Zitto: Sipokei posho na wala sikimbii Bunge

Zitto: Sipokei posho na wala sikimbii Bunge

jamaaa ni kichwa saaana anapanga hoja mpaka mwenyekiti wa bunge hana pa kujitetea
 
hata hoja yako haina mashiko ukawa pamoja na zitto hata kama watapiga kura ya kupinga posho bado magamba yatapitisha kwa theluthi mbili yake sasa kukataa kwao au kukubali hakuongezi kitu. tusitumie posho kuwashambulia ukawa wakati hata uwezo wa kuziondoa hawana. kama nyinyi magamba mnaona kuwa posho kwenu hazina tija (which is true) pelekeni hoja ya kuzifuta.
ccm hamna moral authority ya kuzungumzia posho anazozikataa zito huo ni unafiki wenu tu ndiyo unawapa kiburi cha kuyasema hayo
Naona wewe huelewi. Unajua maana ya kuacha kupokea posho? Hivi kuacha kupokea posho ni mpaka kura zipigwe!? UKAWA kama mna amini posho ni haramu....acheni kupokea....kisingizio cha kupiga kura kinatoka wapi!?

Watanzania wanataka kutazama nia yenu kuhusu hili suala la posho na yale magari ya VX V8...Si muache hivi vitu kama kweli mnachukizwa navyo....sioni haja ya kusubiri wana CCM waridhie....Maana CCM hailazimishi mtu kupokea posho...Mfano mzuri ni kwa Zitto....Yeye hapokei posho.
 
WanaJF,
Zitto awapa za uso UKAWA baada ya kujibu hoja kuhusu tabia iliyozoeleka ya wapinzani kuingia ndani ya bunge, kusaini posho na kisha kuleta vurugu makusudi ili wakimbie bunge.

Zitto kwa upande wake ameeleza kuwa, kwanza hapokei posho na kana kwamba hiyo haitoshi, kamwe hawezi kulikimbia bunge.

Rai: Mbowe na Nyumbu wako jifunzeni hili kutoka kwa Zitto.
Ni kumtukana Mungu kuwaita binadamu wenzako nyumbu hata kama humpendi Mbowe na wafuasi wake
 
...hivi kwa nini ccm mnampenda sana Zitto?!
ok, kumbe ni kwa sababu kila mnachomtuma huwa anatekeleza.!!
 
WanaJF,
Zitto awapa za uso UKAWA baada ya kujibu hoja kuhusu tabia iliyozoeleka ya wapinzani kuingia ndani ya bunge, kusaini posho na kisha kuleta vurugu makusudi ili wakimbie bunge.

Zitto kwa upande wake ameeleza kuwa, kwanza hapokei posho na kana kwamba hiyo haitoshi, kamwe hawezi kulikimbia bunge.

Rai: Mbowe na Nyumbu wako jifunzeni hili kutoka kwa Zitto.
Ukawa ni vibaka tu,haiwezekani wachukue posho halafu wakache.
Itabidi ipitishwe kanuni ukisusa au ukitolewa kwa nguvu hakuna posho,na kama utakua uliiwahi basi inayofuata lazima ikatwe,hii itasaidia kutuliza wavuta bangi
 
Ukishakua msaliti hadi kufa kwako hakuna atayekuamini.. Huyo yuda siwez mwamin hata angetubu kanisani

Wewe binafsi una wema upi hata ukamseme mwadamu mwenzio kua hutamuamini hata akitubu kanisani?wewe ni MUNGU,dhambi zako ni ngapi?
 
