Zitto: Sipokei posho na wala sikimbii Bunge

Zitto: Sipokei posho na wala sikimbii Bunge

WanaJF,
Zitto awapa za uso UKAWA baada ya kujibu hoja kuhusu tabia iliyozoeleka ya wapinzani kuingia ndani ya bunge, kusaini posho na kisha kuleta vurugu makusudi ili wakimbie bunge.

Zitto kwa upande wake ameeleza kuwa, kwanza hapokei posho na kana kwamba hiyo haitoshi, kamwe hawezi kulikimbia bunge.

Rai: Mbowe na Nyumbu wako jifunzeni hili kutoka kwa Zitto.
ccm mnapanic nini sasa?
 
Ila kwakweli kupokea posho za kikao ambacho hujakaa ni wizi. Wapinzani wafungue akaunti wawe wanaweka humo posho zote na mwisho wa kila kikao wazipeleke kwenye vituo vya yatima, shule za walemavu ama mahospitali kama misaada.
Huu ni wakati wa kuongoza kisayansi na kuonesha mfano. Sio mnapinga wengine kupewa posho alaf ninyi mnazila kwa kisingizio eti mnalazimishiwa!
 
Kama wewe kuvuliwa chupi yako na hizo shanga sio jambo la ajabu na ni kawaida basi ni wewe tuu na hulka yako mwenyewe! Lakini kwa wengine ni jambo la utovu wa nidhamu linalofaa kukemewa.
Kwenye uongozi kuna vitu vya kuangali kuvisema kwa kutumia hekima kwani nani ajui kama wanawake huku ndani kuna shangaaa chupi cheni na vipini angemalizia basi na vipini walivululiwa nguo ingekuwaje kiongozi hana hekima hata chembe
 
WanaJF,
Zitto awapa za uso UKAWA baada ya kujibu hoja kuhusu tabia iliyozoeleka ya wapinzani kuingia ndani ya bunge, kusaini posho na kisha kuleta vurugu makusudi ili wakimbie bunge.

Zitto kwa upande wake ameeleza kuwa, kwanza hapokei posho na kana kwamba hiyo haitoshi, kamwe hawezi kulikimbia bunge.

Rai: Mbowe na Nyumbu wako jifunzeni hili kutoka kwa Zitto.
Zitto Kabwe, hongera sana. Na kuomba kwa mara ya pili pigania posho ziondolewe kwa wabunge wote, mishahara ya marais na mawaziri wakuu wastaafu ipunguzwe. Na wa Rais pia upunguzwe.
 
Back
Top Bottom