuwakilisha matatizo yao ambao muda wenyewe hata hautoshi

Ajipime mwenyewe ajisahihishe muda bado unaruhusu
 
Watu kila mara wanajiuliza kwa nini kila siku, kila mara, kila mahala ni Zitto, Zitto, Zitto hadi inatia kichefuchefu
Ukweli ni kwamba ni yeye anapenda iwe hivyo kwa kuwa hajakamilisha kazi aliyotumwa. Mpaka pale itakapokamilika, tutaendelea kusikia vitimbwi na show mbalimbali za huyu kijana.


Akihitimisha mchango wako Bungeni, Zitto kasema, “ nilipewa mchango na Tundu Rissu lakini mwandiko wake ni mbaya sana kwa hiyo nimeshindwa kuusoma”. Tujiulize:


1. Je, kweli kulikuwa na ulazima wa yeye kutamka au kutoa taarifa hiyo Bungeni? Faida yake ni nini maana haiongezi chochote (katika mchango wake) wala hawezi kuwahi nafasi kwamba pengine Rissu akirudi basi akute nafasi aliyo ‘bukiwa’ na mwenzake.


2. Hata kama ilikuwa lazima aseme, Je, ilikuwa lazima atamke sababu na kuchagua maneno ‘mwandiko mbaya sana?' angalia kuna kivumishi ‘sana’ kama vile ‘mbaya’ haingetosha!


Si kwamba Zitto ni mzito wa kuelewa, la hasha, anafanya makusudi akijua kuwa mambo kama haya ya kuwadhalilisha wenzake yanaweza kuleta vurugu ndani ya chama na hivyo kukisambaratisha.


Amenihudhi sana, kama si kweli yanayosemwa juu yake, kwa nini asingekaa tu na kutulia kisha aje amweleze Rissu sababu iliyofanya asiwasilishe ujumbe wake. Au kama kwa hekima yake ambayo inashangaza bado aliona ni lazima kutoa taarifa hiyo ya makabidhiano ambayo Wabunge wengine hawahusiki na wala haiongezi chochote cha maana kwenye hansad ,kwa nini asingesema tu kuwa ‘nilipewa mchango na Mbunge mwenzetu lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa kuusoma’ .



Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.
Ndugu naona mmemwelewa vibaya Zittoo hakuwa na maana hiyo mnayoifikiria. Tulia kwanza kabla ya kutoa hisia zako!!
 
Ukiona magamba wengi wanaiunga mkono hoja"kama hii ya zito" ujue wana maslahi nayo. Na hiyo ndiyo inayomfanya zzk achukiwe zaidi na wapenda mageuzi.
 
ZITTO KABWE hafai CCM,CHADEMA,TLP,NCCR,UDPP,SERIKALINI na popote pale kwani hekima, busara na uwezo wa kupima mambo ni muhimu kwa binadamu yeyote kwani ulimi unauwezo wa kuondoa amani katika jamii yoyote kwa muda mfupi sana.aende zake hukohuko kwa KAGAME.

Naona Zitto anatakiwa aandikiwe kila anachopaswa kusema kwa kipindi hiki cha kuelekea 2015 vinginevyo kwa nimjuavyo na maneno yake atakuwa mjadala kila siku.
 
Back
Top Bottom