wewe huna akili kama wabunge wa SISIYEMU,
Hebu niambie 2004 Waziri wa Elimu MUNGAI kipindi hicho alifuta masomo ya ufundi,biashara, kilimo na kuyachanganya Physics with Chemistry
lakini alivyowasilisha bungeni wabunge wa SISIYEMU Walishangilia na kuipitisha Bajeti kwa mbwembwe huku wakijua kbs kilimo ni uti wa mgongo wa Watanzania zaidi ya asilimia 75 ya Watanzania wanategemea kilimo.kwnn nasema wabunge wa sisiyemu hawana akili km wewe? jibu ni kwamba hivi wewe unaweza kukata uti wa mgongo wa mwili wako halafu ukafurahia kuwa utaendelea kuishi ? Wabunge wa upinzani walipinga lkn waliowengi wakaipitisha kwa mbwembwe.Halafu mwaka 2006 haohao wa sisiyemu wakarudisha hayohayo masomo,kwa maana nyingine wakaramba matapishi yao
Naye Waziri kawambwa alipokuwa Waziri wa Elimu akaazisha mtihani wa drs la saba wa kuchagua na G.P.A kwa matokeo ya sekondari na vyuo vya ualimu,wakati anawasilisha hoja bungeni wabunge wa sisiyemu alipinga makofi kwa mbwembwe kama kasuku,wakati wanajua kbs kwamba G.P.A sio kipimo cha kumpima mwanafunzi kwa kuwa hakionyeshi tathimini halisi ya ufaulu.Lkn kwa kuwa wanajivunia uwingi wao wakaipitisha.Mwaka huu tumeona tena wanaramba matapishi yao kwa kufuta G.P.A na kurudisha mfumo wa Division
Bunge hili tena wamekuja na mpya ya TBC isionyeshe Live ila ionyeshe tuu saa nne za usiku,bunge linatumia masaa sita kwa siku itakuwaje ionyeshwe kwa saa moja?huu ni umasikini wa fikra wa wabunge wailowengi,kwa maana wanataka TBC wapate muda wa ku edit ili waonyeshe vipengere vichache na vzr tuu vya serikali.Eti serikali inabana matumizi, kama ni kubana matumizi kwann wasipunguze posho zao ili wabaki na mshahara tuu kama wana nia ya dhati ya kupunguza matumizi?? au kama wanaona ni gharama basi waachie vyombo binafsi viendelee kuonyesha? TBC inaendeshwa kwa kodi za wananchi kwnn wanachi haohao wasiangalie bunge Live? je nani amewaambia wabunge wa sisiyemu kuwa kero kubwa ya wananchi ni kuonyeshwa kwa bunge live?? kweli huu ni umasikini wa fikra hata Rais nadhani anawashangaa kwa maana hawamsaidii bali wanampa wakati mgumu Magufuri atakapo kuwa anafanya kampeni 2020 maana ataona wananchi wanazidi kuichukia serikali kwasbsb ya upuuuzii huuu wa wabunge wa sisiyemu kuendelea kushabikia chama chao baadala ya maslahi ya Taifa.kama kweli mtastisha bunge si muda mrefu mtaramba matapishi yao maana wananchi tulikuwa na Imani na Magufuri lkn kwa dalili hizi sisiyemu ni ile ile hakuna maendeleo chini ya utawala wa sisiyemu hata iweje?.Nakuomba Rais Magufuri tumbua majipu ya mawaziri wanaokuangusha Mfano NAPE anakuangusha,na amefanya tuichukie serikali kwa kutunyima haki zetu.
JIBU tuhuma hii wewe unafikiri ni sababu gani za msingi zinazopelekea ukubali kuwa bunge lisionyeshwe Live ? majibu yako ndo yatatoa tathimini kama una akili au huna km wenzio??
Wewe unapoteza muda wako bure kumwonesha kipofu kupatwa kwa jua.

Ukiona mtu anapambana dhidi ya upinzani basi huyo ni mchawi wa demokrasia na ni wa kupuuzwa.
 
Msukumo wa Kuendelea Mbele Na kupokea Posho ya Kukalia kiti :

Naufunga Mjadala wa kinafiki kuhusu posho unaotumika kuwagawa wabunge

Kuna jambo linakera Na linataka
kuibuka tena kuwagawa Watanzania

hasa Ukawa pale Bungeni

Kumekuwapo Na maandiko ya kipropaganda kwamba Ukawa
hawajakataa Posho Na hivyo hawana uhalali wa kupinga ufisadi.

Uchonganishi huu umekuwa
ukimtaja Na kumnukuu Kabwe zuberi kwamba ni mpinzani
wa kweli kwa kuwa peke yake ndiye aliyekataa posho.

Mwanzoni niliwahi kumsikia
akidai wabunge wa Ukawa wawe wa Wazalendo kwa kukataa posho wamuunge mkono

Napenda kusema mbunge yeyote
wa upinzani anayekataa posho kwa kuwashambulia mpinzani ni mnafiki !

Ni wabunge wa Ccm peke yake ndo wenye uwezo wa kuondoa posho kwa kuwa wako wengi !

Pili spika wa Bunge Anne Makinda
aliwahi kusema bungeni hawezi
kubishana Na nbunge anayesema
hachukui posho ,

Kwa sababu hukutani/ hupewi
mkononi bali zinainginzwa moja kwa moja kwenye akaunti !!

Ili upate posho sharti ni kuhudhuria
bungeni Na kusajili daftari LA mahudhurio .

Kwa hiyo anayesema hapokei
posho ile (Sitting allowance )ni uongo ni unafiki

Aidha Waziri Mkuu Pinda alisema Bungeni

"Hizo pesa kwani kiasi gani Ninyi wabunge
nyote mnajua ukitoka hapo njee
inaishia hapo !

Kwa hiyo posho ni swala LA kisheria
zinaingizwa hata kama hutaki
ili mradi umehudhuria bunge
Kuendelea kuwagawa Ukawa kuhusu posho ni Unafiki !!

"KLJP"
 
Attachments

  • 1454089447723.jpg
    1454089447723.jpg
    32.5 KB · Views: 27
Hizo posho za makalio zifutwe, inakuwaje wao wanalipwa mara mbili? night na posho ya kukaa
 
Msukumo wa Kuendelea Mbele Na kupokea Posho ya Kukalia kiti :

Naufunga Mjadala wa kinafiki kuhusu posho unaotumika kuwagawa wabunge

Kuna jambo linakera Na linataka
kuibuka tena kuwagawa Watanzania

hasa Ukawa pale Bungeni

Kumekuwapo Na maandiko ya kipropaganda kwamba Ukawa
hawajakataa Posho Na hivyo hawana uhalali wa kupinga ufisadi.

Uchonganishi huu umekuwa
ukimtaja Na kumnukuu Kabwe zuberi kwamba ni mpinzani
wa kweli kwa kuwa peke yake ndiye aliyekataa posho.

Mwanzoni niliwahi kumsikia
akidai wabunge wa Ukawa wawe wa Wazalendo kwa kukataa posho wamuunge mkono

Napenda kusema mbunge yeyote
wa upinzani anayekataa posho kwa kuwashambulia mpinzani ni mnafiki !

Ni wabunge wa Ccm peke yake ndo wenye uwezo wa kuondoa posho kwa kuwa wako wengi !

Pili spika wa Bunge Anne Makinda
aliwahi kusema bungeni hawezi
kubishana Na nbunge anayesema
hachukui posho ,

Kwa sababu hukutani/ hupewi
mkononi bali zinainginzwa moja kwa moja kwenye akaunti !!

Ili upate posho sharti ni kuhudhuria
bungeni Na kusajili daftari LA mahudhurio .

Kwa hiyo anayesema hapokei
posho ile (Sitting allowance )ni uongo ni unafiki

Aidha Waziri Mkuu Pinda alisema Bungeni

"Hizo pesa kwani kiasi gani Ninyi wabunge
nyote mnajua ukitoka hapo njee
inaishia hapo !

Kwa hiyo posho ni swala LA kisheria
zinaingizwa hata kama hutaki
ili mradi umehudhuria bunge
Kuendelea kuwagawa Ukawa kuhusu posho ni Unafiki !!

"KLJP"
kwa hy ukawa wanapokuwa wanatoka nje kwa kutokubaliana na maamzi wa spika wanakuwa wanajitekenya wakijua ni wachache awawez kushinda kwann wasifanye ivo ata kupokea posho alf unaposema ukihudhuria tu bas umeshapokea posho ni uhongo make ili uingiziwe posho mpk usain posho km umekurupuka majib yako rudi ukaulize vizur naona unajitaidi kutetea ugali wa mfalme
 
WanaJF,
Zitto awapa za uso UKAWA baada ya kujibu hoja kuhusu tabia iliyozoeleka ya wapinzani kuingia ndani ya bunge, kusaini posho na kisha kuleta vurugu makusudi ili wakimbie bunge.

Zitto kwa upande wake ameeleza kuwa, kwanza hapokei posho na kana kwamba hiyo haitoshi, kamwe hawezi kulikimbia bunge.

Rai: Mbowe na Nyumbu wako jifunzeni hili kutoka kwa Zitto.
Wacha wee ...hakuna kitu kibaya kama mental slivery
Huyu ndie mkombozi wa kwel naona ACT ikiwa chama cha upinzani soon bungeni
 
Jitu zima limepata nafasi ya kuongea bungeni eti linasema tumevuliwa shanga na chupi zetu kuliko tunavyoteseka na maji ubungo
 
Jitu zima limepata nafasi ya kuongea bungeni eti linasema tumevuliwa shanga na chupi zetu kuliko tunavyoteseka na maji ubungo
Pole sana ,Jk na mabomba yale ya kichana vp ?? alisema tatizo la maji litakuwa ni historia ubungo....
 
Jitu zima limepata nafasi ya kuongea bungeni eti linasema tumevuliwa shanga na chupi zetu kuliko tunavyoteseka na maji ubungo
Kama wewe kuvuliwa chupi yako na hizo shanga sio jambo la ajabu na ni kawaida basi ni wewe tuu na hulka yako mwenyewe! Lakini kwa wengine ni jambo la utovu wa nidhamu linalofaa kukemewa.
 
WanaJF,
Zitto awapa za uso UKAWA baada ya kujibu hoja kuhusu tabia iliyozoeleka ya wapinzani kuingia ndani ya bunge, kusaini posho na kisha kuleta vurugu makusudi ili wakimbie bunge.

Zitto kwa upande wakey ameeleza kuwa, kwanza hapokei posho na kana kwamba hiyo haitoshi, kamwe hawezi kulikimbia bunge.

Rai: Mbowe na Nyumbu wako jifunzeni hili kutoka kwa Zitto.[/Qwake
Nawewe ni Nyumbu sema tu mumetofautiana vyama ..shen......kbsa.
 
Back
Top Bottom